James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
kiukweli kwa sasa UKAWA Hawana presidential material wa kukaa kwenye 'race' na DR MAGUFULI
so URAISI SAHAU...!!!
Wewe Ndo Umenena,ningekuwa Mim Ni Lipumba Nguv Nying Ningewekeza Kwenye Wabunge Na Udiwan Kwakuwa Urais Mpaka Sasa Najua Kushnda Ni Hola,watu Wanaongea Kwa Ushabik Tu Lakn Kiukwel Ccm Itashnda Urais,