Chadema ndani ya Bukoba

Chadema ndani ya Bukoba

attachment.php

Mwanamke wa Slaa jiheshimu.

Hata huko walikozoea mwanamke kuvaa pants hawavai kwa dizaini hii ya tight and steamy, wowowo out loose Mbowe anashangaa kipapa nje nje mpaka mwenyewe unaona aibu huwezi kuangalia watu usoni. Ushindwe na ulegee ukiwa faragha.
 
Kazi wanayo tatizo Sisiem hawakubali changamoto lazima chama kiwafie safari hii, Viva CDM aluta continua.
 
attachment.php

Mwanamke wa Slaa jiheshimu.

Hata huko walikozoea mwanamke kuvaa pants hawavai kwa dizaini hii ya tight and steamy, wowowo out loose Mbowe anashangaa kipapa nje nje mpaka mwenyewe unaona aibu huwezi kuangalia watu usoni. Ushindwe na ulegee ukiwa faragha.
Akili hii ya nani kama sio fisadi
 
Asante sana ndugu yangu kwa kunisaidia kuziweka picha hizi hapa. More to come tommorrow. Thanks
 
halo wakuu, salaaaaaaaaaaaam, kama gret thinker naunga mknono vuguvugu linaloendelea, ni kweli rais kashindwa kazi ev1 knows ,we all knows, viva chdema, mungu awabariki:rain:
 
sidnani kama alikuwa makini kujua alichokuwa anakisoma kwenye ile hotuba... alikuwa anatimiza wajibu kama rais wa nchi tu!
he could not wait for the next day kuanza ziara za nje... tumeshuhudia marais kadhaa wakituma wawakilishi wao kwenye mikutano kama hiyo ili wabaki nchini mwao kushughulikia matatizo, lakini kwa mkwere hilo ni ndoto!

wako wapi wazee wa hekima (wa CCM) waondoe aibu hii kwa chama chao?! hivi utanishawishi kwa lipi nisiwakubali CDM?!
 
Hizo zote ni rasharasha mvua kamili itanyesha moshi, arusha na manyara. CCM sasa hivi wanakuna vichwa ni namna gani waivuruge chadema kama walivyoiua NCCR ya mrema.
 
attachment.php

Mwanamke wa Slaa jiheshimu.

Hata huko walikozoea mwanamke kuvaa pants hawavai kwa dizaini hii ya tight and steamy, wowowo out loose Mbowe anashangaa kipapa nje nje mpaka mwenyewe unaona aibu huwezi kuangalia watu usoni. Ushindwe na ulegee ukiwa faragha.
HAYAKUHUSU LAKINI NADHANI EEH:spider:
 
HAYAKUHUSU LAKINI NADHANI EEH:spider:
Yananihusu kwa sababu huyu Mwanamke anamhusu Slaa, na Slaa ananihusu mimi kama mpiga kura.

Huyu jimama alim cost Slaa hundreds of thousands of votes kufuatia kashfa ya kesi ya ugoni na ngono katikati ya kampeni.

Sasa anatembea na vi skin tight kwenye grass root campaigns za chama vijijini kwenye mizizi ya mila za Kiafrika zinazochefuliwa na mavazi yanayoonyesha nyuchi za nyuma na mbele. A devastating impact on the image of Dr. Slaa's values and his wayward sex partner.

attachment.php
 
Kwanini JK hasi-panic kuona nguvu ya wananchi hivi. Kwenye misafara yake huko nje ya Tanzania sijui naye huwa wanamwandalia AMBULANCE!!
 
Yes added more. Sorry it is said there were power cut during the occasion and my friends couldnt send more earlier!

Asante sana kaa la Moto,nimemuona na waitara (mgombea wa ubunge Tarime),safi sana!
 
Kazi njema CDM, pumziken kwan mmefanya kazi ngumu sana!
 
Back
Top Bottom