MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 19,993
- 34,867
Ushauri mwingine bwana....
Hebu tuache unfounded feelings
Tuwaache ACT wakue wadhihirishe nguvu zao zaidi....mpaka sasa wako mahali pazuri and I commend them for good work done
Dr. Slaa uamuzi wake wa kupumzika Siasa ni mzuri zaidi....ajali iliyomkuta ya kisiasa he cant recover from it and he wont make a good leader of a any political part
Ajali ya kufanyiwa uhuni na watu aliowaamini? Hatuwezi kutoa conclusion rahisi kama hii kupoteza mtu aliyeinua upinzani na kutoa mwamko ambao wengine walitaka kudandia na kupitia damu za watu wakati hawajawahi kutoa hata jasho ....Dr Slaa ni yule yule na utashuhudia mwenyewe ....