CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

Hakuna ulichojibu haapa,mwenyekt wa CDM n zitto kabwe na ndo mwenye ushawish wa kushka dola wengne wote makanjanjaa tuu
Angeshawishi majimbo ya Kigoma kwanza.atashawishi saangapi wakati amechukua cha juu toka kwa akina Mwigulu
 
Mkuu majibu yanamtosha mhuni huyo.Hawezi mapambano.cdm inawenyewe wapambanaji
 
Mkuu Makene tunashukuru kwa kazi nzuri ya kujibu kwa wakati mwafaka, hii imekuwa ndani ya masaa yasiyopungua sita

Huu ndio uwajibikaji wa chama kinachojiandaa kushika dola
Nje ya mada kajibu.Wakurugenzi 5 wote wakristo waliokuwepo,utadhani hakuna Muislam.Hiyo ndio Agenda kuu.Wapi amejibu kuhusu uteuzi huo?Au John Mrema ni Muislam?Uwajibikaji sio kudonyoa majibu bali kuyakabili hata yale yanayokera kwa ukweli wake.
 
Mkuu majibu yanamtosha mhuni huyo.Hawezi mapambano.cdm inawenyewe wapambanaji
CDM ina wenyewe ndio maana Chitanda kaona hapamfai.Ukanda na udini ndio wenye CDM yao.Mnapambana kutugawa mbele ya safari badala ya kuhubiri ukombozi mnaosema.Viva wadini
 
well said Mkuu
waandishi wa habari kuweni makini na mnakoitwa
sio kila habari ni habari nyingine lazima mzicambue ndio mzitoe kwenye media
tatizo mnahongwa vibahasaha na mnapenda kuandika one sided story
mngepata majibu kama haya ya Makene haabri yenu ingekuwa balanced.
 
ZZK aangalie sana hela alizo pokea.wakiona biashara imeingia mkenge watamnyang'anya zote.ndipo atakapo juta
 
Safi sana Bwana Tumaini Makene kwa kuwavua nguo Magamba yaani kwa msisitizo ukaweka hadi wanakotoka,hivi kila siku huwaga najiuliza kuna Watanzania ambao wanaamini uongo huu wa huyu Pimbi...ii..mbi ati wakurugenzi wapya jamani huo si uongo wa mchana tena mweupe.Yaani Magamba wasivyokuwa na akili hata kudanganya hawawezi aibu sana.Nasikitikia wananchi wanaowaunga mkono Magamba na huyu jamaa kawatia aibu hadi wazazi wake yaani hapo walipo wanasema lol hata kama ni njaa lakini mwanetu kalikoroga.Pia nina shaka na huyu mtu huenda kapewa apost tu hii habari yake bila hata ya yeye mwenyewe kuisoma maake kama angeisoma na kusoma alama za nyakati angemwambia aliyemtuma kaka hii hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi kukubali uongo huu tuachane nayo nawashauri vijana wa CCm au vibaraka wajifunze kusoma post ambazo wanapewa kuja kuzipost humu ndani na wasiwe wavivu kama Mwenyekiti wao Jakaya Kikwete mvivu wa kusoma yeye akiletewa waraka au muswada wowote anasaini tu na mwisho wa siku anasema oooh kweli kumbe kulikuwa na makosa.
 
Mijitu mijinga nikama hili

Huwa sibabaishwi na kakyuma kadogo km wewe!! Wewe ungekuwa mjanja ungeshabikia udini? Utafirama sana lakini ukweli utabakia palepale kwamba CDM ni kiboko ya Ccm na 2015 ndio mtajua kuwa kibarakashehe sio ndio inayopiga kura!!
 
Hayo majibu ya Makene yako robo, sio lazima ukimbie kujibu bila ya kuwa na collective responsibility.
Makene hapo umepwaya sana kwa majibu ya kuedit.

Siyo lazima ujibu haraka ili uonekane unafanya kazi, bali umejidhalilisha sana kwa kutoa majibu yanayoonyesha ubishi dhidi ya hoja nzito na zilizopangiliwa za Chatanda.

Makene kwa hili umechemka, hakuna sehemu hata moja uliojaribu kujibu hoja au kutoa msimamo wa chama bali umetengeneza sintofahamu dhidi ya uwezo wenu wa kufikiri ulivyo kwasasa hapo ofisi zenu za makao makuu.

Mbona hukujibu hoja za Makamu Mwenyekiti Ndg Arfi?

Mbona hukujibu hoja nzito za Prof. Baregu?

Mbona hukujibu hoja za mara ya pili za Ndugu Mwigamba?

Mbona hujajibu hoja za mjumbe wa Baraza kuu kutoka Temeke?

Mbona hujajibu hoja za vijana wa Vyuo vikuu?

Mbona hujatoa ufafanuzi kwanini Mabere Marando kaondolewa kwenye nafasi yake bila Taarifa?

Kwa ufupi chama chenu mpaka sasa kimevurugwa, kuna haja mjipange au muwe kimya ili mjue nyufa zilizoko nyuma ya huu Mtikisiko na Mahitaji ya Majibu Mujarabu dhidi ya hoja muhimu zinazoibuka kila uchao.

kwa maelezo yako, you wish hiki chama kife, lakini ndo hivyo huna uwezo wa kukiua, unabaki unalalamika hakuna jema la cdm kwako wewe
 
Tamko la uongo kabisa makene aibu yako mwaka huu mpaka uongo utawaisha tu.
 


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Hii ni moja ya sifa ya kukosa hoja hivyo mtu anaamua kuibua viroja au kutunga maneno kwa sababu ya kujaribu kuukana ukweli anaoujua moyoni. Tutatoa mfano mmoja;
​




Tumaini Makene

Ofisa Mwandamizi wa Habari- CHADEMA
Tumaini Makene, kumbe huwa mnajifunza mengi kutoka kwangu.

"mkikosa hoja mnaanza viroja" = courtesy FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
mnyika anatoka mwanza na kilimanjaro. mbona mnaficha anakotoka mama yake.

acheni hizo mtoto mwenye wazazi toka sehemu tofauti inabidi museme.

wewe ni mpuuzi kweli kwel...hivi huu ubaguzi mnaoufanya mna malengo gani na taifa. Haya wewe unayejua mnyika anatoka wapi tuambie basi!
 
CDM ina wenyewe ndio maana Chitanda kaona hapamfai.Ukanda na udini ndio wenye CDM yao.Mnapambana kutugawa mbele ya safari badala ya kuhubiri ukombozi mnaosema.Viva wadini

Sasa Mwislamu huyu Chitanda ilikuwaje akapewa madaraka makubwa hivyo? Wakristo walikuwa wameisha?
 
MORE MIXTURE NEEDED,WISH THE "PARTY"OR CDM BETTER ARCHIEVEMENT AND A HEALTHLY GOOD START,WE BELIEVE IT'S A RiGHT STEP FORWARD TO REACH BEYOND.WISH LOTS LUCKY! 😛eace:
 
Zitto na JK ni marafiki, JK ni bingwa wa makundi na mitandao. CDM jiandaeni na mtandao wa Zitto uliojengwa muda mrefu na una nguvu ya pesa na dola. Get rid of Zitto n Katila right away

Ondoa Shaka KAMANDA hao watu ulokuwa unable hofu nao habari yao imekwisha. Hawana jipyaa wamebaki NA hoja mufilisi NA watanzania hawawaamini tenaa
 
Haya ndiyo matatizo ya siasa za Tanzania zinazochagizwa na nguzo viongozi badala ya nguzo taasisi.

Kwenye mitifuano kama hii hata majibu na hoja zinakuwa based on cherry picking kulingana mtazamo wa baadhi ya viongozi.

Sikutegemea Hoja za Makamu Mwenyekiti Taifa zisipate majibu badala yake hoja ya Mwenyekiti wa Mkoa ndiyo ipate majibu kwa haraka. What is the reason behind?.

Unataka kutuaminisha kuwa yaliyosemwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti ni kweli ndiyo maana hayakupata majibu hata kwenye press conference ya CHADEMA lakini haya yaliyosemwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa siyo kweli ndiyo maana yamepata majibu?.

Kama kweli CHADEMA kinataka kuwa firm and fair, hoja hii hapa chini ingepewa majibu kama ilivyo hoja ya aliyekuwa Mwenyekiti wa mkoa ili kuondoa ukungu wa madai na kujenga uwanja wa wananchi kuzipima hoja zote na kuchukua maamuzi kulingana na angalizo na mitazamo yao.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...amu-mwenyekiti-wa-chadema-ajiuzulu-rasmi.html

Yetu macho na masikio.

Na nyie msiwe kama mazezeta, haya majibu ni mjumuiko wa taarifa zilizotaka clarification kutoka kwa waandishi wa habari ambao waliitwa na huyo katibu wa CDM mkoa wa Lindi. Huyo Arfi alipojiuzulu aliita waandishi wa habari? Na barua yake au tamko lake aliviadress kwa nani? una uhakika hakupewa majibu?
 
Back
Top Bottom