makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,219
Big up Regia Mtema-WK-KA.
Tunawaombea na tuko nyuma yenu. Saa ya Ukombozi imewadia. Nifikishie pole za dhati kwa Mhe.Dr.Slaa na wabunge kutokana na usumbufu wa kukamatwa kule Shinyanga. Hilo halitazuia nia na kusudi la CDM la kuwakomboa Watanzania kutoka kwenye MAKUCHA YA MAFISADI WA CCM. Hawa jamaa wa CCM wanafikiri kamatakamata na mabomu ndiyo vitazima moto wa CDM. They are totally wrong!
FREEDOM IS COMING TOMORROW!!!!!
God Bless you all. God Bless CHADEMA. God bless Tanzania.