brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,297
Lowassa ndiye Rais penda usipende. Pili Dr. Slaa hakuwahi kuletea upinzani ufanisi wa kushinda kiasi hiki. Tena angesimama yeye saliti ndiyo angeuza ushindi kabisa. Lowassa amewasha moto wa upinzani. Tena kusingekuwa na uchakachuaji wabunge wengi sana wangetoka upinzani. chezea mzee wa busara Lowassa. Nasema atashinda, subiri upepo utajeuka muda si mrefu. Mtashangaa mno.
Kwa maombi ya gwajima ama kweli upepo utageuka...mjipe moyo