Chadema ni chama hatari sana kiogopeni kama ukoma.

Title yako inaonyesha jinsi ulivyo wewe,mkeo,wazazi, watoto wako,wajukuu zako ,na washikaji zako jinsi mlivyo dhaifu.Anyway umetumia uhuru wa katiba kuongea utumbo.Kibaya ni kuwa katiba yetu haifafanunui mawazo yatolewe kutoka wapi.Makalioni au kichwani.Tunataka mabadiliko ya kweli hata kama chama ni cha ndugu ,cha wachumba,wachawi,wezi,wazinzi,walevi poa tu ILIMRADI ISIWE nyinyiemu.Mfumuko,migomo,ukata,unequiped hospitals,unemployment,madaktari kufukuzwa,walimu na wafanyakazi kura zao hazihitajiki,kuteswa ulimboka,kuuwawa wafanyabiashara wa mahenge,kumiliki mgodi kiwira,dowans,meremeta scandal,rada,ndege ya rais,shule za kata bila maabara,walimu voda fasta,bi kiroboto kuwa spika,kiherehere chao,epa,babu seya,.......na mengine mengi ndio unayoona ya maana kufanywa na nyinyiemu.Nakutakia maisha mema udumu na usife mapema ila uzidi kushuhudia maajabu ya nyinyiemu na bado inatawala.Mpe hi saaaana nape,ila mwambie apunguze mapovu huku sumbawanga kama wajinga vile lkn message delivered jana na leo.

Kweli Posho si mchezo,hatukushangahi wewe ni mmojawapo katika wale vijana mpo kwenye kikosi kazi kinaongozwa na Mnyika hao vijana wanaingia mitandaoni kupindisha ukweli na kupotosha umma hivi tulivyopata uhuru Tanzania ilikuwa kama ilivyo kwenye Miundombinu,Mashule,Mahospitali,vyuo,mawasiliano na mambo mengine mengi? Si vizuri kupotosha umma ,ni nyie cvhadema mnaoshawishi,kuchochea na kudhamini migomo na fujo zote zitokeazo hapa nchini,dhambi hiyo ya kupotosha umma kwa kusema uwongo na kupindisha ukweli kisa mnapewa Posho itawatafuna nyie na uongozi wenu wa chadema na kaeni mkijua haitatokea mkatawala nchi hii kwa mbinu zenu chafu!
 
Kama CHADEMA inaweza kuaamuru madaktari na taaluma zao kugoma na kweli wakagoma,basi CHADEMA inastahili si kuwa chama cha upinzani tu bali chama kinachoongoza dola.
Kama wananchi wote wanatekeleza wanachoambiwa na CHADEMA basi ccm wapishe uongozi maana huwezi kuongoza kama huwezi kushawishi

Kilaza mkubwa wee,siyo kuamuru kuchochea,kushawishi na kufadhiri migomo na fujo zote hapa nchin lakini chadema kaeni mkijua usimuone kobe kainama mkazani ni rofa msione CCM imekaa kimya mkafikiri haiwezi kufanya mnayofanya na siku uvumilivu ukiwashinda nadhani jibu mnalo mmezidi kufanya mambo ya kipuuzi hapa nchini !
 
Bado ni chama cha upinzani lakini matatizo iliyosababisha ni ya hatari sana,
Hili linajidhihirisha baada ya kuwa chama kikuu cha upinzani. MIgomo isiyo
na msingi imeongezeka, mfumuko wa bei umekuwa mkubwa mno,
utendeji
maofisini umekuwa mbovu (Taarifa za kiinterejensia) kwa sababu yao.
Waziri wizara ya afya na naibu wake ni chadema
Katibu mkuu chadema
Pinda liwalo na liwe Chadema.
Kikwete cdm
Wizara ya fedha inaongozwa na Chadema
BOT gavana kateuliwa na Chadema
sasa kuna haja gani ya wao kuvaa nguo za kijani?
 
bila chama cha chadema ccm mngetuburuza mpaka tukome, chama cha upinzani kimeleta changamoto na ndiyo maana baadhi ya mambo mmeanza kujirekebisha. Chadema ni kiboko yenu mkizubaa 2015 kitachukua viti vingi zaidi vya ubunge.
 
Kwa hili kikwete anastahili pongezi sana kwa kutoingilia uhuru
wa vyombo vya habari na Bunge, ndio maana watu wamekuwa
huru kuhoji na kudadisi kila kinachoendelea nchi hii, unafikiri
zile zama za Wababe CHADEMA ingekuwa na uwezo huo?
Enzi zile ni kamata weka ndani!!!!!!!

Eti Chademaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Uhuru unausema kautoa Kikwete?! Vibakuli anavyoenda kutembeza nchi za watu ndo vikampa masharti ya kutoa uhuru wa kuhoji. Hata hivo nothing is never subject to change, only time is a determining factor. Until this point CCM has lost its power because of low sight of its members.
 
Mh mkuu kwa miaka 50 tangu tuwe huru, roho yako imeridhika kabisaaaaaaaaaaaaaa, na hayo uliyoyataja, tuache unafiki jaman...............
Kweli Posho si mchezo,hatukushangahi wewe ni mmojawapo katika wale vijana mpo kwenye kikosi kazi kinaongozwa na Mnyika hao vijana wanaingia mitandaoni kupindisha ukweli na kupotosha umma hivi tulivyopata uhuru Tanzania ilikuwa kama ilivyo kwenye Miundombinu,Mashule,Mahospitali,vyuo,mawasiliano na mambo mengine mengi? Si vizuri kupotosha umma ,ni nyie cvhadema mnaoshawishi,kuchochea na kudhamini migomo na fujo zote zitokeazo hapa nchini,dhambi hiyo ya kupotosha umma kwa kusema uwongo na kupindisha ukweli kisa mnapewa Posho itawatafuna nyie na uongozi wenu wa chadema na kaeni mkijua haitatokea mkatawala nchi hii kwa mbinu zenu chafu!
 
Bado ni chama cha upinzani lakini matatizo iliyosababisha ni ya hatari sana,
Hili linajidhihirisha baada ya kuwa chama kikuu cha upinzani. MIgomo isiyo
na msingi imeongezeka, mfumuko wa bei umekuwa mkubwa mno, utendeji
maofisini umekuwa mbovu (Taarifa za kiinterejensia) kwa sababu yao.

Jamani, angalieni wsakati chama kikuu cha upinzani kikiwa CUF, mmewahi
kusikia migomo hatari ya madaktari kama hii inayojitokeza leo.
Hawa watu ni hatari hata ukiangalia post zao humu jukwaani ni matusi
na utumbo tu badala ya kujenga hoja zenye akili,
Tumewchoka 2015 hamtupati kwa sera zenu za matusi.

Watanzania tutafakari na tuwaepuke hawa watu!

Haya maneno utakuwa ulikaririshwa hata hukujua kipi kianze,kipi utoe na upangilie vipi.Pole sana changanya na zako
 
umesahau
kilimuua mwenyekiti wake Usa river kwa kumhisi kuunga mkono ccm,
kilimwagia mtu acid
kimeua iramba
kiliua dereva wa ccm bariadi
na bado wanasema wako tayali kumwaga damu mpaka kieleweke,je wanaokufa kinajua wanaacha yatima?
 
How old are you?, maana unaongea rubbish mpaka basi, I think you are not more than 2 years, kacheze na watoto wenzio!, usituvurugie mijadala, ukipevuka akili, karibu!
 
Waliouawa na CCM wakihorodheshwa ni mamia ya watu wasiokuwa na hatia!
umesahau
kilimuua mwenyekiti wake Usa river kwa kumhisi kuunga mkono ccm,
kilimwagia mtu acid
kimeua iramba
kiliua dereva wa ccm bariadi
na bado wanasema wako tayali kumwaga damu mpaka kieleweke,je wanaokufa kinajua wanaacha yatima?
 
Chadema wanajulikana hawana maadili kama unabisha tazama vituko vya uzinifuu wa katibu mkuu wao. Katazame na watoto wanavyojiuza pale kwenye biashara ya mwenyekiti wao. Sasa unategemea nini kutoka chama kinachoongozwa na watu kama hao. Hata pale Keys kwa mzee Ndesamburo pita usiku uone makahaba wanavyojiuza nje nje. Unategemea nini ndugu yangu?

Zomba
Baadae unasikia zomba katibu mkuu wizara ya elimu then watanzania wanaanza kulalamika kushuka kwa elimu na utendaji mbovu wa zomba nani alaumiwe?
 
Zomba
Baadae unasikia zomba katibu mkuu wizara ya elimu then watanzania wanaanza kulalamika kushuka kwa elimu na utendaji mbovu wa zomba nani alaumiwe?

Hao waliokuwepo toka wakati wa Nyerere mpaka leo ndio walioshusha kiwango cha elimu, at least tunaona mabadiliko wakati wa Kikwete.
 
Moyoni unajua kabisa kwanini migomo imezidi wakati wa Kikwete
na Mwinyi na kupungua wakati wa mkapa, hali ya kuwa Mkapa
alikuwa miongoni mwa viongozi wabovu kabisa nchi hii.

acha kuleta mambo ya udini hapa au kwa kua Mwinyi na Kikwete ni Waislamu ndio maana unaponda utendaji kazi wa Mkapa
 
ni kweli kuwa chadema ni hatari sana kwa wale wasiotaka mabadiliko (yaani ccm iendelee kutawala). Hapo kwenye red: Hata kabla ya kipindi cuf kuwa chama kikuu cha upinzani migomo ilikuwapo (ffu waliua wakata miwa morogoro wakidai haki zao zitokanazo na mishahara wakati mwinyi akiwa rais, waalimu waligoma, wanafunzi waligoma n.k). Migomo ilipungua enzi ya mkapa kwa kuwa angalau kulikuwa na nidhamu ya matumizi kwa kiasi fulani na mfumuko wa bei ulidhibitiwa. Hata madai ya leo ya madaktari ni kutokana na kile kilichokubaliwa na serikali ya mkapa.

Migomo imezidi leo kutokana na udhaifu wa serikali iliyopo madarakani!! Na huwezi kuwalaumu chadema kwa hili maana hawajaiweka serikali hii!
mkuu umesahau wale waliokimbilia shimoni kenya walikuwa chadema!
 
mikakati yenu ni hatari kwani badala ya kusaidia ninyi mmekuwa
munahujumu na kuifanya nchi iende vibaya ili uwe mtaji wenu mwaka
2015.
hatutaki kura yako 2015 ila nakuhakikishia cdm tutashinda
 
Back
Top Bottom