CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

Hivi ile misukule ya Lowasa imeenda wapi? Ila taarifa zilizopo ni kwamba imekamatwa na polisi kwa kuchakachua matokeo

Kati ya watu malofa wewe ndiye kiongozi wao ndio maana ulitandikwa ubungo na kwenda kubusu viatu
 
Kwaniaba ya Bavicha na chadema namuomba msamaha Dr.W.Slaa kwa matusi na kejeli aliyo tukanwa na Bavicha muda wote...! Najua Slaa angekuwepo Chadema ingepata kura nyingi za kumfikia Rais Magufuli!

Ewe Slaa wasamehe Chadema na UKAWA na uwaepusha na laana uliyo waachia.....!

Naona unaipigania nafasi ya Josephine, siyo mbaya maana wote ni kina shomile kawe 2 ic wake
 
Last edited by a moderator:
Watanzania tumeamua kuchagua FIESTA na kwa kuwa ndio sauti ya wananchi tumekubali japo wachache hatuko radhi NCHI YANGU INAANGANIA KWA KUKOSA MAARIFA
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.

mpaka asubui hii 27/10/10.24 cdm wana majimbo zaidi ya 20 na kura za urais ni more than 30% hii ina maana ruzuku imepanda tayari. last elections cdm walikuwa na majimbo 23 ..... mbowe aliangalia kilomita nyingi mbele ndio maana akasema mtaji huu ukiuachia utakuwa mjinga, think about it
 
Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.
Umepoteza Mwanza umepata Mbeya (Madiwani), umepoteza Mwanza, Musoma umepata Moshi Vijijini, Same, Tarime, Buyungu, Serengeti, Siha, Momba etc (Ubunge) hii ndiyo akili.Siyo lazima iwe Mwanza.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.

mpaka asubui hii 27/10/10.24 cdm wana majimbo zaidi ya 20 na kura za urais ni more than 30% hii ina maana ruzuku imepanda tayari. last elections cdm walikuwa na majimbo 23 ..... mbowe aliangalia kilomita nyingi mbele ndio maana akasema mtaji huu ukiuachia utakuwa mjinga, think about it

Dr mihogo wakala wa ccm
 
Msiwatukane Watanzania.....Leo mnaanza kusema vitu ambavyo wakati mnaimba "mabadiliko Lowasa" hamkutaka kusikia ....tuliwaambia watu wa kwenye mikutano si kura na uzoefu mzuri ni 2010 mkasema mwaka huu tofauti ....sasa mnalialia tu ....tunaanzaje kujenga upya goodwill ya Chama? Mnafikiri Watanzania wajinga?
 
Mapunduzi yaliyopangwa na Kiwete yanaendelea kushika kasi. Ichaguzi ilikuwa kiinimacho tu, mabomu ma silaha za moto nje nje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom