Babu sea
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 957
- 758
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
Amesema uteuzi bado unaendelea get it?