CHADEMA na UKAWA tukubali ku surrender, hatukujipanga

CHADEMA na UKAWA tukubali ku surrender, hatukujipanga

Kwa maono yangu ni kwamba kama UKAWA watakuwa makini na kujipanga vyema wanaweza wakaleta mabadiliko kwa sababu hata wananchi tumeshaichoka CCM... Tumezichoka ngonjera CCM tangu uhuru mpaka.....tumechoka kukaririshwa umasikini ili tunawashudia wenzetu CCM wakiporomosha mahekalu huku familia zao ikila na kusaza.........Tumechoka mafisadi wakichekewa huku wakibembelezwa kurudisha walichokiiba kana kwamba walichokifanya ni sahihi.....KWA KIFUPI WANANCHI WANANCHI WAMEWACHOKA CCM

Ccm Kuchokwa hilo liko wazi

Lakini Pia tukubali CCM wanajua kuicheza Siasa.....Ni wagombea wa CCM waliojadiliwa zaidi na wananchi

Tangu kuchukua Fomu ...kutafuta wadhamini hadi sasa ni CCM iko midomoni kwa watu...And thats politics

Kwa mchezo wanaoucheza sasahivi akili za watu wengi zimeenda CCM...Na magufuli ndio amekuwa choice sahihi kabisa kwa CCM

Ilihali tunakubalina kuwa CCM imechokwa kimantiki Lakini Hatujajipanga....Kama tunategemea kumweka Slaa...Tuhesabu maumivu makali sana......

Kwa Urais tusahau kabisa...tuweke Juhudi kwenye kuongeza idadi ya wabunge...Tumweke Mtu wa ku moblize kura za wabunge ila sio wa kushinda urais...Na huyo mtu sio slaa kwa sasa...May be Lissu kwa kiasi fulani

Watanzania wengi ni wasahaulifu na wana mtindo wa kupenda vitu vipya...Kwa maono ya wengi hapa Magufuli atakuwa mpya na Slaa itakuwa the same oldies...Nothing new

Slaa mwenyewe hana kipya cha kusema sasa...Ameshafikia level yake ya mwisho kabisa

Nawashauri watu wengine....endapo Ukikasirika kwa maoni yangu...Toa maoni yako ila sio utukane
 
Hahahahahahh umewakimbia wale Mijanaume suruali???

Yaani mijitu ya kule nayo sometimes hamnazo.! Unakuta lijitu limekupenda, kusema lizito ulimi utafikiri limefungwa jiwe la kilo tano la kupimia nyama..!!! hapo utashangaa linaanza kukuponda huku likikuchombeza kimtindo.. Aaah lakini mbona ulikuwa unawawezea sana Wangu? Basi karibu hapa tumchague Rais Dr Slaa,achana na mizumbukuku iliyojazana hapa kwa jina la Upinzani koko...

Dr Slaa Anatosha sana..!!

BACK TANGANYIKA

Slaa ndo raisi ajae mbona hilo halina ubishi....
Ukawa tumetulia tuu tunasoma lamani
 
Halafu hapa watu wanajifanya...oOOOOOH sijui slaa oooh sijui nani...waende huko mitaani wakasikilize....Narudia tena Kwa Magufuli na Slaa...slaa will get below 5% count my words...Labda wabadilishe mtu asiwe slaa

Huu ni ukweli mchungu sana ingawa wengi hawawezi kuukubali kutokana na ushabiki, ila kimsingi Ukawa haikujipanga na Chadema kumepooza sana binafsi siwezi hata kulinganisha na 2010! Naelekea kukosa matumaini ingawa naomba Mungu sana tupate wabunge wengi kuliko ccm
 
Slaa ndo raisi ajae mbona hilo halina ubishi....
Ukawa tumetulia tuu tunasoma lamani

Momieeeeee chukua Redds kwa Mangi hapo nakuja kulipa khaaaaa umenifurahisha sana, nilijua kwenye issue hizi haupo... Chukua na nyingine tafadhari...!!

BACK TANGANYIKA
 
Ubinafs wa chadema utaendendelea kuwatafuna daima.Lait wangestuka kipindi kile Zitto anatangaza nia ya kugombea urais nakumuandaa vizuri mtu mbadala wa Slaa,mwaka huu wangekuwa mbali sana!Hapo ndo namuona Zitto kuwa ni mwanamikakati
Ccm Kuchokwa hilo liko wazi

Lakini Pia tukubali CCM wanajua kuicheza Siasa.....Ni wagombea wa CCM waliojadiliwa zaidi na wananchi

Tangu kuchukua Fomu ...kutafuta wadhamini hadi sasa ni CCM iko midomoni kwa watu...And thats politics

Kwa mchezo wanaoucheza sasahivi akili za watu wengi zimeenda CCM...Na magufuli ndio amekuwa choice sahihi kabisa kwa CCM

Ilihali tunakubalina kuwa CCM imechokwa kimantiki Lakini Hatujajipanga....Kama tunategemea kumweka Slaa...Tuhesabu maumivu makali sana......

Kwa Urais tusahau kabisa...tuweke Juhudi kwenye kuongeza idadi ya wabunge...Tumweke Mtu wa ku moblize kura za wabunge ila sio wa kushinda urais...Na huyo mtu sio slaa kwa sasa...May be Lissu kwa kiasi fulani

Watanzania wengi ni wasahaulifu na wana mtindo wa kupenda vitu vipya...Kwa maono ya wengi hapa Magufuli atakuwa mpya na Slaa itakuwa the same oldies...Nothing new

Slaa mwenyewe hana kipya cha kusema sasa...Ameshafikia level yake ya mwisho kabisa

Nawashauri watu wengine....endapo Ukikasirika kwa maoni yangu...Toa maoni yako ila sio utukane
 
Mbona hawa maccm wanakuwa na hamshik sana tulieni tunawaleteeni jembe wa kulete mabadiliko tz
 
Momieeeeee chukua Redds kwa Mangi hapo nakuja kulipa khaaaaa umenifurahisha sana, nilijua kwenye issue hizi haupo... Chukua na nyingine tafadhari...!!

BACK TANGANYIKA

Asante mkuu ndo nishaagiza usiache tuu kuja.
Mimi nangoja campen zianze. Mbona mabom watayapiga sanaaaaa...
Yaan ni mpera mpera mpaka kieleweeekee
 
Ccm Kuchokwa hilo liko wazi

Lakini Pia tukubali CCM wanajua kuicheza Siasa.....Ni wagombea wa CCM waliojadiliwa zaidi na wananchi

Tangu kuchukua Fomu ...kutafuta wadhamini hadi sasa ni CCM iko midomoni kwa watu...And thats politics

Kwa mchezo wanaoucheza sasahivi akili za watu wengi zimeenda CCM...Na magufuli ndio amekuwa choice sahihi kabisa kwa CCM

Ilihali tunakubalina kuwa CCM imechokwa kimantiki Lakini Hatujajipanga....Kama tunategemea kumweka Slaa...Tuhesabu maumivu makali sana......

Kwa Urais tusahau kabisa...tuweke Juhudi kwenye kuongeza idadi ya wabunge...Tumweke Mtu wa ku moblize kura za wabunge ila sio wa kushinda urais...Na huyo mtu sio slaa kwa sasa...May be Lissu kwa kiasi fulani

Watanzania wengi ni wasahaulifu na wana mtindo wa kupenda vitu vipya...Kwa maono ya wengi hapa Magufuli atakuwa mpya na Slaa itakuwa the same oldies...Nothing new

Slaa mwenyewe hana kipya cha kusema sasa...Ameshafikia level yake ya mwisho kabisa

Nawashauri watu wengine....endapo Ukikasirika kwa maoni yangu...Toa maoni yako ila sio utukane
Ulichokiandika mkuu kina mantiki kubwa sana kwa mtu mwenye kuuacha ushabiki pembeni na kuutathimni uhalisia....Kiuhalisia kabisa wa mambo ni kwamba kiukweli kabisa wananchi wameichoka CCM kutoka ndani ya mioyo yao......Kwa sababu kila mwananchi ni shuhuda wa mateso na dhiki zilizosababishwa na serikali ya CCM kwa utendaji wake mbovu na kushindwa kuyafikia matarajio ya wananchi.........Lakini pia kikubwa pia wananchi bado wana wasi wasi na mbadala wa CCM ambao ni wapinzani.....Kiujumla wananchi wa mwaka 2010 si wa mwaka huu....wamebadilika kifikra na kimtazamo katika mambo mbali mbali........Wananchi wanataka kusikia mikakati ya wapinzani ya kuwaondolea mateso yaliyosababishwa na serikali ya CCM na sio kusikia kashfa za wapinzani dhidi ya watawala.....Wananchi wanataka kusikia mbinu na mikakati mbali mbali ya kuwaondolea umasikini uliokuwa unastawishwa na watawaala , wananchi kusikia nikakati na mbinu za uhakika za kuboreshewa miundombinu ili kuharakisha shughuli za kiuchumi......Vijana wanataka kusikia sera zenye mashiko za upinzani za jinsi ya kuwakwamua kutoka katika tope la kukosa ajira..........Na kwa kukosekana kwa mikakati hiyo ndiko kunakowafanya wananchi kuwa kama vifaranga walionyeshewa na mvua huku wakihangaishwa na mwewe (CCM) akiwadonoa........Ndio maana nikasema kuwa wapinzani wakijipanga vyema na kuja na mikakati yenye mashiko mbele ya WANANCHI WALIOKATA TAMAA ya maisha bora chini ya CCM inaweza kuandikwa HISTORIA mpya hapa NCHINI.................
 
Mimi nina kadi yangu tayari, bora niende kuharibu kura kuliko wapigia CCM
 
Bora kuendelea kuongozwa na ccm kuliko ile saccos ya wachaga wenye udini,ukabila,vurugu na umimi
 
Eti amekosa mvuto? Kwani ulitaka mvuto wa kmuoa mama yako!?
 
Akili za nyumbu hizi, siku zote nasema, watanzania hatujui tunataka nini. System iliopo ni mbovu na hakuna tutakachopata. Sioni hoja hii kama inamashiko kwa watu wanaoona mbali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Mtarudi tena hapa kueleza kitakachotokea badae. Maana nyumbu ana tabia ya kusahau within a minute
 
MgonjwaUkimwi,

Ahsante sana gwiji na karibu sana.

Nadhani hapa umeeleza kwa kirefu sana tofauti ambayo nimeizungumzia hapo juu. Sababu ya kutoa mfano wa sisi yaani waafrika kuwa vipofu tunaojaribu kwenda sambamba na demokrasia iliyoundwa kwa watu wenye vision (mabepari). Ni wakati gani bara Afrika limepoteza demokrasia yake kama sio wakati wa kutawaliwa?...Na isije kuwa hata hiyo elimu tunayopewa ni uwezo wa kutembea Ulaya na kusema sanaaa! huku tukiwa mikono mitupu...Na kama tujuavyo mkono mtupu haulambwi...Je, kuna elimu ya Uzalishaji inayomlenga kipofu!

Binafsi nakubaliana sana na maelezo yako na hata kama kuna mafunzo ktk kujenga demokrasia hii mpya, je hivi kweli hakuna haja ya kufahamu tofauti zetu na kuziacha nje zile ambazo hazimsaidii kipofu!.... sidhani kama shule ya vipofu hutumia vifaa vya elimu sawa na hivyo vya waenye kuona.

Kwa mtazamo huo, naogopa hata kusema hizi project zinazoundwa na viongozi wetu hivi kweli zimeundwa kwa kumlenga na kuzingatia upofu wetu kurahisisha hiyo transition na sio kumjaza majukumu mlemavu na kutegemea ataweza ku - perform sawa na mtu mzima. Je, serikali zetu zimeweza kuweka vipengele vya sheria za kumlinda ama kumpa unafuu kipofu?...haki inayomlenga kipofu dhidi ya mabepari.

Watu wengi tumekuwa tukizungumzia mifano ya China Urusi na nchi nyinginezo ambazo zimepiga hatua na zipo ktk kasi ya ajabu kiuchumi, lakini sote tumeshindwa kuelewa kwamba China hawakuingia Ubepari macho juu. China hawakubinafsisha mali zao za Umma kwa wageni hadi hivi majuzi tu! na miradi mingi ya wageni (foreigner) ni ile mipya ambayo wao hawakuwa nayo kama wajamaa. Urusi ambao mwanzo walipotea step na kuanza kubinafsisha kwa wageni toka mwanzo, walisimamisha zoezi hilo na kuanza kulitazama upya...Sasa hivi wanabinafsisha mali zao za Umma kwa wananchi wazawa kwanza na hao kuingia Ubia na mashirika ya nje. Na mwisho wote kwa pamoja yaani China, Urusi, Malaysia na nchi changa zote kusini mwa Asia isipokuwa India zimeweka wazawa mbele na wageni huingia ubia ama kuanzisha miradi mipya....serikali imeweka sheria kuwalinda wananchi wake (vipofu) nazo ni pamoja na kuhakikisha mzawa lazima ashike zaidi ya asilimia 50 ya shirika!... kazi sasa ipo kwa hao mabepari.. kusuka ama kunyoa!

Note this:- Hakuna hata nchi moja inayopiga hatua kiuchumi kwa kugawa mali zake kwa wageni... isipokuwa nchi za kiafrika. Yes, sisi maskini hatuna uwezo kwa hiyo pia tukumbuke hatuwezi kuchukua mifano ya wengine matajiri wanaobinafsisha mali zao kwa wazawa!... Kwa mtaji wetu huu hakuna mfano bora kabisa wa kusema mbona wale wamefanikisha?

Tanzania tumekubali kwamba sisi ni maskini na serikali tu ndio pekee yenye kiutajiri cha ushikaji.. Serikali ndiyo imeshika Ubia na wageni na sio wananchi! na ndio sababu kubwa uliyoendeleza RUSHWA nchini kwa sababu hakuna mwenye uchungu na hiyo asilimia ya serikali zaidi ya Kiongozi huyo CEO kuwa Chukua Chako Mapema (CCM).

Na mwisho ndio sababu kubwa hata yangu ku-challenge huo Uhuru wetu kwani nilitegemea Uhuru ni kuondokana na hizi imani ama mila za kikoloni ziwe kupitia dini ama Utawala na turudishe tamaduni zetu zenye demokrasia yetu ambayo wageni walitukuta nayo, kisha hapa katikati itafutwe suluhu ya mawasiliano kibiashara baina yetu.

Uzaliwa na nyumbu akili zako hua za kinyumbu pole sana
 
Kamanda naona umeamua kujifariji kuna maajabu gani tena Dr.Slaa kuwa mgombea urais?

Muda wenu mwingi mnatumia kupambana na ACT-Wazalendo leo hii imebakia miezi mitatu tuingie kwenye uchaguzi unaleta drama.

Kila siku UKAWA wanajifungia watu wanne wanatoka bila maelewano maajabu ambayo watakuja nayo ni UKAWA kuvunjika na Kila mtu kuingia kwenye uchaguzi kivyake wapate kura mbili mbili na mwisho wa siku watasema usalama wa taifa wamewaibia kura.

Cc; Mkandara JokaKuu Kimweri
MKUU Ritz UKAWA WALISHAURIWA NA Pole Pole kuwa wanatakiwa kuachana na Slaa na Lipumba maana hawana mvuto tena hasa Slaa ndio hana kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Tunataka mabadiliko, na ni kweli mfumo wa sisiemu unahitaji kutolewa wote. Ila mfumo huo utatolewaje kama wanaotakiwa kuutoa hawajajipanga??
Upande wa kujipanga unajua kabisa mleta mada yuko sahihi, tuache kuvunga na kujipa matumaini! Ukawa hawasomeki mpaka sasa, target ya urais iwekwe pembeni, focus iwe viti vya ubunge!! Urais kama atasimamishwa Slaa, poa, kama Lipumba, poa. Ila angalau CUF waachiwe urais alafu CDM wajikite zaidi ktk ubunge kwa bara huku wakiandaa mgombea mwenye nguvu wa chaguzi kuu zijazo!
Mkuu Ritz naon Bavicha leo wanafunguka na kuwapa za uso wana UKAWA wenzao!

Tuliwaambia hawakusika hivyo hakuna namna nyingine na wapigwe tuu!

cc Lizabon
Urais waachane nao kwasababu tayari kaatikana sema wao wajizatiti vilivyo na sie tutawapa wabunge wa kutosha ili bunge lipendeze
 
Last edited by a moderator:
Nimemdharau sana huyu jamaa..!!

Yaani tarehe ya kuanza kampeni bado, mtu aliyetia nia kupitia Cdm bado hajajitokeza, Hivi alitaka iweje? Wamwandae vipi? Kwamba wakati wanamwandaa walitakiwa kufunga safari nyumbani kwake wakamwambie kwamba tunamwandaa fulani.?? Hizi ni akili chovu kuliko mlenda wa juzi!!!! Watu wanadhani siasa ni kitu simple kama kucheza drafti au bao kwenye mabaraza ya Lumumba..!!!

Lakini kinachonishangaza mimi huyu mleta mada amejuaje kwamb Dr Slaa kashuka umaarufu? Ktk tafiti kadhaa zilizofanywa na Twaweza na hivi karibuni Raddet, Dr Slaa Either alishika namba moja au mbili nyuma ya Lowassa.! Sawa tuseme kwamba hizo tafiti hatuziamini... Hapa Jf kunapoll kadhaa zimeitishwa na Dr Slaa kawagaragaza mbaya wote aliokuwa akishindanishwa nao. Tena huyu Magufuli wake hakuwa hata akitajwa, kwamaana kwamba hakua President material..

Leo mtu anakuja kuandamana hapa Jf eti Magufuli atashinda kwa Asilimia 95(bana meno) Upumbavu ulioje..!!! Hivi kama ni suala la mtu kuandaliwa anajuaje kwamba Dr Slaa hajaandaliwa?

Freeland, umejidhalilisha sana leo ptuuu!!

BACK TANGANYIKA
Teh Teh kumekucha....

Dr.W.Slaa wapiga kura wanasema huna mvuto na huna jipya..
Ukweli Lazima Usemwe
 
Last edited by a moderator:
Ninyi maccm mbona mnaanza kujihami mapema subilini na ukawa waje na mgombea wao halafu ndo mseme mnawashwa na nini tulieni.
Teh Teh mtoa mada ni kamanda mwenzio..
 
Back
Top Bottom