kelvito
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 386
- 100
kilaza mkubwa wee,siyo kuamuru kuchochea,kushawishi na kufadhiri migomo na fujo zote hapa nchin lakini chadema kaeni mkijua usimuone kobe kainama mkazani ni rofa msione ccm imekaa kimya mkafikiri haiwezi kufanya mnayofanya na siku uvumilivu ukiwashinda nadhani jibu mnalo mmezidi kufanya mambo ya kipuuzi hapa nchini !
eeeti na wewe nikiongozi ndani ya serikali dhaifu!
Tatizo jk aliwachagua rafiki zake kuwa viongozi ambao ni vilaza kama yeye!
Eeeti mmekaa kinywa na haya mauaji mnayoyafanya!?
Mkuu ccm ni chama changu ila kwa ukilaza kama wako ptuuuuuuuu!
Badilikeni bado tunanafasi wakuu! Tunanafasi za kuludisha uaminifu wetu kwa watz!
Mambo ya kulazimisha hoja tuache kwani hv ninyi mnaishi wapi hamjui yanayoendelea mitaani tumewachoka!