Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
kama unaweza kuandika matope hivi usijiite mpenda mabadiliko.... kama unafuata watu na sio sera za chama wewe ni dhaifu wa hali ya juu saanaa..... nenda popote your hero atakapodondokea....!
kupost mpost wenyewe na kushukuru mshukuru wenyewe.
Lakini nina swali dogo kwako mkuu wewe yeriko na mwenzio ben saanane.
"mmejiandandaaaje na kuburuzwa mahakamani, kwa kile kinachoitwa riport ya siri?"
Mkuu Makene tunashukuru kwa kazi nzuri ya kujibu kwa wakati mwafaka, hii imekuwa ndani ya masaa yasiyopungua sita
Huu ndio uwajibikaji wa chama kinachojiandaa kushika dola
Hayo majibu ya Makene yako robo, sio lazima ukimbie kujibu bila ya kuwa na collective responsibility.
Makene hapo umepwaya sana kwa majibu ya kuedit.
Siyo lazima ujibu haraka ili uonekane unafanya kazi, bali umejidhalilisha sana kwa kutoa majibu yanayoonyesha ubishi dhidi ya hoja nzito na zilizopangiliwa za Chatanda.
Makene kwa hili umechemka, hakuna sehemu hata moja uliojaribu kujibu hoja au kutoa msimamo wa chama bali umetengeneza sintofahamu dhidi ya uwezo wenu wa kufikiri ulivyo kwasasa hapo ofisi zenu za makao makuu.
Mbona hukujibu hoja za Makamu Mwenyekiti Ndg Arfi?
Mbona hukujibu hoja nzito za Prof. Baregu?
Mbona hukujibu hoja za mara ya pili za Ndugu Mwigamba?
Mbona hujajibu hoja za mjumbe wa Baraza kuu kutoka Temeke?
Mbona hujajibu hoja za vijana wa Vyuo vikuu?
Mbona hujatoa ufafanuzi kwanini Mabere Marando kaondolewa kwenye nafasi yake bila Taarifa?
Kwa ufupi chama chenu mpaka sasa kimevurugwa, kuna haja mjipange au muwe kimya ili mjue nyufa zilizoko nyuma ya huu Mtikisiko na Mahitaji ya Majibu Mujarabu dhidi ya hoja muhimu zinazoibuka kila uchao.
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
Ok;let it be your hero then for us let us believe as our real enemy against the Revolution we wantnyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....
yamekuwa hivi leo!!!!!!huyu jamaa aanzishe chama chake ili achague viongozi wa dini hiyo aliyotaja! hizi hoja za kuleta usawa katika nafasi za uongozi kwa kigezo cha dini ni mufilisi kabisa
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....
safi kwa response ya haraka CDM imekua effective sana...utafikiri ni chama kiko ulaya ama marekani...hii kasi si mchezo
Zitto na JK ni marafiki, JK ni bingwa wa makundi na mitandao. CDM jiandaeni na mtandao wa Zitto uliojengwa muda mrefu na una nguvu ya pesa na dola. Get rid of Zitto n Katila right away
nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....
1. Mkurugenzi wa Oganaizesheni Mhe. Singo Kigaila Benson.
2. Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano ya ndani Mhe. John Mnyika (Mb).
3. Mkurugenzi wa Fedha na uwekezaji Mhe. Anthony Komu.
4. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashuri Mhe. John Mrema.
5. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Mhe. Wilfred Lwakatale.
Uteuzi huu hauonyeshi sura ya Kitaifa Wakurugenzi wote watano ni Wakristo kanakwamba CHADEMA hakuna Waislamu wenye uwezo wa kushika nafasi hizo.
Lakini pia hauzingatii mgawanyo wa kijamii kwa kuwa kati ya kurugenzi hizo sita wakurugenzi wanne kati yao wanatokea mkoa mmoja wa kilimanjaro
Kwani wewe unataka kumpigia kura Zitto akiwa CHADEMA tu??? utamfuata atakakokwenda kwa sababu he is your hero!