CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

Kwaniaba ya Bavicha na chadema namuomba msamaha Dr.W.Slaa kwa matusi na kejeli aliyo tukanwa na Bavicha muda wote...! Najua Slaa angekuwepo Chadema ingepata kura nyingi za kumfikia Rais Magufuli!

Ewe Slaa wasamehe Chadema na UKAWA na uwaepusha na laana uliyo waachia.....!
 
Last edited by a moderator:
Wanaukumbi.

Matokeo ya uchaguzi mkuu yanazidi kutoka kwa kasi na mwelekeo unaonyesha Chadema wanaelekea kufanya vibaya na kupoteza majimbo yao tofauti kama watu walivyotegemea.

Hii ni laana ya Dr.Slaa walichomfanyia hii ndiyo hukumu yao kwa yale waliomfanyia.

Natoa ushauri kwa Chadema kabla Chadema hawajasambaratika kama jumuhuri ya Urusi muombeni msamaha Dr.Slaa hawasemehe la sivyo mtapotea kabisa kwenye ulingo wa siasa.

Yaani hata kusoma hujui, huwezi kuelewa hata picha?
 
Yule dogo wa Bavicha naye eti alikuwa anamshambulia Dr.Slaa kapigwa chini vibaya huko Shinyanga.

Kakataa kusign fomu ya matokeo....katupa kule na akatoka ukumbini kwa kufura
 
Tena mnyika inabidi amsafishe miguu siku 3 ,Wenje ambebe mgongoni kutoka Ufipa hadi jangwani

Wanaukumbi.

Matokeo ya uchaguzi mkuu yanazidi kutoka kwa kasi na mwelekeo unaonyesha Chadema wanaelekea kufanya vibaya na kupoteza majimbo yao tofauti kama watu walivyotegemea.

Hii ni laana ya Dr.Slaa walichomfanyia hii ndiyo hukumu yao kwa yale waliomfanyia.

Natoa ushauri kwa Chadema kabla Chadema hawajasambaratika kama jumuhuri ya Urusi muombeni msamaha Dr.Slaa hawasemehe la sivyo mtapotea kabisa kwenye ulingo wa siasa.

Tunaomba Matokeo ambayo CHADEMA na CCM waliyopoteza.
Ili twende sawa.

Mimi naanza n Bunda,Siha,Tandahimba,
 
Kwa hiyo haya majimbo ya Ndanda na Bunda ndiyo mtaji wa Lowassa?
Hapa ndio uamini kuwa Slaa angekuwepo Chadema angesha wabadilisha Bavicha na viroba vya chumvi!
 
Mtu kama Wenje kweli ni wa kumponda Dr.Slaa??
 
Kwaniaba ya Bavicha na chadema namuomba msamaha Dr.W.Slaa kwa matusi na kejeli aliyo tukanwa na Bavicha muda wote...! Najua Slaa angekuwepo Chadema ingepata kura nyingi za kumfikia Rais Magufuli!

Ewe Slaa wasamehe Chadema na UKAWA na uwaepusha na laana uliyo waachia.....!

Nilidhani wewe ndio ungekuwa wa kwanza kumuomba msamaha kwa matusi uliyomtukana!
 
Last edited by a moderator:
Tunaomba Matokeo ambayo CHADEMA na CCM waliyopoteza.
Ili twende sawa.

Mimi naanza n Bunda,Siha,Tandahimba,

Mkuu haya magamba yanashangilia majimbo 13 yasikupe taabu,yakifika majimbo 100 tutawatafuta kwa tochi humu.
 
Tunaomba Matokeo ambayo CHADEMA na CCM waliyopoteza.
Ili twende sawa.

Mimi naanza n Bunda,Siha,Tandahimba,
CCM wamechukua majimbo ya Ukawa siyo Chadema tu wamechukua majimbo ya CUF wamechukuwa majimbo ya NCCR Mageuzi.

Ukerewe, Ilemela, Nyamagana, Musoma Mjini na bado matokeo yanazidi kutoka hayo ya Chadema tu.

Kamanda muombeni radhi Dr.Slaa yaishe.
 
ImageUploadedByJamiiForums1445875961.718285.jpg
 
Dalili zinaonesha.....
 
Attachments

  • 1445875985225.jpg
    1445875985225.jpg
    35.4 KB · Views: 76
Apumzike kwa furaha huko aliko. Naona wapinga upinzani akina Mwanakijiji wanachekelea
 
Kuna siku nililiona limebewa kwenye kiti huku kashika kifimbo kama Nyerere unajua Lowassa kawadanganya sana hawa jamaa.
Mzee yule alitumia ushirikina lakini wapi kwakweli alikuwa ana fanya commedy kuigiza kama nyerere.....Teh Teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom