CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

Mnyika Mwanza???
Ni sawa na useme Wenje anatoka Mara, halafu ukaacha kutaja UKENYA wake!
 
huyu jamaa aanzishe chama chake ili achague viongozi wa dini hiyo aliyotaja! hizi hoja za kuleta usawa katika nafasi za uongozi kwa kigezo cha dini ni mufilisi kabisa
..Hajaanza yeye alianza mtei kwenye tume ya jaji warioba(Tume ya katiba) mbona hukuyasema haya uliyo yasema leo?
 
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.

MAGAMBA mmeanza kuweweseka!! MUNGU KWETU SISI NI KIMBILIO. MSAADA WETU NI KATIKA YEYE ATUTIAE NGUVU. ulitaka tuwe tunasali kwa kufirama km wewe ndio ukubali kwamba ndani ya Chadema kunae Waislamu?

Udini na Ukabila ndio silaha ya mtu yeyote aliefilisika Kisera na kimtazamo.
Wewe ndie Mdini namba moja lakini nakushangaa unashadadia CDM!!
 
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.

Kwa nini kamati kuu ya CCM ina waislamu 20? Ni shura ya maimamu au kuna agenda gani ya siri?
 
Hivi kwanini Chadema haikutoa statement yoyote baada ya Arfi kujiuzuru?
 
Hayo majibu ya Makene yako robo, sio lazima ukimbie kujibu bila ya kuwa na collective responsibility.
Makene hapo umepwaya sana kwa majibu ya kuedit.

Siyo lazima ujibu haraka ili uonekane unafanya kazi, bali umejidhalilisha sana kwa kutoa majibu yanayoonyesha ubishi dhidi ya hoja nzito na zilizopangiliwa za Chatanda.

Makene kwa hili umechemka, hakuna sehemu hata moja uliojaribu kujibu hoja au kutoa msimamo wa chama bali umetengeneza sintofahamu dhidi ya uwezo wenu wa kufikiri ulivyo kwasasa hapo ofisi zenu za makao makuu.

Mbona hukujibu hoja za Makamu Mwenyekiti Ndg Arfi?

Mbona hukujibu hoja nzito za Prof. Baregu?

Mbona hukujibu hoja za mara ya pili za Ndugu Mwigamba?

Mbona hujajibu hoja za mjumbe wa Baraza kuu kutoka Temeke?

Mbona hujajibu hoja za vijana wa Vyuo vikuu?

Mbona hujatoa ufafanuzi kwanini Mabere Marando kaondolewa kwenye nafasi yake bila Taarifa?

Kwa ufupi chama chenu mpaka sasa kimevurugwa, kuna haja mjipange au muwe kimya ili mjue nyufa zilizoko nyuma ya huu Mtikisiko na Mahitaji ya Majibu Mujarabu dhidi ya hoja muhimu zinazoibuka kila uchao.
 
mnyika anatoka mwanza na kilimanjaro. mbona mnaficha anakotoka mama yake.

acheni hizo mtoto mwenye wazazi toka sehemu tofauti inabidi museme.

Jenifa hivi huna boy friend wa kukuscrew muda huu? Maana nana unajambajamba tu hapa kwa kusumbuliwa na stress.

Tangu lini mtoto akachukuwa kabila la mama yake?
 
Kwa nini kamati kuu ya CCM ina waislamu 20? Ni shura ya maimamu au kuna agenda gani ya siri?

Hili nalo NENO!! Hivi kweli kule CCM, Rais Muislamu,Makamo Muislamu, Katibu Mkuu Muislamu na Wateule wa Rais km Jaji Mkuu Mwislamu,Mkuu wa polisi Mwislamu sekretariet kuu Ccm 80% ni Waislamu je hii ni Shura ya Imam? Ritz tunaomba utujibu.
 
Hili TAMKO limejaa mipasho tu.

Josephine Mushumbusi ameingilia ofisi za Chadema...
 
Hayo majibu ya Makene yako robo, sio lazima ukimbie kujibu bila ya kuwa na collective responsibility.
Makene hapo umepwaya sana kwa majibu ya kuedit.

Siyo lazima ujibu haraka ili uonekane unafanya kazi, bali umejidhalilisha sana kwa kutoa majibu yanayoonyesha ubishi dhidi ya hoja nzito na zilizopangiliwa za Chatanda.

Makene kwa hili umechemka, hakuna sehemu hata moja uliojaribu kujibu hoja au kutoa msimamo wa chama bali umetengeneza sintofahamu dhidi ya uwezo wenu wa kufikiri ulivyo kwasasa hapo ofisi zenu za makao makuu.

Mbona hukujibu hoja za Makamu Mwenyekiti Ndg Arfi?

Mbona hukujibu hoja nzito za Prof. Baregu?

Mbona hukujibu hoja za mara ya pili za Ndugu Mwigamba?

Mbona hujajibu hoja za mjumbe wa Baraza kuu kutoka Temeke?

Mbona hujajibu hoja za vijana wa Vyuo vikuu?

Mbona hujatoa ufafanuzi kwanini Mabere Marando kaondolewa kwenye nafasi yake bila Taarifa?

Kwa ufupi chama chenu mpaka sasa kimevurugwa, kuna haja mjipange au muwe kimya ili mjue nyufa zilizoko nyuma ya huu Mtikisiko na Mahitaji ya Majibu Mujarabu dhidi ya hoja muhimu zinazoibuka kila uchao.

Kinachokuuma ni kuona Chadema haifanyi kazi kwa maelekezo ya CCM au unavyopenda wewe.

Utaendelea kujambajamba tu hapa lakini Chadema itatoa ufafanuzi wa jambo wao wataloamuwa kulitolea ufafanuzi na si utakavyo wewe tutusa.

Naona ile thread ya Chitanda imeshadoda sasa vibaka wote mmehamia huku.
 
Mkuu Makene tunashukuru kwa kazi nzuri ya kujibu kwa wakati mwafaka, hii imekuwa ndani ya masaa yasiyopungua sita

Huu ndio uwajibikaji wa chama kinachojiandaa kushika dola
.John John Mniyika yupi alie toka Mwanza? Hebu tuambie anakaa wapi mwnza au baba au mama ndio wa mwanza? Mbona unatuchanganya au kuna John Mnyika wawili cdm na vp kuhusu udini kweli watu 7 hakuna hata muislam 1 ktk cdm mwenye sifa yakuwa mkurugenzi ktk hizo idara huoni munatoa uthibitisho wa udini munaoshutumiwa?
 
Tunashukuru kwa ufafanuzi huo.

CHADEMA ni chama makini.

CCM tambueni CHADEMA si kama ile NCCR ya akina Mrema na Marando ya wakati ule.
 
Kurugenzi ya Habari CHADEMA wacheni kutapatapa. Issue ya zitto inaonyesha jinsi hakuna tolerance of style and opinion. zitto ni naive lakini ni dedicated to the course of change. he is an important soldier to the course towards good governance. Badala ya kumredicule inafaa kumtame awe na subira kwa nafasi anayotaka ya uongozi kwenye chama.
 
Last edited by a moderator:
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.

Mh, nimekuwa nakuheshimu ila ckujua ww ni bure kbc, nn usicho elewa hapo, kwa tukiwa tunachagua viongozi tuangalie dini zao kama ilivyo ikulu yenye waislaamu wote jaribu kujitambua acha ushabiki wa kipuuzi, kama ni zzk ameshatupwa hayo ndo matunda yke tulijua itakuwa hivi walaa hatuogopi, nina amini mkishakua kiakili mtaacha
 
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.

Elimu za kanzu na baragashia tabu sana
 
Haya ndiyo matatizo ya siasa za Tanzania zinazochagizwa na nguzo viongozi badala ya nguzo taasisi.

Kwenye mitifuano kama hii hata majibu na hoja zinakuwa based on cherry picking kulingana mtazamo wa baadhi ya viongozi.

Sikutegemea Hoja za Makamu Mwenyekiti Taifa zisipate majibu badala yake hoja ya Mwenyekiti wa Mkoa ndiyo ipate majibu kwa haraka. What is the reason behind?.

Unataka kutuaminisha kuwa yaliyosemwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti ni kweli ndiyo maana hayakupata majibu hata kwenye press conference ya CHADEMA lakini haya yaliyosemwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa siyo kweli ndiyo maana yamepata majibu?.

Kama kweli CHADEMA kinataka kuwa firm and fair, hoja hii hapa chini ingepewa majibu kama ilivyo hoja ya aliyekuwa Mwenyekiti wa mkoa ili kuondoa ukungu wa madai na kujenga uwanja wa wananchi kuzipima hoja zote na kuchukua maamuzi kulingana na angalizo na mitazamo yao.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...amu-mwenyekiti-wa-chadema-ajiuzulu-rasmi.html

Yetu macho na masikio.
 
nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....

kama unaweza kuandika matope hivi usijiite mpenda mabadiliko.... kama unafuata watu na sio sera za chama wewe ni dhaifu wa hali ya juu saanaa..... nenda popote your hero atakapodondokea....!
 
mnyika mwanza???
Ni sawa na useme wenje anatoka mara, halafu ukaacha kutaja ukenya wake!

hata mimi nashangaa, eti mnyika mwanza? He he he chadema sasa mnachekesha sana! Mnyika ni mshikadau, yaani ni wa hukohuko kilimanjaro, acheni kutuhadaa watanzania kwa ujinga wenu. Hilo chama lenu la ukabila na ukanda endeleeni nalo tu mpaka liwafie mshangae. Tumaini makene utatumika sana, utaandika sana upuuzi kama huo mwisho utatupwa kama maganda ya ndizi, nakuhurumia sana( omumu makene)
 
Back
Top Bottom