CHADEMA na UKAWA tukubali ku surrender, hatukujipanga

CHADEMA na UKAWA tukubali ku surrender, hatukujipanga

Hizi ni mbwembwe tu na uzushi wa vibaraka wa CCM. Na wengi wenu mlikuwa bado mnanyonya maziwa ya mama zenu wakati Slaa anagombea ubunge kwa mara ya kwanza.

Tulieni mjifunze mambo yanavyokwenda katika siasa za nchi hii. CCM ni dude kubwa sana; ila limezeeka na kuchoka. Hatima yake ni kufa tu.
 
Kwa uelewa mdogo walio nao majority wa tz huyu bwana atashinda,nipo Mwanza ukizunguka vijiweni ni aibu watu wamedata
 
I miss you sana nilivyokuona nikasema nisipite kabla sichaku chum...
Hahahaa siasani sipawezi hiki kipind pamewaka moto

Thanks sana momieeeeee..!!

Aisee huku Siasani kuna mazoba wengi sana kuliko kule kwenu, kule ni mteremko tu. Huku kuna Mijinga inajivika uanasiasa wakati hata kule MMU hakiwafai... Yaani nilitaka nikitoka hapa nije kwenu kule nitoe stress kidogo,kwaujio wako hapa ni kama umetia mafuta ya taa kweye moto wa nyasi..!!

Pazoee tu cute, patamu sana hapa.!!

BACK TANGANYIKA
 
La msingi zaid kwa UKAWA ni kujipanga kwa ajili ya kupat viti vingi bungeni atleast 60%wawe UKAWA

URAIS effort iwe less

Unatumia kiungo gani kufikiri Nichama chaaina gani kinaanzishwa kwa lengo la kushinda uBUNGE tu
 
Thanks sana momieeeeee..!!

Aisee huku Siasani kuna mazoba wengi sana kuliko kule kwenu, kule ni mteremko tu. Huku kuna Mijinga inajivika uanasiasa wakati hata kule MMU hakiwafai... Yaani nilitaka nikitoka hapa nije kwenu kule nitoe stress kidogo,kwaujio wako hapa ni kama umetia mafuta ya taa kweye moto wa nyasi..!!

Pazoee tu cute, patamu sana hapa.!!

BACK TANGANYIKA

Kule sasa hivi nimehama dear.
Chuki zilizidi sanaaa ban kila siku nikaamua nipapotezee now nimeamua kutulia zangu sport huku nangoja msimu.
Ila celebrity hapana mkuu wangu kule mtu unaweza ukajikuta kila siku unatenda dhambi.
Kumbe na siasani kuna mamlukii hahahaaa ila taratibu wataelewa usijal
 
Kwa uelewa mdogo walio nao majority wa tz huyu bwana atashinda,nipo Mwanza ukizunguka vijiweni ni aibu watu wamedata

Halafu hapa watu wanajifanya...oOOOOOH sijui slaa oooh sijui nani...waende huko mitaani wakasikilize....Narudia tena Kwa Magufuli na Slaa...slaa will get below 5% count my words...Labda wabadilishe mtu asiwe slaa
 
Nimemdharau sana huyu jamaa..!!

Yaani tarehe ya kuanza kampeni bado, mtu aliyetia nia kupitia Cdm bado hajajitokeza, Hivi alitaka iweje? Wamwandae vipi? Kwamba wakati wanamwandaa walitakiwa kufunga safari nyumbani kwake wakamwambie kwamba tunamwandaa fulani.?? Hizi ni akili chovu kuliko mlenda wa juzi!!!! Watu wanadhani siasa ni kitu simple kama kucheza drafti au bao kwenye mabaraza ya Lumumba..!!!

Lakini kinachonishangaza mimi huyu mleta mada amejuaje kwamb Dr Slaa kashuka umaarufu? Ktk tafiti kadhaa zilizofanywa na Twaweza na hivi karibuni Raddet, Dr Slaa Either alishika namba moja au mbili nyuma ya Lowassa.! Sawa tuseme kwamba hizo tafiti hatuziamini... Hapa Jf kunapoll kadhaa zimeitishwa na Dr Slaa kawagaragaza mbaya wote aliokuwa akishindanishwa nao. Tena huyu Magufuli wake hakuwa hata akitajwa, kwamaana kwamba hakua President material..

Leo mtu anakuja kuandamana hapa Jf eti Magufuli atashinda kwa Asilimia 95(bana meno) Upumbavu ulioje..!!! Hivi kama ni suala la mtu kuandaliwa anajuaje kwamba Dr Slaa hajaandaliwa?

Freeland, umejidhalilisha sana leo ptuuu!!

BACK TANGANYIKA

Mwache ni mawazo yake ila asizani kujiandaa kushika dola watu wanajiandaa Kwa kelele huyo makufuli wake anamvuto gani Wa siasa ajawahi ata kushika nafasi nzuri katika tafiti ccm wamemweka sasa anamsemaje slaa kashuka
 
Last edited by a moderator:
Wadau;

Kati ya vitu ambavyo CHADEMA wamenikera ni wao kushindwa kuandaa mtu kwa ajili ya kugombea Urais mwaka 2015

Tangu mwaka 2010 walikuwa na muda wa kutosha kutengeneza mtu mpya kwa ajili ya position hiyo

Walikuwa na uwezo wote wa kufanya Poaching na kumpata mtu huyo

Lakini kwa Ubinafsi tu wa kudhani slaa anatosha ndio maana tuko hapa tulipo

Dr Slaa hana mvuto tena...hana kipya anachoweza kukisema kwa wananchi....watu wamemzoea sana.....kama Dr slaa akishindana na Magufuli ...Magufuli atashinda kwa asilimia 95,yaani 95%.

CCM wamejitahidi kupambana na mgogoro wa ndani ya chama chao na kukiacha chama salama....CCM wameonesha kiwango cha juu cha management ya kisiasa...kitu ambacho sisi tumekishindwa

CCM wako very organized....Tukibisha ni ubishi tu

Ushauri wangu..Tuweke silaha chini na tutoe matumaini kwenye Urais...Tuweke Concentration Kubwa kwenye Ubunge ili tupate Bunge lililo Imara

Tukiwa na Bunge Imara..Rais Mwenye Maamuzi...Tutafika Mbali

Mkuu Freeland hongera kwa kuwa na Freemind ilokuwezesha kukosoa na kutoa option ya kumove foward........ila sidhani kama utaeleweka na wafia chama
 
Last edited by a moderator:
Kule sasa hivi nimehama dear.
Chuki zilizidi sanaaa ban kila siku nikaamua nipapotezee now nimeamua kutulia zangu sport huku nangoja msimu.
Ila celebrity hapana mkuu wangu kule mtu unaweza ukajikuta kila siku unatenda dhambi.
Kumbe na siasani kuna mamlukii hahahaaa ila taratibu wataelewa usijal

Hahahahahahh umewakimbia wale Mijanaume suruali???

Yaani mijitu ya kule nayo sometimes hamnazo.! Unakuta lijitu limekupenda, kusema lizito ulimi utafikiri limefungwa jiwe la kilo tano la kupimia nyama..!!! hapo utashangaa linaanza kukuponda huku likikuchombeza kimtindo.. Aaah lakini mbona ulikuwa unawawezea sana Wangu? Basi karibu hapa tumchague Rais Dr Slaa,achana na mizumbukuku iliyojazana hapa kwa jina la Upinzani koko...

Dr Slaa Anatosha sana..!!

BACK TANGANYIKA
 
Halafu hapa watu wanajifanya...oOOOOOH sijui slaa oooh sijui nani...waende huko mitaani wakasikilize....Narudia tena Kwa Magufuli na Slaa...slaa will get below 5% count my words...Labda wabadilishe mtu asiwe slaa
Unasema wapinzani wapambane wapate wabunge wengi Kwa akili zako wataweza kupata wabunge wengi bila kura nyngi za urais Kwa hiyo wabunge wajinadi mwenyewe bila kumnadi rais nia ya ukawa ni kushika dola kushika dola ni pamoja na kuwa na wabunge wengi ambao wakishirikiana na rais kama umeona upinzani wanaweza kutoa wabunge wengi ujue rais pia wanaweza
 
kwani uchaguzi huu inaruhusiwa mgombea binafsi??? au hiyo Ukawa imesajiliwa kama chama cha siasa??? au inakuaje hapo ufafanuzi jamn isije tume ya uchaguzi wakiona mgombea mmoja toka ukawa then swali linakuja hatuoni chama chenu kwenye data zetu...ikawa ayaah nawaza tu
 
Unasema wapinzani wapambane wapate wabunge wengi Kwa akili zako wataweza kupata wabunge wengi bila kura nyngi za urais Kwa hiyo wabunge wajinadi mwenyewe bila kumnadi rais nia ya ukawa ni kushika dola kushika dola ni pamoja na kuwa na wabunge wengi ambao wakishirikiana na rais kama umeona upinzani wanaweza kutoa wabunge wengi ujue rais pia wanaweza

Amempendekeza Lissu kwenye nafasi ya Slaaa
 
Kwa maono yangu ni kwamba kama UKAWA watakuwa makini na kujipanga vyema wanaweza wakaleta mabadiliko kwa sababu hata wananchi tumeshaichoka CCM... Tumezichoka kuzikisikia ngonjera za CCM tangu uhuru mpaka sasa.....tumechoka kukaririshwa neon umasikini ilihali tunawashudia wenzetu CCM wakiporomosha mahekalu huku familia zao zikila na kusaza.........Tumechoka kushudhu mafisadi wakichekewa huku wakibembelezwa kurudisha walichokiiba kana kwamba walichokifanya ni sahihi.....KWA KIFUPI WANANCHI WANANCHI WAMEWACHOKA CCM
 
Unasema wapinzani wapambane wapate wabunge wengi Kwa akili zako wataweza kupata wabunge wengi bila kura nyngi za urais Kwa hiyo wabunge wajinadi mwenyewe bila kumnadi rais nia ya ukawa ni kushika dola kushika dola ni pamoja na kuwa na wabunge wengi ambao wakishirikiana na rais kama umeona upinzani wanaweza kutoa wabunge wengi ujue rais pia wanaweza

Nadhani hujanielewa vizuri
 
Wadau;

Kati ya vitu ambavyo CHADEMA wamenikera ni wao kushindwa kuandaa mtu kwa ajili ya kugombea Urais mwaka 2015

Tangu mwaka 2010 walikuwa na muda wa kutosha kutengeneza mtu mpya kwa ajili ya position hiyo

Walikuwa na uwezo wote wa kufanya Poaching na kumpata mtu huyo

Lakini kwa Ubinafsi tu wa kudhani slaa anatosha ndio maana tuko hapa tulipo

Dr Slaa hana mvuto tena...hana kipya anachoweza kukisema kwa wananchi....watu wamemzoea sana.....kama Dr slaa akishindana na Magufuli ...Magufuli atashinda kwa asilimia 95,yaani 95%.

CCM wamejitahidi kupambana na mgogoro wa ndani ya chama chao na kukiacha chama salama....CCM wameonesha kiwango cha juu cha management ya kisiasa...kitu ambacho sisi tumekishindwa

CCM wako very organized....Tukibisha ni ubishi tu

Ushauri wangu..Tuweke silaha chini na tutoe matumaini kwenye Urais...Tuweke Concentration Kubwa kwenye Ubunge ili tupate Bunge lililo Imara

Tukiwa na Bunge Imara..Rais Mwenye Maamuzi...Tutafika Mbali

Fursa ndiyo hii ya sasa kumshawishi Lowasa ajiunge ukawa ili wapmbane na Magofuli. Hakika hata CCM wakishinda bado ukawa watapata wabunge wa kutosha kukisulubu CCM
 
Ukweli umeshaonekana slaa wamemfanya punda arudi akagombee ubunge tu
 
Hata mbowe hataki chadema wachukue nchi maana atafichwa kisiasa asionekane kabisa
 
Back
Top Bottom