PreGE2025 CHADEMA njooni na hoja zinazomtoa nyoka pangoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mtu kama mo, Bakharesa, diamond, Alikiba, Mzize, FeiToto, vujabei.nk ukiwaambia tume ni mbaya na ccm ni mbaya watakuelewa.?, fursa zipo ila sisi tu
Hao CCM wanawatumia tu kama toilet paper wakishakuwa hawana kazi nao basi watawatupilia mbali
 
Nadhani hata chadema wanawqtumia watu kama tyre za magari kuwafikisha bungeni na Ikulu tu, mkishafika hamuwahitaji tena. Niambie wapiga kura wenu walipata nn wakati nyie mko bungeni.

Hoja nzito sinarahisisha watu kutoka majumbani mwao wenyewe kwenda kuandamana kudai wanachotaka, lakini hoja nyepesi kama hizi zinawafanya watu wajifikirie kwanza kabla ya kuandamana. Njoni na hoja zenye mashiko zinazowatoa watu machozi wakizisikia. Mtikila alikujaga na hoja za magabacholi kiasi kwamba kila mtu alisisimkwa mwili mzima. Sasa unapokuja na hoja ya wamasaii, ,bandari inauzwa, koroshoro na sijui makaa ya mawe ambayo mimi huku Lushoto hata sijui ni kitu gani hicho naona kama mnaropoka tu.
 
CHAMA CHENYE HOJA HAKIOGOPI UCHAGUZI...IVI UNATEGEMEA HOJA GANI KUTOKA CHADEMA?
Wanaorodhesha shida za wananchi ambazo msingi wake hasa ni ukosefu wa teknolojia, mitaji, masoko ya dunia na siasa mbaya za dunia. Mtu anaenda kusema umaskini wq mikoa ya kusini huku akijua kuwa mikoa ya kusini ilikuwa ikiandamwa na harakati za makaburu na wareno.
 
Kuna vitu vizuri na vibaya ambavyo watanzania wanavijua kuhusu CCM, Serikali, viongizi na Katiba yao, lakini wananchi bado wanaona kuwa mazuri bado ni mengi kukiko mabaya yao. Ndio maana bado watu wanavaa mashati ya kijani mitaani bila hofu. Watanzania pia wanafahamu mazuri na mabaya ya vyama na viongozi wa upinzani lakini bado wanaona mabaya yao ni mengi kuliko mazuri, ndio maana mitaani kuko shwari hata kama viongozi wa upinzani wakikutana na masahibu gani ya kisiasa. Na hii inatokana na viongozi wa upizani kuwa na tabia ya kuorodhesha matatizo tu bila kusema wao watafanya nini kuyaboresha katika mazingira kama haya ya dunia ilivyo. Kuna wakati wapinzani wanarudi CCM kila wakinyimana maslahi kuonyesha kuwa dhamira zao ni maslahi yao tu sio shida za wananchi。orodha ya wapinzani waliorejea CCM ni ndefu sana na inayokatisha tamaa wananchi kuviamini vyama hivi kama vyama kimbilio kwao.

Kama utadhani kuwa hakuna watuameshatoka pangoni wameichoka CCM utakuwa unakosea tena sana. Inafahamika kuwa ccm imekusanya watoto wanaccm wa zamani na sasa kuwapa zawadi na fadhila za kutuongoza hata kama wengine hawana uwezo wa kuongoza. Lakini hawaoni nani wa kumpa uongozi mbadala wa ccm bado. Kuna kiongozi wa upinzani unasema naaam huyu ni madhubuti, lakini mara utasikia ameenda au amerudi ccm.
Hoja ni NO REFORM NO ELECTION. Nyoka wote wa CCM Wameshatoka pangoni.
 
Sina uhakika na hilo, kuna ilivyo na ilivyotakiwa iwe. Ni watu walewale wanaohangaika na Katiba na Tume miaka yote kana kwamba Katiba ni jambo la watu wa kikundi fulani tu. Wananchi mpaka leo wameashindwa kuhusianisha Katiba na shida zao za kila siku. Katiba ni tatizo kwa wanasiasa tu basi sio wananchi.
 
Kuna vitu vizuri na vibaya ambavyo watanzania wanavijua kuhusu CCM, Serikali, viongizi na Katiba yao, lakini wananchi bado wanaona kuwa mazuri bado ni mengi kukiko mabaya yao. Ndio maana bado watu wanavaa mashati ya kijani mitaani bila hofu. Watanzania pia wanafahamu mazuri na mabaya ya vyama na viongozi wa upinzani lakini bado wanaona mabaya yao ni mengi kuliko mazuri, ndio maana mitaani kuko shwari hata kama viongozi wa upinzani wakikutana na masahibu gani ya kisiasa. Na hii inatokana na viongozi wa upizani kuwa na tabia ya kuorodhesha matatizo tu bila kusema wao watafanya nini kuyaboresha katika mazingira kama haya ya dunia ilivyo. Kuna wakati wapinzani wanarudi CCM kila wakinyimana maslahi kuonyesha kuwa dhamira zao ni maslahi yao tu sio shida za wananchi。orodha ya wapinzani waliorejea CCM ni ndefu sana na inayokatisha tamaa wananchi kuviamini vyama hivi kama vyama kimbilio kwao.

Kama utadhani kuwa hakuna watu wameichoka CCM utakuwa unakosea tena sana. Inafahamika kuwa ccm imekusanya watoto wanaccm wa zamani na sasa kuwapa zawadi na fadhila za kutuongoza hata kama wengine hawana uwezo wa kuongoza. Lakini hawaoni nani wa kumpa uongozi mbadala wa ccm bado. Kuna kiongozi wa upinzani unasema naaam huyu ni madhubuti, lakini mara utasikia ameenda au amerudi ccm.
Kama hoja zinazotolewa na viongozi wa vyama vya upinzani hasa CDM, haviwezi kumtoa nyoka pangoni,basi huyo nyoka alijifia huko pangoni.Moja wapo ya hoja ni jinsi gani nchi tajiri ina watu masikini bila kushituka
 
Siyo kweli kwamba mazuri ya viongozi wa ccm ni ni mengi kuliko mabaya yao,ni vile wamejiweka kuwa wao ni raia wa daraja la kwanza katika taifa hili.
 
Kama hoja zinazotolewa na viongozi wa vyama vya upinzani hasa CDM, haviwezi kumtoa nyoka pangoni,basi huyo nyoka alijifia huko pangoni.Moja wapo ya hoja ni jinsi gani nchi tajiri ina watu masikini bila kushituka
Hiyo ni hoja nyepesi sana na rejareja . Africa ina nchi zaidi ya 50. Taja nchi moja ambayo iko chini ya jangwa la sahara iko mbele yetu kiuchumi, kijamii na maemdeleo kuliko sisi kwasababu wana katiba na tume ya uchaguzi nzuri.
 
Huu uzi ulitakiaa uwe na paragraphs/aya kama nne.
Unaona paragraphs tu. Katiba yoyote inategemea nani yuko Ikulu ili itoe matunda yaliyokusudiwa kwa wananchi wake. Msituaminishe kuwa Katiba mpya itakuja kutuwekea fedha mifukoni na kutupa mahari za kuolea. Tuwaambie watanzania basic cause ya umaskini wetu. CCM, serikali na tume ya uchaguzi kwa pamoja vinachangia 5% ya matatizo yetu tanzania.
 
Heche awe anaandaa dondoo za kuongea

akitoka Moja anaingia nyingine itasaidia kueleweka zaidi.......
 
Kuna vitu vizuri na vibaya ambavyo watanzania wanavijua kuhusu CCM, Serikali, viongizi na Katiba yao, lakini wananchi bado wanaona kuwa mazuri bado ni mengi kukiko mabaya yao.

Ndio maana bado watu wanavaa mashati ya kijani mitaani bila hofu. Watanzania pia wanafahamu mazuri na mabaya ya vyama na viongozi wa upinzani lakini bado wanaona mabaya yao ni mengi kuliko mazuri, ndio maana mitaani kuko shwari hata kama viongozi wa upinzani wakikutana na masahibu gani ya kisiasa.

Na hii inatokana na viongozi wa upizani kuwa na tabia ya kuorodhesha matatizo tu bila kusema wao watafanya nini kuyaboresha katika mazingira kama haya ya dunia ilivyo. Kuna wakati wapinzani wanarudi CCM kila wakinyimana maslahi kuonyesha kuwa dhamira zao ni maslahi yao tu sio shida za wananchi orodha ya wapinzani waliorejea CCM ni ndefu sana na inayokatisha tamaa wananchi kuviamini vyama hivi kama vyama kimbilio kwao.

Kama utadhani kuwa hakuna watu wameichoka CCM utakuwa unakosea tena sana. Inafahamika kuwa ccm imekusanya watoto wanaccm wa zamani na sasa kuwapa zawadi na fadhila za kutuongoza hata kama wengine hawana uwezo wa kuongoza. Lakini hawaoni nani wa kumpa uongozi mbadala wa ccm bado.

Kuna kiongozi wa upinzani unasema naaam huyu ni madhubuti, lakini mara utasikia ameenda au amerudi ccm.
Wacha weeeeh.....unapenda kutongozwa. Si jambo la kubembeleza ufanyiwe.
 
hawana hoja ispokua kuomba pesa za pocket money na matumizi ya whisky na nyama choma kwa viongozi wa kitaifa 🐒
Mbona nyie hamjibu hoja
Zaidi ya kutumia dola kujibu hoja

Ova
 
Kuna vitu vizuri na vibaya ambavyo watanzania wanavijua kuhusu CCM, Serikali, viongizi na Katiba yao, lakini wananchi bado wanaona kuwa mazuri bado ni mengi kukiko mabaya yao.

Ndio maana bado watu wanavaa mashati ya kijani mitaani bila hofu. Watanzania pia wanafahamu mazuri na mabaya ya vyama na viongozi wa upinzani lakini bado wanaona mabaya yao ni mengi kuliko mazuri, ndio maana mitaani kuko shwari hata kama viongozi wa upinzani wakikutana na masahibu gani ya kisiasa.

Na hii inatokana na viongozi wa upizani kuwa na tabia ya kuorodhesha matatizo tu bila kusema wao watafanya nini kuyaboresha katika mazingira kama haya ya dunia ilivyo. Kuna wakati wapinzani wanarudi CCM kila wakinyimana maslahi kuonyesha kuwa dhamira zao ni maslahi yao tu sio shida za wananchi orodha ya wapinzani waliorejea CCM ni ndefu sana na inayokatisha tamaa wananchi kuviamini vyama hivi kama vyama kimbilio kwao.

Kama utadhani kuwa hakuna watu wameichoka CCM utakuwa unakosea tena sana. Inafahamika kuwa ccm imekusanya watoto wanaccm wa zamani na sasa kuwapa zawadi na fadhila za kutuongoza hata kama wengine hawana uwezo wa kuongoza. Lakini hawaoni nani wa kumpa uongozi mbadala wa ccm bado.

Kuna kiongozi wa upinzani unasema naaam huyu ni madhubuti, lakini mara utasikia ameenda au amerudi ccm.
Haihitajiki tena hoja. No reform no election
 
Mtu kama mo, Bakharesa, diamond, Alikiba, Mzize, FeiToto, vujabei.nk ukiwaambia tume ni mbaya na ccm ni mbaya watakuelewa.?, fursa zipo ila sisi tu
Ongezea na Lucas mwashamba na wenzie wa jukwaani. Anyway no reform no election
 
Kuna vitu vizuri na vibaya ambavyo watanzania wanavijua kuhusu CCM, Serikali, viongizi na Katiba yao, lakini wananchi bado wanaona kuwa mazuri bado ni mengi kukiko mabaya yao.

Ndio maana bado watu wanavaa mashati ya kijani mitaani bila hofu. Watanzania pia wanafahamu mazuri na mabaya ya vyama na viongozi wa upinzani lakini bado wanaona mabaya yao ni mengi kuliko mazuri, ndio maana mitaani kuko shwari hata kama viongozi wa upinzani wakikutana na masahibu gani ya kisiasa.

Na hii inatokana na viongozi wa upizani kuwa na tabia ya kuorodhesha matatizo tu bila kusema wao watafanya nini kuyaboresha katika mazingira kama haya ya dunia ilivyo. Kuna wakati wapinzani wanarudi CCM kila wakinyimana maslahi kuonyesha kuwa dhamira zao ni maslahi yao tu sio shida za wananchi orodha ya wapinzani waliorejea CCM ni ndefu sana na inayokatisha tamaa wananchi kuviamini vyama hivi kama vyama kimbilio kwao.

Kama utadhani kuwa hakuna watu wameichoka CCM utakuwa unakosea tena sana. Inafahamika kuwa ccm imekusanya watoto wanaccm wa zamani na sasa kuwapa zawadi na fadhila za kutuongoza hata kama wengine hawana uwezo wa kuongoza. Lakini hawaoni nani wa kumpa uongozi mbadala wa ccm bado.

Kuna kiongozi wa upinzani unasema naaam huyu ni madhubuti, lakini mara utasikia ameenda au amerudi ccm.
Hivi huwa mnasomea ujinga?!
 
Back
Top Bottom