Kwa hiyo haya majimbo ya Ndanda na Bunda ndiyo mtaji wa Lowassa?
Namimi nilishangaa sana kwakweli bora upewe laana na mtu mwingine lakini sio laana ya Slaa lazima ujute....Mtu kama Wenje kweli ni wa kumponda Dr.Slaa??
CCM wamechukua majimbo ya Ukawa siyo Chadema tu wamechukua majimbo ya CUF wamechukuwa majimbo ya NCCR Mageuzi.
Ukerewe, Ilemela, Nyamagana, Musoma Mjini na bado matokeo yanazidi kutoka hayo ya Chadema tu.
Kamanda muombeni radhi Dr.Slaa yaishe.
Wanasema asiye sikia la mkuu uvunjika guu..hakika Bavicha watajuta...Mzee Mwanakijiji kawaonya sana msimtukane hata kama mmetofautiana naye.
Vipi mshapata makao mapya maana ukawa ndio wanaingia ikulu
Apumzike kwa furaha huko aliko. Naona wapinga upinzani akina Mwanakijiji wanachekelea
Teh Teh Yericko mzee wa urusi anaendelea kufanya udukuzi wa mitandao...
Kwakweli Dr anapaswa kuombwa msamaha lasivyo laana hii haito waacha...Mtu mzima anakaa na kuanza kusema eti dr silaa aombwe radhi!!! Chadema sio mbowe chadema ni taasisi na taasisi ambayo haiwezi kusimamia uamuzi wake haitufai,kama unampenda sana dr silla mfuate,haukuona jinsi waliokuwa wakimpenda mrema walivyokuwa wakimfuata kila alipokuwa akihama chama?
Wanaukumbi.
Matokeo ya uchaguzi mkuu yanazidi kutoka kwa kasi na mwelekeo unaonyesha Chadema wanaelekea kufanya vibaya na kupoteza majimbo yao tofauti kama watu walivyotegemea.
Hii ni laana ya Dr.Slaa walichomfanyia hii ndiyo hukumu yao kwa yale waliomfanyia.
Natoa ushauri kwa Chadema kabla Chadema hawajasambaratika kama jumuhuri ya Urusi muombeni msamaha Dr.Slaa hawasemehe la sivyo mtapotea kabisa kwenye ulingo wa siasa.
Nonsense
Kwa hiyo CCM kupoteza Siha,Bunda,Mtwara etc nao wakamuombe radhi Mumeo ?
Kwakweli Dr anapaswa kuombwa msamaha lasivyo laana hii haito waacha...