Kamanda naona umeamua kujifariji kuna maajabu gani tena Dr.Slaa kuwa mgombea urais?
Muda wenu mwingi mnatumia kupambana na ACT-Wazalendo leo hii imebakia miezi mitatu tuingie kwenye uchaguzi unaleta drama.
Kila siku UKAWA wanajifungia watu wanne wanatoka bila maelewano maajabu ambayo watakuja nayo ni UKAWA kuvunjika na Kila mtu kuingia kwenye uchaguzi kivyake wapate kura mbili mbili na mwisho wa siku watasema usalama wa taifa wamewaibia kura.
Cc; Mkandara JokaKuu Kimweri
..ukawa inatakiwa iwekeze ktk ilani na hoja.
..ni makosa kuwekeza ktk mtu au mgombea.
.kuna makosa mengi sana ccm wameyafanya, sasa ikawa inatakiwa iwashawishi watz kuwa wakipewa uongozi watafanya vizuri zaidi.
Mkuu JokaKuu
hadi imefikia mtazamo huu wa kwangu,....nimeangalia hilo suala la USHAWISHI.....Bado namba haziji
Pia wengi wamesahau kuwa dhumuni la ukawa ni kupata katiba mpya ya wananchi, will Magufuli provide that? I doubt it!..wiki moja iliyopita wengi waliamini hakuna wa kumshinda Lowassa.
..ccm ni chama kichafu mno. Ukawa wanatakiwa wawashawishi wananchi wamkatae magufuli kutokana na uchafu wa chama chake. It is a very tough assignment, but i believe it can be done.
..wiki moja iliyopita wengi waliamini hakuna wa kumshinda Lowassa.
..ccm ni chama kichafu mno. Ukawa wanatakiwa wawashawishi wananchi wamkatae magufuli kutokana na uchafu wa chama chake. It is a very tough assignment, but i believe it can be done.
yaani,kwani we unavyojua Ukawa imemsimamisha Dr.Slaa kuwa mgombea wa urais,!!? Mbona mnajitoa ufahamu nyie,halafu mkiambiwa mmejaa matahira mnakataa.Chadema chini ya Ukawa tuna vichwa vingi tu vya kuvisimamisha.Tunachotaka ni malengo ya safari yetu kuwa kwenye meli moja,uelekeo wenye malengo mamoja
Freeland nakujua wewe ni mfuasi wa Slaa, mimi sitaki hata kuumiza kichwa changu kuhusu hilo.
Endelea na Slaa wako mimi nasonga mbele kwenye safari ya mabadiliko.
Asante sana mkuu, kwakweli nitakosa imani na wale wote watakaorudi nyuma kama Slaa akitangaza kujitoa rasmi kwenye siasa au kupingana na mabadiliko.Nifah umempa jibu zuri sana hata mimi nampenda Dr Slaa kwa mazuri yake ila nae km amepewa pesa atusaliti kipindi hiki na kutugawa ntamuona takataka sisi tunasonga mbele na mabadiliko
nenda ccm tuachie Chadema yetuWadau;
Kati ya vitu ambavyo CHADEMA wamenikera ni wao kushindwa kuandaa mtu kwa ajili ya kugombea Urais mwaka 2015
Tangu mwaka 2010 walikuwa na muda wa kutosha kutengeneza mtu mpya kwa ajili ya position hiyo
Walikuwa na uwezo wote wa kufanya Poaching na kumpata mtu huyo
Lakini kwa Ubinafsi tu wa kudhani slaa anatosha ndio maana tuko hapa tulipo
Dr Slaa hana mvuto tena...hana kipya anachoweza kukisema kwa wananchi....watu wamemzoea sana.....kama Dr slaa akishindana na Magufuli ...Magufuli atashinda kwa asilimia 95,yaani 95%.
CCM wamejitahidi kupambana na mgogoro wa ndani ya chama chao na kukiacha chama salama....CCM wameonesha kiwango cha juu cha management ya kisiasa...kitu ambacho sisi tumekishindwa
CCM wako very organized....Tukibisha ni ubishi tu
Ushauri wangu..Tuweke silaha chini na tutoe matumaini kwenye Urais...Tuweke Concentration Kubwa kwenye Ubunge ili tupate Bunge lililo Imara
Tukiwa na Bunge Imara..Rais Mwenye Maamuzi...Tutafika Mbali