Kuna mtoto mmoja aliiba sukari akalamba mama yake akafika
akamuuliza jambo lingine kabisa yeye akasema sikuiba sukari
mama. Hoja ya udini sijaigusa kabisa.
Wewe una macho kweli? Sawa kusoma huwezi lakini
hata picha?
Hakika kuna watu uwezo wao wa kufikiria ni mdogo kweli..
Ni kweli ndugu yangu nashukuru kwa kuliona hilo yaani
watu hata hawafikirii Jinsi CHADEMA walivyopeana UBUNGE kiundugu undugu
Yaani hamnazo kabisa hawa watu.
Mkuu hebu nieleweshe vizuri CHADEMA wanavyohusika maana yake kuna watu nawaambia hawanielewi.
Swali zuri ambalo linahitaji ushahidi nzito ambao siku moja nitakuja
kuuweka hapa jukwaani kwani bado naendelea kukusanya vielelezo.
Bado ni chama cha upinzani lakini matatizo iliyosababisha ni ya hatari sana...
Kwanza nianze kwa samahani. Napenda niwe tofauti ya wachaniaji wote + mtoa mada.
1. Ukichukuliwa nguo na mwenda wazimu, hutakiwi kumfukuzia, maana wewe pia utaonekana..........
2. Ukiendelea kubishana na mjinga na wewe utakuwa mji...
Hapa nina maana kwamba hata Mtoa mada yeye mwenyewe hajui anachokisema, wachahgiaji kadhaa wamejaribu kumwelewesha, hataki. Kwa hiyo kama tunaedelea kuchangia na sisi tutaitwa....(sitaki tufike huko).
Sasa tufanyeje basi? Jibu: Tumwachie uzi wake, aendelee kujifurahisha nafsi yake.
Au siyo, bwana?
Moyoni unajua kabisa kwanini migomo imezidi wakati wa Kikwete
na Mwinyi na kupungua wakati wa mkapa, hali ya kuwa Mkapa
alikuwa miongoni mwa viongozi wabovu kabisa nchi hii.
Slaa mapaka leo hamjasema kwnini aliacha upadri, tunajuwa kazini na kuzaa na Rose Kamili na kamhonga ubunge wa upendeleo, tunajuwa kazini na kazaa na Josephine na kahonga tenda za kuweka softare pale makao makuu chadema.
Haya wewe unasema tu bila ushahidi kwa kuwa tu unatetea maovu?
Bado ni chama cha upinzani lakini matatizo iliyosababisha ni ya hatari sana,
Hili linajidhihirisha baada ya kuwa chama kikuu cha upinzani. MIgomo isiyo
na msingi imeongezeka, mfumuko wa bei umekuwa mkubwa mno, utendeji
maofisini umekuwa mbovu (Taarifa za kiinterejensia) kwa sababu yao.
Jamani, angalieni wsakati chama kikuu cha upinzani kikiwa CUF, mmewahi
kusikia migomo hatari ya madaktari kama hii inayojitokeza leo.
Hawa watu ni hatari hata ukiangalia post zao humu jukwaani ni matusi
na utumbo tu badala ya kujenga hoja zenye akili,
Tumewchoka 2015 hamtupati kwa sera zenu za matusi.
Watanzania tutafakari na tuwaepuke hawa watu!

Ulimuuliza (awe yeye DR Slaa au mtu mwingine) akueleze sababu zake za kuwa padre? Unafahamu hata maana ya Padre wewe? Hata ukielezwa sababu ya DR Slaa kuomba na kukubaliwa kuacha U-Padre, una intellectual capacity basi ya kuelewa hicho utakacho elezwa? Maana ungekuwa hata na chembe ndogo tu ya akili ungeshaelewa siku nyingi tu maana jambo hilo lilishaelezwa si na DR tu bali hata Kanisa Katoliki ambalo lilishalitolea tamko.
Duh hii kali,Ila punguza ukali sio wote wagonjwa,unyanyapaa huoMie ninunuwe ugonjwa?
mbona unatoka povu tu wewe gunstar, tuliza munkari uelezee hoja yako kwa ufasaa huenda ukaeleweka. Hayo matatizo uliyotaja yanatoka na na udhaifu wa rais kikwete na uzembe wa wabunge kushindwa kuisimamia serikali na sio cdm. Jipande upwa au nenda jukwaa la watoto wa chekechea