PreGE2025 CHADEMA njooni na hoja zinazomtoa nyoka pangoni

PreGE2025 CHADEMA njooni na hoja zinazomtoa nyoka pangoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CHAMA CHENYE HOJA HAKIOGOPI UCHAGUZI...IVI UNATEGEMEA HOJA GANI KUTOKA CHADEMA?
Chadema kutwa wanawasomea watu ibara za katiba ambayo hawaiamini kuhalalisha kile wanachofanya. Wanaikataa na kuikubali kwa wakati mmoja. Katiba inataja demokrasia ya watu lakini pia inataja mamlaka ya Rais na namna Tume ya uchaguzi inavyopatikana.
 
😹😹😹 Yani hapa nakucheka najua ushajitupa chini kwa hasira na likitambi lako km furushi la mtumba..!!

Imekuuma?? Tulia itapoa
Una hasira sana. Kila ukiona comment yangu unajisikia kulegea. Endelea kujifanya mwanamke. WATU WAMEKUSHTUKIA HAWAKUTAKI. MIMI ENDELEA KUNIFUATA FUATA ILA SITAKI MABWABWA hata ungejiita miss bantu. Wewe ni mwanaume usijione kama mwanamke.endelea kujisikia kichefu chefu.nataka kila ukiniona sehemu uvurugukiwe
 
Ukitoa ushauri ...unatoa na Mifano kidogo, mfano wa ajenda ya kwenda nayo unawaorodheshea hapo ili wakipita wakaona kuna hoja haipo kwa listi yao wanaiongeza na kutembea nayo...unakuwa unawarahisishia kazi kidogo. Unakuwa sehemu ya mabadiliko nawewe....
 
Chadema kutwa wanawasomea watu ibara za katiba ambayo hawaiamini kuhalalisha kile wanachofanya. Wanaikataa na kuikubali kwa wakati mmoja.
CHADEMA hawajawahi kusema hawaiamini Katiba iliyopo, bali kila siku wanasema Katiba yetu Ina mapungufu makubwa kiasi kwamba ukatiba wake umekufa.
Katiba inataja demokrasia ya watu lakini pia inataja mamlaka ya Rais na namna Tume ya uchaguzi inavyopatikana.
Mamlaka ya Rais yaliyopo ni ya kifalme hivyo hayafai kuwepo kwenye nchi kama ya kwetu ambayo ni Jamhuri.
 
Zanzibar Wana tumehuru lakini ni vilio kila uchaguzi! Marekani Wana katiba Bora ajabu Kuna mwaka Trump alilalamika ameibiwa kura,Kenya Wana katiba Bora sana lakini kila mwaka wako barabarani
Kwa unaona bora sisi tusiwe na tume huru tu kwa mifano hiyo??
 
Una hasira sana. Kila ukiona comment yangu unajisikia kulegea. Endelea kujifanya mwanamke. WATU WAMEKUSHTUKIA HAWAKUTAKI. MIMI ENDELEA KUNIFUATA FUATA ILA SITAKI MABWABWA hata ungejiita miss bantu. Wewe ni mwanaume usijione kama mwanamke.endelea kujisikia kichefu chefu.nataka kila ukiniona sehemu uvurugukiwe
Wewe unilegeze wakati hapo ushalegezwa umebaki kuchezesha kalio tumbo kubwa wamekujaza sperm 😹😹😹

Nishakwambia ita mashoga wenzio wote mpk bb yako alokufirigisa kizibo wote nawapandisha sukari mpk muingie period..!!
 
nj
Kuna vitu vizuri na vibaya ambavyo watanzania wanavijua kuhusu CCM, Serikali, viongizi na Katiba yao, lakini wananchi bado wanaona kuwa mazuri bado ni mengi kukiko mabaya yao.

Ndio maana bado watu wanavaa mashati ya kijani mitaani bila hofu. Watanzania pia wanafahamu mazuri na mabaya ya vyama na viongozi wa upinzani lakini bado wanaona mabaya yao ni mengi kuliko mazuri, ndio maana mitaani kuko shwari hata kama viongozi wa upinzani wakikutana na masahibu gani ya kisiasa.

Na hii inatokana na viongozi wa upizani kuwa na tabia ya kuorodhesha matatizo tu bila kusema wao watafanya nini kuyaboresha katika mazingira kama haya ya dunia ilivyo. Kuna wakati wapinzani wanarudi CCM kila wakinyimana maslahi kuonyesha kuwa dhamira zao ni maslahi yao tu sio shida za wananchi orodha ya wapinzani waliorejea CCM ni ndefu sana na inayokatisha tamaa wananchi kuviamini vyama hivi kama vyama kimbilio kwao.

Kama utadhani kuwa hakuna watu wameichoka CCM utakuwa unakosea tena sana. Inafahamika kuwa ccm imekusanya watoto wanaccm wa zamani na sasa kuwapa zawadi na fadhila za kutuongoza hata kama wengine hawana uwezo wa kuongoza. Lakini hawaoni nani wa kumpa uongozi mbadala wa ccm bado.

Kuna kiongozi wa upinzani unasema naaam huyu ni madhubuti, lakini mara utasikia ameenda au amerudi ccm.
njaa inawapeleka CCM brother
 
Kwa unaona bora sisi tusiwe na tume huru tu kwa mifano hiyo??
Kama Trump alillamika Dunia nzima ameibiwa kura we nani Kenya Wana katiba na tume huru kabisa lakini mwaka Jana Raila aliandamanisha wake ya ameibiwa kura hamukuona?
 
Kuna vitu vizuri na vibaya ambavyo watanzania wanavijua kuhusu CCM, Serikali, viongizi na Katiba yao, lakini wananchi bado wanaona kuwa mazuri bado ni mengi kukiko mabaya yao.

Ndio maana bado watu wanavaa mashati ya kijani mitaani bila hofu. Watanzania pia wanafahamu mazuri na mabaya ya vyama na viongozi wa upinzani lakini bado wanaona mabaya yao ni mengi kuliko mazuri, ndio maana mitaani kuko shwari hata kama viongozi wa upinzani wakikutana na masahibu gani ya kisiasa.

Na hii inatokana na viongozi wa upizani kuwa na tabia ya kuorodhesha matatizo tu bila kusema wao watafanya nini kuyaboresha katika mazingira kama haya ya dunia ilivyo. Kuna wakati wapinzani wanarudi CCM kila wakinyimana maslahi kuonyesha kuwa dhamira zao ni maslahi yao tu sio shida za wananchi orodha ya wapinzani waliorejea CCM ni ndefu sana na inayokatisha tamaa wananchi kuviamini vyama hivi kama vyama kimbilio kwao.

Kama utadhani kuwa hakuna watu wameichoka CCM utakuwa unakosea tena sana. Inafahamika kuwa ccm imekusanya watoto wanaccm wa zamani na sasa kuwapa zawadi na fadhila za kutuongoza hata kama wengine hawana uwezo wa kuongoza. Lakini hawaoni nani wa kumpa uongozi mbadala wa ccm bado.

Kuna kiongozi wa upinzani unasema naaam huyu ni madhubuti, lakini mara utasikia ameenda au amerudi ccm.
kwa sasa ni No reform No Election baada ya reforms ndio tutaanza kujadili hayo mengine
 
Mimi nataka kukuuliza tu swali dogo na mada yako hii; bila ya kutaka kuchambua kila kipengele ulicho elezea wewe hapa kuhusu kupendwa kwa CCM na kutopendwa kwa vyama vya upinzani.
Je, huku kupendwa kwa CCM kunahusiana vipi na CCM wenyewe waamue kutumia kila aina ya mbinu kuendelea kuwa madarakani? Hawa CCM hawaamini wananchi kuwa wakiruhusu uchaguzi HURU na HAKI wananchi hao wanaowapenda wao, na kuwadharau wapinzani watafanya maamuzi yasiyo wapendeza CCM?

Ninakuomba uwashauri hao CCM wawe na uthubutu wa kuruhusu uchaguzi huru, ili wananchi wawathibitishie kwamba hakuna mbadala wao.
 
Hata Nyerere wakati anadai uhuru alituambia maneno kama hayo, kuwa tukijitawala maendeleo yetu yatapaa kwa speed ya sauti. Leo hii wako watu wanaosema ni heri ya wakoloni kuliko CCM. Kaka ni kweli wapinzani wako tayari kuendesha nchi, hatutajuta kama wengine waliojuta? Nionyeshe nchi ya afrika ambayo wapinzani wameleta mageuzi makubwa kuliko vyama vilivyoangushwa.
Duh!
Fikra za aina hii zitatufikisha wapi kama taifa?
Tuache kufanya mabadiliko tunayoyataka sisi kwa vile tu kuna baadhi ya nchi zina matatizo na mabadiliko yao?
Tunachotaka sisi ni kufanya mabadiliko ya kuondoa utawala wa hila unaong'ang'ania kubaki kwenye madaraka miaka nenda miaka rudi!
Kama wapinzani watakao ingia na wao tukiona hawafai, tuwe na uwezo wa kuwabadilisha. Haki hii ina matatizo gani?

Kwa nini pawe na kundi la watawala linalojifanya kama ndio wanaotufuga kama mifugo yao?
Kwa nini tufanywe mateka wa hiki kikundi cha watu walioko CCM.
 
Ungesoma kwanza muundo wa tume ya uchaguzi Zanzibar baada muafaka na maalimu seif ndo urudi jukwaani
Kwani wakati Jecha anafuta matokeo mwaka 2015 mambo ya muafaka yalikuwa Bado?

Hebu onesha hapa uhuru wa hiyo tume tofauti na Tume ya Tanzania (Tanganyika).
 
Hata Nyerere wakati anadai uhuru alituambia maneno kama hayo, kuwa tukijitawala maendeleo yetu yatapaa kwa speed ya sauti.
Ni lini na wapi Mwalimu Nyerere alisema kuwa tukijitawala maendeleo yetu yatapaa kama sauti?

Halafu ni kweli kuwa hakuna kilichobadilika kwa Tanganyika kuwa huru?
 
Kama Tume ya Zanzibar ingekuwa huru Jecha angefuta ushindi wa Maalim Seif kidhalimu namna ile?

Wewe sifa za Tume huru unazozijua ni zipi?
Tukubaliane tu kwamba upinzani hauna kitu kipya kitakachotukwamua hapa tulipo, it will be the same story or more worse. Mpaka sasa hatujui nani wako nyuma ya wapinzani na wanataka nini kwao baada ya kufika Ikulu.

Tunataka mpinzani atakaetupa majibu ya masoko ya korosho, kahawa, chai, dhahabu na mahindi na maliasili yetu. Tunataka mtu atuambie atafanya nn juu ya ukosefu wa technolojia muhimu kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi, na uchimbaji na uchakataji wa mazao na maliasili zetu ili tusiuze yakiwa ghafi.
 
Tukubaliane tu kwamba upinzani hauna kitu kipya kitakachotukwamua hapa tulipo.
Hapa Kuna mambo mawili ;

Kwanza unakiri kuwa hapa tulipo kama Taifa tumekwama. Tumekwamaje na nani waliotukwamisha kila mtu mwenye akili timamu anajua tumekwamishwa na CCM.

Jambo la pili unasema "wapinzani" hawana uwezo wa kututoa hapa tulipokwama. Hii inashangaza Sana.

Kwa maana nyingine unaamini hawa hawa CCM ambao ndiyo waliotukwamisha ndiyo wataweza kututoa hapa tulipokwama! Huu mtizamo wala haukugutui kuwa fikra zako zimekwenda upogo?
 
Sio CCM iliyotukwamisha kiasi hiki. CCM labda inahusika kwa 5% tu, na 95% ni sababu nje ya CCM. Ushahidi wa hili ni Afrika yote ya weusi iko hivyohivyo tu, hakuna mwenye afadhali kuonyesha kuwa kuna common factor inayotutafuta sisi afrika ya weusi ambayo iko nje ya Afrika ya weusi. Kama Tanzania ingekuwa nyuma sana dhidi ya nchi nyingine za weusi wenzetu ningeilaumu CCM moja kwa moja bila kupepesa macho. Mfano, kenya wana katiba mpya na tume nzuri inayoweza kufuta uchaguzi lakini hali yao nkama yetu raia wanapotea tu na uchumi sio kivile.
 
Shida ya ccm kukataa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, hili linafuta mazuri yote waliyoyafanya
inajisahau kuwa inabebwa na vibibi na vibabu kule kijijini vinavyoijua ile ccm ya Tanu ilioleta uhuru. Kizazi hiki wakumbuke kinaondoka na ndio sababu ccm inapata shida kushinda chaguzi za mjini
 
Sio CCM iliyotukwamisha kiasi hiki. CCM labda inahusika kwa 5% tu, na 95% ni sababu nje ya CCM. Ushahidi wa hili ni Afrika yote ya weusi iko hivyohivyo tu,
Afrika yote inafanana? Unataka kusema Botswana na Namibia wanavosimamia rasirimali zao wanafanana na sisi?

Makaa ya mawe yanachumbwa lakini husikii yakitajwa popote pale!
 
Back
Top Bottom