PreGE2025 CHADEMA njooni na hoja zinazomtoa nyoka pangoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Shida ya ccm kukataa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, hili linafuta mazuri yote waliyoyafanya
Tatizo itabadilisha mifumo yote mibaya wanayofaidi! Hawako tayari kwa faida ya raia!
Wabinafsi, waroho, waoga na kusababisha kuwa wakatili na roho mbaya!
 
Kuna vitu vizuri na vibaya ambavyo watanzania wanavijua kuhusu CCM, Serikali, viongizi na Katiba yao, lakini wananchi bado wanaona kuwa mazuri bado ni mengi kukiko mabaya yao.

Ndio maana bado watu wanavaa mashati ya kijani mitaani bila hofu. Watanzania pia wanafahamu mazuri na mabaya ya vyama na viongozi wa upinzani lakini bado wanaona mabaya yao ni mengi kuliko mazuri, ndio maana mitaani kuko shwari hata kama viongozi wa upinzani wakikutana na masahibu gani ya kisiasa.

Na hii inatokana na viongozi wa upizani kuwa na tabia ya kuorodhesha matatizo tu bila kusema wao watafanya nini kuyaboresha katika mazingira kama haya ya dunia ilivyo. Kuna wakati wapinzani wanarudi CCM kila wakinyimana maslahi kuonyesha kuwa dhamira zao ni maslahi yao tu sio shida za wananchi orodha ya wapinzani waliorejea CCM ni ndefu sana na inayokatisha tamaa wananchi kuviamini vyama hivi kama vyama kimbilio kwao.

Kama utadhani kuwa hakuna watu wameichoka CCM utakuwa unakosea tena sana. Inafahamika kuwa ccm imekusanya watoto wanaccm wa zamani na sasa kuwapa zawadi na fadhila za kutuongoza hata kama wengine hawana uwezo wa kuongoza. Lakini hawaoni nani wa kumpa uongozi mbadala wa ccm bado.

Kuna kiongozi wa upinzani unasema naaam huyu ni madhubuti, lakini mara utasikia ameenda au amerudi ccm.
Its a very short msg.. NO REFORMS NO ELECTION
 
Zanzibar Wana tumehuru lakini ni vilio kila uchaguzi! Marekani Wana katiba Bora ajabu Kuna mwaka Trump alilalamika ameibiwa kura,Kenya Wana katiba Bora sana lakini kila mwaka wako barabarani
This is a poor logic.
Mapungufu ya tume huru ni machace sana na yana suluhu mahakamani, Mapungufu ya tume iliyopo sasa ni makubwa mno na hayatatuliwi mahakamani.
Tuipende nchi yetu kutoka moyoni.
Hivi mnatumiaje mabilioni ya Taifa maskini kama Tanzania kwenye uchaguzi ambao watu wanaharibu wanavyotaka?.
 
Kuna vitu vizuri na vibaya ambavyo watanzania wanavijua kuhusu CCM, Serikali, viongizi na Katiba yao, lakini wananchi bado wanaona kuwa mazuri bado ni mengi kukiko mabaya yao.

Ndio maana bado watu wanavaa mashati ya kijani mitaani bila hofu. Watanzania pia wanafahamu mazuri na mabaya ya vyama na viongozi wa upinzani lakini bado wanaona mabaya yao ni mengi kuliko mazuri, ndio maana mitaani kuko shwari hata kama viongozi wa upinzani wakikutana na masahibu gani ya kisiasa.

Na hii inatokana na viongozi wa upizani kuwa na tabia ya kuorodhesha matatizo tu bila kusema wao watafanya nini kuyaboresha katika mazingira kama haya ya dunia ilivyo. Kuna wakati wapinzani wanarudi CCM kila wakinyimana maslahi kuonyesha kuwa dhamira zao ni maslahi yao tu sio shida za wananchi orodha ya wapinzani waliorejea CCM ni ndefu sana na inayokatisha tamaa wananchi kuviamini vyama hivi kama vyama kimbilio kwao.

Kama utadhani kuwa hakuna watu wameichoka CCM utakuwa unakosea tena sana. Inafahamika kuwa ccm imekusanya watoto wanaccm wa zamani na sasa kuwapa zawadi na fadhila za kutuongoza hata kama wengine hawana uwezo wa kuongoza. Lakini hawaoni nani wa kumpa uongozi mbadala wa ccm bado.

Kuna kiongozi wa upinzani unasema naaam huyu ni madhubuti, lakini mara utasikia ameenda au amerudi ccm.
Labda husikilizagi Nondo za heche na Tundu Lissu hebu kazibue masikio yako
 
Wacha weeeeh.....unapenda kutongozwa. Si jambo la kubembeleza ufanyiwe.
Wewe mbona unajitongezesha na nyuzi zako watu tumekuchunia, kumbe unaonea wivu mpk wanaume wenzako sio wanawake tu..!!

Chokoo una pirika wewe km pimbi huchoki??
 
Mbona nyie hamjibu hoja
Zaidi ya kutumia dola kujibu hoja

Ova
Dola ina wajibu wa kuwalinda raia dhidi ya magonjwa, njaa, wezi, majanga, walaghai, waongo, wapotoshaji, majambazi, na walanguzi. Walibya walidanganywa kuwa Gadafi hafai lakini sasa hivi wanamkumbuka, Sudani walitaka demokrasia zaidi wakamsaliti Rais wao sasa hivi sudani zote wanajuta, Uraq hivyohivyo.

Ndiyo maana ninawasihi wapinzani waje na hoja madhubuti kuhusu goli lipanuliwe zaidi ya hivi lilivyo sasa. Issue sio kwenda Ikulu kwa gharama yoyote bali kwanini unataka kwenda Ikulu. Haitoshi kusema ongezeni ukubwa wa dirisha na kuondoa nondo ili hewa nying ipite iwakati mtaa una vibaka wengi, vumbi jingi, baridi kali au mbu wengi sana. Kama Ukiona mtaa una nyumba nyingi ama hazina madirisha, madirisha madogo, magrili na kuta ndefu ujue mtaa huo sio salama.

Wakana Nyerere nadhani hawakuwa wajinga sana kuandika Katiba na tume kama hii, walijua kuwa wananchi hawana uelewa mpana bado, ni rahisi kulaghaiwa na watu wabaya wakawaachia kwenda Ikulu. Ulaya na Marekani Katiba na tume huru nzuri zilikuja baada ya miaka mingi sana ya kutawaliwa bila demokrasia. Hawa akina Lissu hawaaa!!! Nadhani mm muda wao bado sana, waje na hoja nzito kwanini CCM tuwaondoe, kwanini Museven aondoke, kwanini Kagame hafai
 
Wewe mbona unajitongezesha na nyuzi zako watu tumekuchunia, kumbe unaonea wivu mpk wanaume wenzako sio wanawake tu..!!

Chokoo una pirika wewe km pimbi huchoki??
Umezaliwa Mwanaume unajifanya mwanamke. Kuwa shoga kuna kusaidia nini? Au unataka sisi wanaume wa JF siyo wote mafala. Tunajua wewe mwanaume ila siyo riziki. Utahangaika sana ila kizuri tunakuumbua. Hata mwandiko wako unaonesha ni mwanaume umeshindwa kuigiza uanamke. Tatizo njaa inakufanya uone ukiwa Mwanamke angalau utapata pata kitu. Hutupati.
 
Ila wewe shoga una ngozi ngumu, unajitahidi mwenyewe kupambana lakini wapi?? 😹😹

Mimi nna njaa? Kweli wewe unateseka sio kosa lako ukimwi unakusumbua..!!
 
Umezaliwa Mwanaume unajifanya mwanamke. Kuwa shoga kuna kusaidia nini? Au unataka sisi wanaume wa JF siyo wote mafala. Tunajua wewe mwanaume ila siyo riziki. Utahangaika sana ila kizuri tunakuumbua.

Hata mwandiko wako unaonesha ni mwanaume umeshindwa kuigiza uanamke. Tatizo njaa inakufanya uone ukiwa Mwanamke angalau utapata pata kitu. Nataka kila unaponiona komeo la chuma moyo wako upate shida.
 
😹😹😹 Pole sana utazoea mimi ndo Lamomy nikikunda lazima upoteane..!!

Umeitelekeza id yako umeona uruke na nyingine ili upate nafuu lakini ndo unazidi kupata maumivu..!!

Wewe huwezi kunipa shida na huna ubavu huo, sipewi shida na machoko mimi hata siku moja. Yani wewe ita machoko wenzio woteee njooni hapa halafu uone nitakachowafanya..!! 😹😹😹
 
Umezaliwa Mwanaume unajifanya mwanamke. Kuwa shoga kuna kusaidia nini? Au unataka sisi wanaume wa JF siyo wote mafala. Tunajua wewe mwanaume ila siyo riziki. Utahangaika sana ila kizuri tunakuumbua.

Hata mwandiko wako unaonesha ni mwanaume umeshindwa kuigiza uanamke. Tatizo njaa inakufanya uone ukiwa Mwanamke angalau utapata pata kitu. Nataka kila unaponiona komeo la chuma moyo wako upate shida.
Toka uzibuliwe bikra ya mkd na baba yako wa kambo huna amani…!!

Kwahiyo ukifika kileleni una 💩
 
Umezaliwa Mwanaume unajifanya mwanamke. Kuwa shoga kuna kusaidia nini? Au unataka sisi wanaume wa JF siyo wote mafala. Tunajua wewe mwanaume ila siyo riziki. Utahangaika sana ila kizuri tunakuumbua. Hata mwandiko wako unaonesha ni mwanaume umeshindwa kuigiza uanamke. Tatizo njaa inakufanya uone ukiwa Mwanamke angalau utapata pata kitu. Nataka kila unaponiona komeo la chuma moyo wako upate shida.
 
🌵+🖕🏿=💩

ARV zimeadimika umekosa dose punguza sasa uchoko utakufa..!!
 
😹😹😹 Yani hapa nakucheka najua ushajitupa chini kwa hasira na likitambi lako km furushi la mtumba..!!

Imekuuma?? Tulia itapoa
 
Tatizo itabadilisha mifumo yote mibaya wanayofaidi! Hawako tayari kwa faida ya raia!
Wabinafsi, waroho, waoga na kusababisha kuwa wakatili na roho mbaya!
Muda utafika wananchi kuwq tayari kuzuia udhalimu na mazoea ya mtu/mtu/kikundi dhidi ya maslahi ya umma. Hakuna marefu yasiyokuwa na nchi, kuti la mazoea ndilo litakalomuangusha mgema. Lakini asitokee mtu kuharakisha mchakato bila kujua tunahama wapi kwenda wapi kwa sababu zipi na kwq maslahi ya nani. Maana majuto ni mjukuu, ni heri kujikwaa kwenda chooni kuliko kujikwaa kwenda Ikulu.
 
Kuna vitu vizuri na vibaya ambavyo watanzania wanavijua kuhusu CCM, Serikali, viongizi na Katiba yao, lakini wananchi bado wanaona kuwa mazuri bado ni mengi kukiko mabaya yao.

Ndio maana bado watu wanavaa mashati ya kijani mitaani bila hofu. Watanzania pia wanafahamu mazuri na mabaya ya vyama na viongozi wa upinzani lakini bado wanaona mabaya yao ni mengi kuliko mazuri, ndio maana mitaani kuko shwari hata kama viongozi wa upinzani wakikutana na masahibu gani ya kisiasa.

Na hii inatokana na viongozi wa upizani kuwa na tabia ya kuorodhesha matatizo tu bila kusema wao watafanya nini kuyaboresha katika mazingira kama haya ya dunia ilivyo. Kuna wakati wapinzani wanarudi CCM kila wakinyimana maslahi kuonyesha kuwa dhamira zao ni maslahi yao tu sio shida za wananchi orodha ya wapinzani waliorejea CCM ni ndefu sana na inayokatisha tamaa wananchi kuviamini vyama hivi kama vyama kimbilio kwao.

Kama utadhani kuwa hakuna watu wameichoka CCM utakuwa unakosea tena sana. Inafahamika kuwa ccm imekusanya watoto wanaccm wa zamani na sasa kuwapa zawadi na fadhila za kutuongoza hata kama wengine hawana uwezo wa kuongoza. Lakini hawaoni nani wa kumpa uongozi mbadala wa ccm bado.

Kuna kiongozi wa upinzani unasema naaam huyu ni madhubuti, lakini mara utasikia ameenda au amerudi ccm.
We nyoja kama zako huko pangoni hamna mwenyehaja yakukutoa huko
 
Hoja nzito za kizalendo zingekuwa kwa miaka 30 ijayo tuachane na chaguzi zisizo na tija badala yake tutumie fedha hizo kununua matrekta na kugagawa vijiji vyote ili ardhi yetu itoe tija, tuboreshe elimu na miundombinu badala ya kutumia fesha hizo kununua t-shirts and kofia za kugawa bure na kusomba watu kwa malori kwenda mikutano ya CCM kila miaka 5 kwenye chaguzi ambazo mshindi anafahamika.
We nyoja kama zako huko pangoni hamna mwenyehaja yakukutoa huko

o
 
Back
Top Bottom