CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.

Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.

Na bwana WENJE naye kapigwa chini. :angry:
 
Dr Slaa watamkumbuka sana na ninavyomjua yule mzee hawezi kwenda tena Chadema labda kwa Zitto. Sijui watakuja na operation gani mwaka huu? Pengine operation Ng'ombe itakayoanzaia Monduli
 
Hivi ile misukule ya Lowasa imeenda wapi? Ila taarifa zilizopo ni kwamba imekamatwa na polisi kwa kuchakachua matokeo

Wale ni wahuni wa Kenya wanawaita wataalamu wa IT, walikuwa wanajaribu ku hack kwenye server za NEC ili wabadili matokeo.
 
Nilidhani wewe ndio ungekuwa wa kwanza kumuomba msamaha kwa matusi uliyomtukana!

Ukitaka kufanikiwa, jifunze kusikiliza ushauri na kuufanyia kazi. Sawa dogo?
Btw, nimefurahi sana mzee wa nyeti za chikeni AKA Lembeli kapigwa chini
 
Ushauri mwingine bwana....

Hebu tuache unfounded feelings

Tuwaache ACT wakue wadhihirishe nguvu zao zaidi....mpaka sasa wako mahali pazuri and I commend them for good work done

Dr. Slaa uamuzi wake wa kupumzika Siasa ni mzuri zaidi....ajali iliyomkuta ya kisiasa he cant recover from it and he wont make a good leader of a any political part

Seconded!
 
Mbowe ni mpuuzi sana, eti "tulifanyiwa utafiti na mashirika ya nje na yote yakatuthibitishia kuwa Dr. Slaa hawezi kushinda uchaguzi huu wa mwaka 2015". Mpuuzi huyu, ni lazima ang'olewe kwenye uenyekiti wa chama, na manyumbu wote wazee wa kujipendekeza hao bila hata kufikiria wakaunga mkono.
 
Mbowe ni mpuuzi sana, eti "tulifanyiwa utafiti na mashirika ya nje na yote yakatuthibitishia kuwa Dr. Slaa hawezi kushinda uchaguzi huu wa mwaka 2015". Mpuuzi huyu, ni lazima ang'olewe kwenye uenyekiti wa chama, na manyumbu wote wazee wa kujipendekeza hao bila hata kufikiria wakaunga mkono.
Yuko zake Dubai anahesabu mabilioni yake ana shida gani? Naona katelekeza nyumbu na malofa wake at a very critical time. Hovyo kabisa!
 
Kabisa mkuu .
Mi ni mmoja wa mwanachama wa CDM
Ambae nilitoka na Dr. Slaa .

Chadema tumetoa Usafi tukaweka Uchafu .
Matokeo ndio hayo.

Na ninaamini tuko wengi ambao tulijitoa
Na Slaa.
 
Jamani wahurumie chadema yaani huku mtaani wamenywea mpaka wanatuia huruma, sijui hali ya musa allan ikoje na ocampo four

Haa ha ha Mussa Allan na Ocampo Four sasa ajira hakuna tena, labda kama wataenda na Mzee kuchunga ng'ombe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom