Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 159
Kuna watu wa CHADEMA na Mbowe pia.Hii kali, yaani kuna watu wa CCM na watu wa ROSTAM? Naomba ufafanuzi..
MK,
ile thread nimeshaomba sana irudishwe na nimeitafuta siioni,nina uhakika itakuwa imetolewa baadhi ya maneno.Mpka sasa hauna usafi wowote wa kumzungumzia Wangwe kwa kuwa ullimtusi zaidi ya ubinadamu na ulifurahi sana kwa yeye kusimamishwa na ukautetea kwa dhati uamuzi wa watu wanokula Pesa za Ruzuku ya CHADEMA na wapendao mambo ya ukabila CHADEMA