nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....
Kama unavutiwa na Zitto mpeleke nyumbani kwako ikiwezekana chumbani kwako kabisa. Vijana wenye fikra kama zako ni carcass na hawalifai Taifa hii. Ni upofu kuendekeza mapenzi binafsi kwa mtu kwa masuala yanayohusu taasisi. Zitto kutolewa CDM haimaanishi kafungiwa kufanya siasa, ataendelea kuwa mwanasiasa aidha kupitia chama kipya atakachokianzisha au kupitia CCM anayoitumikia gizani. If he is your hero utamfuata popote aendako, vitisho vya nini?