CHADEMA na UKAWA tukubali ku surrender, hatukujipanga

CHADEMA na UKAWA tukubali ku surrender, hatukujipanga

" 1. Nyumba za Serikali
Kwa hakika hili ni doa kubwa sana kwa Magufuli. Ni katika kipindi alichokuwa Waziri wa Ujenzi (awamu ya 3) alishawishi kwa nguvu na msukumo mkubwa sana mpaka kufanikiwa uuzaji wa nyumba za serikali.

Hii hatua ya Magufuli halina tofauti na kile alichokiita CAG Professor Assad “Political Entrepreneurship”. Professor Assad mara baada ya kuingia madarakani alisema wazi kwamba mradi wa Magufuli wa kuuza nyumba za serikali ni ufisadi mkubwa sana. Professor Assad alizidi kusema ya kwamba alichokifanya Magufuli yalikuwa kwa manufaa yake binafsi na ilikuwa ni “personal political entrepreneurship”.

Katika uamuzi huo, Magufuli alienda mbali zaidi mpaka kugawa bure baadhi ya nyumba kwa ndugu zake na mahawara zake. Kwa mfano Dada Kabula ambaye ni mmiliki hewa wa Kebby’s Hotel iliyopo Mwenge/Bamaga jijini Dar es Salaam. Dada Kabula ambaye hajawai kuwa mtumishi wa umma tokea awamu ya kwanza mpaka leo hii Ocampo ninaposhusha huu uzi alifanikiwa kuhongwa nyumba mbili zenye Plot No. MSM/201 na Plot No. MK/521 (Mikocheni na Msasani).

Kwa hatua hiyo Magufuli aliliingiza serikali hasara kubwa sana, na hayo machungu mpaka leo hayajaisha na serikali bado linaendelea kubeba mzigo. Katika kipindi hiki tumeshuhudia watumishi wengi (Majaji, na watendaji wakuu, makatibu wakuu) wamekuwa wakiishi hotelini, huku gharama za vyumba zikiwa za hali ya juu sana almost dola 1200-1500 kwa mwezi ambayo ni sawa na Millioni 27 kwa mwezi; kwa mwaka ni Millioni 324 kwa mtumishi moja.

2. Ujenzi wa Barabara
Eneo hili ni sehemu nyingine ambayo Magufuli amekuwa akijipatia fedha haramu. Baadhi ya wafuasi wake wamekuwa wakijaribu kusema kwamba ni TANROADS ndiyo wahusika wakuu katika barabara na siyo Magufuli. Ingawa hoja yao siyo ya kweli na haina mashiko.

Kiutaratibu na sheria barabara utakiwa kuwa na upana (width) wa 6.5m ila imegundulika barabara nyingi kipindi hichi cha Magufuli zimekuwa zikijengwa kwa 5.7m to 6m na siyo 6.5m, je fedha za hizo baki 0.5m to 0.8m zinakwenda wapi, ni wazi fedha hizo uingia mifukoni mwa Magufuli na washirika wake wa Tanroads. Vile vile ni kipindi kirefu sasa Highway Economic Assessment ya miradi ya barabara imekuwa hazifanyiki kitu ambacho kinapelekea barabara zetu nyingi kuwa chini ya viwango. Utafiti wa Ocampo unaonyesha kwamba barabara kuwa chini ya viwango ni swala la makusudi ambapo waziri na wasimamizi wa miradi husika wanakula na kugawana fedha za miradi….

3. Sakata La Bomoa Bomoa
Ni jambo la wazi ya kwamba sheria zimetumgwa ili zifuatwe, lakini kuwa na ubinadamu au utu ni zaidi ya sheria. Ni Magufuli huyu huyu alipigwa stop na Mh. Rais pale alipoona Magufuli anakiuka wazi haki za binadamu. Ubomoaji wa nyumba zilizopo pembezoni mwa barabara umekuwa hauzingatii “UTU”. Ni jambo la wazi wanaanchi wengi waliobomolewa nyumba zao mpaka sasa wako katika hali ngumu ya maisha na hawana uelekeo baada ya kufanyiwa unyama usiyothimilika na Magufuli.

Either wataalamu wengi pale wizarani katika mahojiano wanasema Magufuli hana tabia ya kufata sheria na utaratibu, wakitolea mfano swala la kuvunjwa kwa jengo la TANESCO (Ubungo) na jengo la Millenium Towers. Kwa hakika ni jambo jema sana kuwa na Rias kama JK aliyediriki kumpiga stop Magufuli, hivyo basi ni wazi anapaswa apate mtu wa juu yake katika kufanya maamuzi, ila yeye ndiyo akiwa mtoa maamuzi walai nchi tutaipoteza (Tafakari kwa kina).

4. Shelly Ya Mwanza
Tukizidi kukumbuka sakata la Shelly ya Mwanza ndipo tunazidi kujua jinsi gani Magufuli ni mtu wa kukurupuka na mtu mwenye chuki. Kwa chuki zake binafsi kipindi cha awamu ya 3 akiwa waziri wa ujenzi aliamuru kuvunjwa kwa Shelly ya bwana Mansoor (mbunge wa Kwimba) iliyopo maeneo ya madaraka misheni jijini Mwanza. Baada ya ukiukwaji huo wa sheria bwana Mansoor alienda mahakamani na kisha kushinda kesi na hukumu kutolewa kwamba serikali imlipe Mansoor mabillioni ya fedha, sababu kubwa zikiwa ni chuki na kisasi cha Magufuli……

5. Magufuli ni mtu mwenye kiburi, majivuno na hashauriki
Sifa zingine pekee za Magufuli ni mtu mwenye kiburi, majivuno na hashauriki kitu ambacho ni hatari sana kwa ustawi wa Taifa. Hayo mambo yamepelekea hata utendaji kazi wa watumishi wa chini kuwa mgumu sana. Watumishi chini ya wizara yake wanasema Magufuli ni mtu mwenye majivuno sana, ni mtu mwenye chuki na ni mtu asiyepokea ushauri wa mtu yeyote yule zaidi ya mke wake na Kabula…

6. Umiliki wa Kebby’s Hotel
Kebby’s Hotel ni hoteli iliyopo Mwenge/Bamaga upande wa kulia kama unaenda posta/mjini. Kwa muda mrefu mmiliki wa hoteli hiyo amekuwa akijificha katika mgongo wa mtu mwingine ila ukweli ni kwamba mmiliki halali wa hoteli hiyo ni John Pombe Magufuli na siyo Dada Kabula.

Umiliki wa Hoteli kubwa kama Kebby’s ambayo kulala ni zaidi ya dola 60-90 inaonyesha wazi kwamba Magufuli ni fisadi wa kimya kimya kama yule jamaa mwingine aliyepiga za Escrow na vibali vya sukari au yule aliyechimbia fedha za Ghadafi kwenye mahandaki.

7. Kuvunja Ndoa
Katika maandiko Matakatifu, Kumbukumbu la Torati 27: 14 imeandikwa alaaniwe yule amtamaniye mke wa nduguye au jirani yake. Ila kinyume na hayo maandiko Matakatifu Magufuli amediriki kumtamani mke wa jirani yake mpaka kupelekea kuvunja ndoa ya mtu.

Dada Kabula ambaye ni mmiliki hewa wa Kebby’s Hotel, awali alikuwa mke wa Januarius Maganga ambaye ni mtumishi mwandamizi katika makampuni ya IPP Media. Swali la kujiuliza kama Magufuli kadiriki kuvunja ndoa ya mtu angali ni waziri wa kawaida tu, je akiwa Rias itakuwaje? Jibu nafkiri unalo…. Na sitaki unipe jibu.

Nyerere katika moja ya hotuba zake aliwahi kutolea mfano sakata la waziri mdogo wa Uingereza aliye onekana na kimada barabarani. Kwa tamaduni za hao wenzetu huo ulikuwa ukosefu mkubwa wa maadili mpaka ikapelekea kufukuzwa kazi na waziri mkuu wa wakati huo.

8. Magufuli Hakifahamu Chama Vizuri
Ni jambo la wazi na ukweli usiopingika kwamba Taifa linatafuta Rais bora na kwa upande mwingine CCM kinatafuta mtu mwenye uwezo wa kushika kofia mbili kwa pamoja.

Magufuli ana utamaduni wa kutumia chama pale anapoitaji madaraka, ila pale tu anapoyapata hayo madaraka anakuwa ajiusishi na mkakati wowote wa kujenga chama. Historia inaonyesha Magufuli hajawahi kushika wadhifa au nafasi yoyote ile ndani ya chama, wanachama wa CCM wanauliza kwamba watamkabidhi vipi mtu asiye na background nzuri kwenye chama? Vile vile historia inaonyesha hajawahi kuchangia hata senti tano katika shughuli zozote zile zenye lengo la kujenga chama.

9. Sakata La Samaki
Katika muendelezo wa kukurupuka katika maamuzi, Waziri Magufuli mwaka jana tena aliliingiza Taifa na serikali kwa ujumla katika hasara nyingine. Ambapo serikali iliamuriwa na mahakama ilipe kiasi cha shilling Billioni 2.8 na kurudiha meli husika baada ya kukiuka sheria za kimataifa pale alipokamata Meli yenye vibali halali na iliyokuwa inafanya shughuli zake kihalali.

Sasa kama ni waziri wa kawaida anadiriki kuvunja sheria za kimataifa, Je akiwa Rais si ni wazi anaweza kulipelekea Nchi ikatengwa na jumuiya za kimataifa….. we need to think kwa umakini sana wakuu…..

10. Sakata La Kivuko
Dhana ya ubinadamu siyo kuvaa nguo au kulala kwenye nyumba bali ubinadamu ni pamoja na kuwa na hekima, busara na kauli nzuri kwa binadamu wenzako; cha kushangaza Magufuli alidiriki kutumia lugha iliyotafsiriwa kama tusi kubwa sana na wananchi wa Dar es Salaam, pale alipoowambia wapige mbizi wakitaka kwenda Kigamboni. Ni jambo jema kwa kiongozi kuwa na msimamo ila msimamo wake uendane na lugha nzuri, ya uungwana na ya ubinadamu. Ni wazi kauli hiyo iliwauzinisha sana na kukasirisha wananchi wengi Dar es Salaam. Ubinadamu na utu ni kitu cha bure na siyo cha ulazima, hivyo ilitegemewa Magufuli awe na kauli nzuri na yenye hekina na busara kwa wananchi husika.

11. Magufuli ni Mtu wa Visasi vya Hatari
Magufuli siyo mtu wa kawaida kabisa, ndani yake amejaa chuki na visasi. Ni mtu wa visasi vya ajabu, hii inanikumbusha alipogombea ubunge 1995 na bwana Ernest Nyororo. Baada ya kushindwa katika kura za maoni ila baadaye alipoteuliwa bila uwoga alianza kumshughulikia Nyororo mpaka ikampelekea Nyororo akapata shinikizo la moyo. Kumbuka Nyororo ni ndugu yake wa damu sasa sisi wengine itakuwaje, ni wazi hili jambo linaitaji tafakari ya kina. Kama ndugu yake anaweza kumshambulia kiasi hicho iweje watu wa kawaida….. Leo Ocampo nikiwa naandika huu uzi sisiti kusema ya kwamba hata hao viongozi wanaotaka Magufuli apitishwe naomba niwaambie kwa chuki na kisasi cha Magufuli kuna siku atawabadilikia tena sana sana. Huko mbeleni naomba msije mkasema Ocampo hakutuambia….. Nina hakika asilimia zaidi ya 100 Magufuli ana chuki na viongozi waandamizi wa sasa, chuki hiyo anasubiri kuilipiza muda ukifika….

NB: Je kuna Magufuli Mwingine au ni huyu huyu?...............

Asanteni
Ocampo four"
Teh Teh...hii haina soko watanzania wanahitaji kujua mustakabali wa maisha yao...
 
Halafu hapa watu wanajifanya...oOOOOOH sijui slaa oooh sijui nani...waende huko mitaani wakasikilize....Narudia tena Kwa Magufuli na Slaa...slaa will get below 5% count my words...Labda wabadilishe mtu asiwe slaa
Kamanda bora wewe umehamua kuwa mkweli kabisa huu ukweli wengi hawatausema..
 
Hahahahahahh umewakimbia wale Mijanaume suruali???

Yaani mijitu ya kule nayo sometimes hamnazo.! Unakuta lijitu limekupenda, kusema lizito ulimi utafikiri limefungwa jiwe la kilo tano la kupimia nyama..!!! hapo utashangaa linaanza kukuponda huku likikuchombeza kimtindo.. Aaah lakini mbona ulikuwa unawawezea sana Wangu? Basi karibu hapa tumchague Rais Dr Slaa,achana na mizumbukuku iliyojazana hapa kwa jina la Upinzani koko...

Dr Slaa Anatosha sana..!!

BACK TANGANYIKA
Kamanda kudhani Dr.W.Slaa atagusa vyumba vya ikulu ni sawa na kusubiri meli air port au ni zaidi ya kuchanganyikiwa...
 
Last edited by a moderator:
Slaa ndo raisi ajae mbona hilo halina ubishi....
Ukawa tumetulia tuu tunasoma lamani
Teh Teh leo mimi nacheka tuu makamanda wanatoa za uso na wengine wanaendelea kuota...kwikwikwi...
Huu ni ukweli mchungu sana ingawa wengi hawawezi kuukubali kutokana na ushabiki, ila kimsingi Ukawa haikujipanga na Chadema kumepooza sana binafsi siwezi hata kulinganisha na 2010! Naelekea kukosa matumaini ingawa naomba Mungu sana tupate wabunge wengi kuliko ccm
 
Unaposema mvuto unamanisha nn,unafikiri urais wanaangalia mvuto hapa hatuchagui warembo bhana,kaaa utulie utaona
 
Ulichokiandika mkuu kina mantiki kubwa sana kwa mtu mwenye kuuacha ushabiki pembeni na kuutathimni uhalisia....Kiuhalisia kabisa wa mambo ni kwamba kiukweli kabisa wananchi wameichoka CCM kutoka ndani ya mioyo yao......Kwa sababu kila mwananchi ni shuhuda wa mateso na dhiki zilizosababishwa na serikali ya CCM kwa utendaji wake mbovu na kushindwa kuyafikia matarajio ya wananchi.........Lakini pia kikubwa pia wananchi bado wana wasi wasi na mbadala wa CCM ambao ni wapinzani.....Kiujumla wananchi wa mwaka 2010 si wa mwaka huu....wamebadilika kifikra na kimtazamo katika mambo mbali mbali........Wananchi wanataka kusikia mikakati ya wapinzani ya kuwaondolea mateso yaliyosababishwa na serikali ya CCM na sio kusikia kashfa za wapinzani dhidi ya watawala.....Wananchi wanataka kusikia mbinu na mikakati mbali mbali ya kuwaondolea umasikini uliokuwa unastawishwa na watawaala , wananchi kusikia nikakati na mbinu za uhakika za kuboreshewa miundombinu ili kuharakisha shughuli za kiuchumi......Vijana wanataka kusikia sera zenye mashiko za upinzani za jinsi ya kuwakwamua kutoka katika tope la kukosa ajira..........Na kwa kukosekana kwa mikakati hiyo ndiko kunakowafanya wananchi kuwa kama vifaranga walionyeshewa na mvua huku wakihangaishwa na mwewe (CCM) akiwadonoa........Ndio maana nikasema kuwa wapinzani wakijipanga vyema na kuja na mikakati yenye mashiko mbele ya WANANCHI WALIOKATA TAMAA ya maisha bora chini ya CCM inaweza kuandikwa HISTORIA mpya hapa NCHINI.................
Makamanda leo mmeona muuseme ulio ukweli!

Mimi niseme tuu CCM itatawala milele na Rais bora lazima atoke CCM!
 
Aisee siasa za watanzania ni mgumu nawapongeza sana wapinzani kwa kazi nzuri, kubwa wanayoifanya usiku na mchana, jua na mvua tena bila kukata tamaa..

Hivi ni wewe Freeland ? watu mmpewa shule tangu 2010, mmejenga mahusiano ya karibu na wapinzani, mmeonyeshwa jinsi CCM inavyowadhurumu tena hata nyie wenyewe mmeshuhudia kwa macho yenu kashfa mbali mbali na jinsi zilivyoshughuliwa hivi leo hii mmesahau hayo yote baada ya kuchaguliwa Magufuli? eti wapinzani hawajajipanga?

Hivi elimu zetu tunazopewa ni elimu za kuchanganua mambo au ni elimu za kushindia mitiani na kupata ajira nzuri? Ni kipi na kwa vipi Magufuli peke yake ataweza kuondoa rushwa? ni kwa vipi Magufuli ataweza kushugulikia swala la Epa, Richmond, Escrow, Katiba mpya, uzwaji wa nyumba za serikali na nk? Huyu Magufuli ametoka wapi? Kama Magufuli ametoka katika mfumo ule ule na kachaguliwa na watu wale wale ni kwanini unategemea kitu tofauti?

Hivi Watanzani tuna nia ya dhati kuitoa Tanzania yetu hapa na kuipeleka pale? Hata kampeni hazijaanza watu wameisha bwaga manyanga na kutoa ushauri wa wapinzani kujipanga upya kisa ni Magufuli. Tena Magufuli yule yule wa muuzaji wa Nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa, tena Magufuli yule yule aliyelitia Taifa hasara ya mabil. kwa maamuzi yake mabovu ya ubomoaji wa Shelly kule Mwanza na ubomoaji wa Nyumba za barabarani kule Morogoro na maeneo mengine.

Huyu huyu Magufuli ambaye sh, Bil.265 zimepotelea katika ujezi wa barabara hewa.. Tena huyu huyu mnayelalamika kuwa wizara yake inajenga barabara zisizo na viwango kwamba kabla ya kufunguliwa rasmi barabara zimeishajaa mashimo.

Hivi huu utendaji wa Mafuguli uliotukuka ambao utageuza CCM kuwa dhahabu umetoka wapi???
 
Teh Teh...hii haina soko watanzania wanahitaji kujua mustakabali wa maisha yao...

Mtatoka tu hata kwa mawe wezi mtakwisha. Huku mbeya msemo wetu ni ukiwa ccm tayari umekosa sifa ya kupata kura mbeya
 
Alinda with due respect

Nauheshimu sana Mchango wako....Wapinzani wamefanya kazi kubwa ya kuwaamsha wananchi...hilo silipingi

Ni mfumo huu mbovu wa CCM ndio umetufikisha hapa....watu wengi...hata mimi najua CCM ni dubwana bovu kabisa lililotugharimu sana......

Sambamba na kuwaamsha wananchi Wapinzani walitakiwa kufanya kazi ya ziada kutengeneza mtu anayeweza kuuzika kwa wananchi ili kuwashawishi tupigiwe kura...Kwa lugha nyingine wapinzani wamefeli kwenye Succession Planning Management.

Sikatai kwamba Dr Slaa amafanya kazi kubwa sana katika Upinzani wa nchi hii...Pia ndiye chachu wa haya tunayoyaona...Lakini tatizo ni kwamba amefikia mwisho kabisaaaaa....Nothin new we can expect from him...Atakuja na nyimbo zile zile za kila siku....amezoeleka sana....kifupi kuchagulika (electability) kwa Dr slaa ukilinganisha na 2010 kwa sasa kumeshuka sana.............................

Argument yangu imezingatia ujinga wetu watanzania na jinsi tunavyoweza kuchagua vitu vilivyopakwa rangi vizuri...wa sasa magufuli amepakwa rangi na amepakika kwelikweli...anang'aaa....nenda mtaani kasikilize.....

Ndio maana nasema CHADEMA walijisahau kutokutengeneza figure mpya kwa ajili ya ku manage political risk kama hizi....tunachokiona sasa ni matokeo ya Uungu mtu ndani ya Upinzani...kwamba aliyekuwa anaonekana anafaa ni slaa tu...hakuna aliyeruhusiwa au aliyetakiwa kuwa groomed kwa position hii kutoka Upinzani

Tuko hapa kwa sababu ya Ubinafsi......
 
Last edited by a moderator:
Alinda with due respect

Nauheshimu sana Mchango wako....Wapinzani wamefanya kazi kubwa ya kuwaamsha wananchi...hilo silipingi

Ni mfumo huu mbovu wa CCM ndio umetufikisha hapa....watu wengi...hata mimi najua CCM ni dubwana bovu kabisa lililotugharimu sana......

Sasa kama unaelewa huu mfumo mbovu wa CCM ndo umetufikisha hapa.. Wewe kama Tanzania mwenye mapenzi mema na nchi yako kazi yako ni nini kwa wale wasio na uelewa kama wako juu ya CCM?
Huoni unafanya makosa iwepo unaelewa kuwa tatizo ni mfumo mbovu, na mwenye kuutoa huu mfomu mbovu ni jukumu langu, lako na yule sasa wewe badala kuhimiza watu tushirikiane kuuondoa huu mfumo mbovu unatushawishi tuwaache tu waendelee kututawala.. Sasa nakuuliza kwa faida yako na kizazi chako je umelitendea Taifa lako haki?

Sambamba na kuwaamsha wananchi Wapinzani walitakiwa kufanya kazi ya ziada kutengeneza mtu anayeweza kuuzika kwa wananchi ili kuwashawishi tupigiwe kura...Kwa lugha nyingine wapinzani wamefeli kwenye Succession Planning Management.

Kwani wapinzani wameishamtaja mgombe urais?

Sikatai kwamba Dr Slaa amafanya kazi kubwa sana katika Upinzani wa nchi hii...Pia ndiye chachu wa haya tunayoyaona...Lakini tatizo ni kwamba amefikia mwisho kabisaaaaa....Nothin new we can expect from him...Atakuja na nyimbo zile zile za kila siku....amezoeleka sana....kifupi kuchagulika (electability) kwa Dr slaa ukilinganisha na 2010 kwa sasa kumeshuka sana.............................

Kwa kipimo kipi ulichopima na kupata jibu kuwa Slaa kashuka kisiasa? Halafu unasema "Nothin new we can expect from him" Hivi haya ni mawazo yako? kuwa leo unatarajia siasa za matukio? kwamba unahitaji kusikia vitu gani vipya wakati matatizo ya watanzani ni yale yale? Matatizo yetu ni yale yale, shule, huduma za afya, rushwa, ujangili. ufisadi, katiba mpya,umaskini hali wanasiasa ni matajri wa kutupwa na nk..sasa wewe unataka kitu kipya kipi na kwanini kitu kipya hali haya bado hayajapata ufumbuzi? Yaani leo tusiongelee Elimu yetu na jinsi ya kuiboresha kwa vile hili swala limekuwa likiongelewa kila wakati? au unamaanisha nini hapo?

Argument yangu imezingatia ujinga wetu watanzania na jinsi tunavyoweza kuchagua vitu vilivyopakwa rangi vizuri...wa sasa magufuli amepakwa rangi na amepakika kwelikweli...anang'aaa....nenda mtaani kasikilize.....

Sasa kama wewe unaelewa kuwa Magufuli kapakwa ragi ni kwanini unashawishi wapinzani wajitoe katika kinyanganyiro cha urais?

Maana kama husingekuwa unaelewa kuwa ni ulaghai hilo lingekuwa jambo lingine lakini unaelewa kuwa huu ni ulaghai, unaelewa kuwa wanaolaghaiwa ni pamoja na wewe na watoto wako (kama unao/au unatarajia kuwa nao) nilitegemea wewe uliyegàmua huu ulaghai ukae mstari wa mbele na kuelimisha wale ambao hawajui kuwa huu ni ulaghai. Ni masikitiko kuona watanzania maisha yetu, nchi yetu tunaviacha mikononi mwa wanasiasa. Kama tukiendelea hivi zile "imagination" zetu tulizonazo vichwani mwetu kuhusu Tanzania tuitakayo zitabaki kuwa imagition" tu na zisifikie hata robo tatu ya reality.. ni masikitiko....
 
Wadau;

Kati ya vitu ambavyo CHADEMA wamenikera ni wao kushindwa kuandaa mtu kwa ajili ya kugombea Urais mwaka 2015

Tangu mwaka 2010 walikuwa na muda wa kutosha kutengeneza mtu mpya kwa ajili ya position hiyo

Walikuwa na uwezo wote wa kufanya Poaching na kumpata mtu huyo

Lakini kwa Ubinafsi tu wa kudhani slaa anatosha ndio maana tuko hapa tulipo

Dr Slaa hana mvuto tena...hana kipya anachoweza kukisema kwa wananchi....watu wamemzoea sana.....kama Dr slaa akishindana na Magufuli ...Magufuli atashinda kwa asilimia 95,yaani 95%.

CCM wamejitahidi kupambana na mgogoro wa ndani ya chama chao na kukiacha chama salama....CCM wameonesha kiwango cha juu cha management ya kisiasa...kitu ambacho sisi tumekishindwa

CCM wako very organized....Tukibisha ni ubishi tu

Ushauri wangu..Tuweke silaha chini na tutoe matumaini kwenye Urais...Tuweke Concentration Kubwa kwenye Ubunge ili tupate Bunge lililo Imara

Tukiwa na Bunge Imara..Rais Mwenye Maamuzi...Tutafika Mbali

Kalaga bhaho wewe ndio ulikuwa hujui kuwa aliyekuwa ameandaliwa ni LOWASA. Kilichotibua ni kitendo cha Serikali cha kumzibiti.
 
Wadau;

Kati ya vitu ambavyo CHADEMA wamenikera ni wao kushindwa kuandaa mtu kwa ajili ya kugombea Urais mwaka 2015

Tangu mwaka 2010 walikuwa na muda wa kutosha kutengeneza mtu mpya kwa ajili ya position hiyo

Walikuwa na uwezo wote wa kufanya Poaching na kumpata mtu huyo

Lakini kwa Ubinafsi tu wa kudhani slaa anatosha ndio maana tuko hapa tulipo

Dr Slaa hana mvuto tena...hana kipya anachoweza kukisema kwa wananchi....watu wamemzoea sana.....kama Dr slaa akishindana na Magufuli ...Magufuli atashinda kwa asilimia 95,yaani 95%.

CCM wamejitahidi kupambana na mgogoro wa ndani ya chama chao na kukiacha chama salama....CCM wameonesha kiwango cha juu cha management ya kisiasa...kitu ambacho sisi tumekishindwa

CCM wako very organized....Tukibisha ni ubishi tu

Ushauri wangu..Tuweke silaha chini na tutoe matumaini kwenye Urais...Tuweke Concentration Kubwa kwenye Ubunge ili tupate Bunge lililo Imara

Tukiwa na Bunge Imara..Rais Mwenye Maamuzi...Tutafika Mbali

Tumechoka na na ccm jamaniiiiii tunanyimwa mishahara bila hatia aaa iache icheee
 
Sasa kama unaelewa huu mfumo mbovu wa CCM ndo umetufikisha hapa.. Wewe kama Tanzania mwenye mapenzi mema na nchi yako kazi yako ni nini kwa wale wasio na uelewa kama wako juu ya CCM?
Huoni unafanya makosa iwepo unaelewa kuwa tatizo ni mfumo mbovu, na mwenye kuutoa huu mfomu mbovu ni jukumu langu, lako na yule sasa wewe badala kuhimiza watu tushirikiane kuuondoa huu mfumo mbovu unatushawishi tuwaache tu waendelee kututawala.. Sasa nakuuliza kwa faida yako na kizazi chako je umelitendea Taifa lako haki?

Kwani wapinzani wameishamtaja mgombe urais?

Kwa kipimo kipi ulichopima na kupata jibu kuwa Slaa kashuka kisiasa? Halafu unasema "Nothin new we can expect from him" Hivi haya ni mawazo yako? kuwa leo unatarajia siasa za matukio? kwamba unahitaji kusikia vitu gani vipya wakati matatizo ya watanzani ni yale yale? Matatizo yetu ni yale yale, shule, huduma za afya, rushwa, ujangili. ufisadi, katiba mpya,umaskini hali wanasiasa ni matajri wa kutupwa na nk..sasa wewe unataka kitu kipya kipi na kwanini kitu kipya hali haya bado hayajapata ufumbuzi? Yaani leo tusiongelee Elimu yetu na jinsi ya kuiboresha kwa vile hili swala limekuwa likiongelewa kila wakati? au unamaanisha nini hapo?

Sasa kama wewe unaelewa kuwa Magufuli kapakwa ragi ni kwanini unashawishi wapinzani wajitoe katika kinyanganyiro cha urais?

Maana kama husingekuwa unaelewa kuwa ni ulaghai hilo lingekuwa jambo lingine lakini unaelewa kuwa huu ni ulaghai, unaelewa kuwa wanaolaghaiwa ni pamoja na wewe na watoto wako (kama unao/au unatarajia kuwa nao) nilitegemea wewe uliyegàmua huu ulaghai ukae mstari wa mbele na kuelimisha wale ambao hawajui kuwa huu ni ulaghai. Ni masikitiko kuona watanzania maisha yetu, nchi yetu tunaviacha mikononi mwa wanasiasa. Kama tukiendelea hivi zile "imagination" zetu tulizonazo vichwani mwetu kuhusu Tanzania tuitakayo zitabaki kuwa imagition" tu na zisifikie hata robo tatu ya reality.. ni masikitiko....
Hapa jukwaani tuna uhuru wa. Kutoa maaoni,mimi naamini watu wanaopinga upinzani kukosolewa ndio wamefanya upinzan uendelee kuwa upinzani,point ya jamaaa mbona iko wazi kabisa?kwanini nguvu isipelekwe kwenye ubunge ili wafikie 180?
 
Uhuru wa kutoa maoni ulionao ndio hata mie nilionao...na wewe unachoamini si lazima na mimi niamini hicho hicho.. na hakuna niliposema kwanini anakosoa wapinzani maana ninaamini kuwa wapinzani nao ni binadamu kama mimi na wewe kukosea au kukosolewa ni jambo la kawaida..

Mpaka hapo tuendele na mjadala..

Labda unieleze kwanini unaamini kwamba nguvu zipelekwa kwenye ubunge tu???
 
Hapa jukwaani tuna uhuru wa. Kutoa maaoni,mimi naamini watu wanaopinga upinzani kukosolewa ndio wamefanya upinzan uendelee kuwa upinzani,point ya jamaaa mbona iko wazi kabisa?kwanini nguvu isipelekwe kwenye ubunge ili wafikie 180?

Na Urais?
 
Wadau;

Kati ya vitu ambavyo CHADEMA wamenikera ni wao kushindwa kuandaa mtu kwa ajili ya kugombea Urais mwaka 2015

Tangu mwaka 2010 walikuwa na muda wa kutosha kutengeneza mtu mpya kwa ajili ya position hiyo

Walikuwa na uwezo wote wa kufanya Poaching na kumpata mtu huyo

Lakini kwa Ubinafsi tu wa kudhani slaa anatosha ndio maana tuko hapa tulipo

Dr Slaa hana mvuto tena...hana kipya anachoweza kukisema kwa wananchi....watu wamemzoea sana.....kama Dr slaa akishindana na Magufuli ...Magufuli atashinda kwa asilimia 95,yaani 95%.

CCM wamejitahidi kupambana na mgogoro wa ndani ya chama chao na kukiacha chama salama....CCM wameonesha kiwango cha juu cha management ya kisiasa...kitu ambacho sisi tumekishindwa

CCM wako very organized....Tukibisha ni ubishi tu

Ushauri wangu..Tuweke silaha chini na tutoe matumaini kwenye Urais...Tuweke Concentration Kubwa kwenye Ubunge ili tupate Bunge lililo Imara

Tukiwa na Bunge Imara..Rais Mwenye Maamuzi...Tutafika Mbali

Kawadanganye ndugu zako na jamaa zako wa karibu. Watakao wachagua wabunge wa upinzani haohao watamchangua mgombea uris wa Upinzani.
 
Back
Top Bottom