CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

Kurugenzi ya Habari Mkuu Tumaini Makene,
Kwanza asante kwa mujibu prompt on time, bila kuchelewa, bila kukawiza!.
Kwa vile hili sio tamko la kwanza, japo mmeufunga rasmi mjadala, uongo ukitolewa na kuachwa ujibiwe, utaonekana .ni ukweli, hivyo naunga mkono kila uongo ujibiwe kwa mujibu ya ukweli na ikiwezekana, huu sasa ndio uwe msimamo wa chama chenu, na ili kuepuka, double standards nashauri, wajibuni na wale viongozi wengine wote, kwa kujibu hoja kwa hoja, not sherry picking!.

Pili, natoa ushauri tuu kwa Chadema, sometimes, sio lazima kutoa mujibu mareefu kwa hoja nyepesi nyepesi, hata kuijibia hoja ya wazi ya kosa la typo tuu kuifanya ni hoja !. Sometimes kubalini ukweli, kwa mujibu mafupi tuu to cut the long story short mfano." Tumepokea barua yako ya kujiuzulu, uongozi ndani ya Chadema, hoja zako tumezipokea na zitafanyiwa kazi kwa mujibu wa taratibu zetu, tunakushukuru kwa utumishi wako kwetu, na tunakutakia kila la kheri huko uendako! "
Japo mimi ni supporter wa ZZK nikisubiria the end to justify the means, Chadema mkifanya jumbo zuri la kustahili uongozi, napongeza!.
Kwa hili la mujibu ya haraka, hongera Makene , hongera Chadema
Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Bavichaa mnajulikana mkikosa hoja mnaanza viroja.

Mimi siwezi kuwa Bavicha wala Uvccm.

Usilete ujinga wa Mwigulu Chemba kunukuu kauli Peter Msigwa akili ndogo kuongoza akili kubwa. Na hajaweka source ni Peter Msigwa.

Same to you Jenerali Ulimwengu ndio aliyehasisi msemo huu halafu wewe mwalimu wa madrasa unajifanya eti wewe ndiye uliyehasisi! unachekesha sana.
 
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.


Hayo maswali magumu. Hana uwezo wa kuyajibu.

.
 
Hii nchi inawatu wa ajabu kama kina chatanda muda wote wanaongea vapour, nadhani kwa akili yake anataka kazi nchi hii ziende kidini na kikabila, yaani kama walimu, manesi, madaktari nk wawe sawa kwa sawa kwa makabila yote na dini zote. Kweli wewe chatanda ujinga umekutanda.
 
Asante kamanda kwa taarifa.
tunasubiri waje na kiroja kingine.

haajiliwi mtu kwa dini yake bali kwa sifa zake kitaaluma.na kama wapo wenye sifa umeaambiwa bado mchakato wa baadhi ya nafasi unafanyika.

mkianza na sababu za udini mwisho wake mtataka kuleta na ajira za kiukoo tunakoelekea sasa.
naona sasa weledi ktk dhana nzima ya kitaaluma kapuni.

hii yaweza kuwa sasa ni division 5 inayokuja kwa kivuli cha dini...
 
Zitto alikuwa haji msikitini kabisa lakini sasa hivi anajifanya swala tano ili kutafuta sympath ya Waislamu sisi tutamtimua huyu msaliti asije akaleta migogoro na Huku
 
People's Power! Ahsante @TM. Sisi tuliojiunga CHADEMA kwa sababu ya sera na falsafa za chama(si kwa kufuata mtu), tupo imara na vizazi vyetu. Mlichokifanya ni muafaka kabisa. Ukimuua mchawi anayefuga fisi, lazima mafisi yatatoka mkuku kutoka kwenye 'tembe' lake. Yaacheni MAFISI yatoke.
 
wapi maelekezo ya uteuzi wa tundu lissu na kutemwa kwa mabere marando?. vipi kuhusu mishahara au ni posho tu.umesema mnatuma pesa mikoani mbona kila anayetoka anasema hamtumi mf waraka wa mkulima maskini .cc makene tumain

hawawezi kuzijibu hoja za msingi hata moja wala kuzitolea ushahidi. Hoja kama ya dr kutuma watu mikoani kusambaza waraka wa kumchafua zito haijaguswa.
Wanakimbilia kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Tuna safari ndefu ya kupata upinzani imara.
 
Wote ni wakristo hili mbona hamjalitolea maelezo? Mnataka kukifanya chama ni cha kanisa?
 
Zitto alikuwa haji msikitini kabisa lakini sasa hivi anajifanya swala tano ili kutafuta sympath ya Waislamu sisi tutamtimua huyu msaliti asije akaleta migogoro na Huku

Asha mohamed,
Islam inasema "hakuna karaha katika dini", pia Islam inasema "Muislam ni nduguye Muislam".
Pls, rejea mafundisho na usichanganye dini na SIASA.
 
Last edited by a moderator:
anasema Chadema kuna ubaguzi na hapohapo ameruhusiwa kuingia kwny vikao muhimu.ukiwa muongo usiwe msahaulifu
 
Dalili zote za kukifanya chama hiki ni cha kanisa ziko wazi. Damu ya muislamu haithaminiwa chadema. Waislamu Mnaotumiwa kiagenda chadema angalieni sana. Usishangae Mohamedi Mtoi kesho nawe ukatangazwa ni mtendaji wa makao makuu lakini ujue tu na wewe mida itafika.
 
Last edited by a moderator:
Asha mohamed,
Islam inasema "hakuna karaha katika dini", pia Islam inasema "Muislam ni nduguye Muislam".
Pls, rejea mafundisho na usichanganye dini na SIASA.

Huyo boya sio muislamu ni jinga flani kubwa tu linajifanya islam ili kuwapumbaza wengine. Cc Matola.
 
Last edited by a moderator:
Mtajichanganya hadi mchekwe. Mwanachama anapoleta ukweli mtandaoni inabidi mtulie kwanza mchanganye yake yenu na ya watoa maoni ili mlete ukweli hapa na mkiona mmeelemewa pigeni kimya.
 
Back
Top Bottom