Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,194
- 297
Uhhhuuu,
Mgaya, alikuwa CUF ila ni mwenye chuki za kidini na hataki wazo la wenzake CHADEMA Kuweka mgombea kwa sababu za kidini? JF ina data na vichwa. Hebu tumwagie file lake hapa tumchambue huyu mtu anayetaka kuirudisha Tanzania kwenye zama za mawe kwa chuki zake za kidini na kikabila.
MwK,
Cha kwako ni kati ya vile vichwa ambavyo ukivifunua unakuta umbea, uongo, uzandiki na ubishi wa std 2. Eti ukiwakosoa Chadema kwa kuteua wabunge 5 kati 6 kutoka mkoa mmoja, wewe ndie unayekuwa mkosaji kuliko yule anayeitetea hiyo hali. Je huu ni uungwana kweli (namnukuu Mambombotela).
MwK na wanaukumbi kwa ujumla, hapa naweka tena breakdown ya wabunge wa Chadema ili kila mtu aone MwK anacho-defend. I hope na MwK sio Kilimanjaro-line au benefitiary maalum kama mtoto wa Ndesamburo, Lucy Owenya.
Is this fair to the rest of Tanzanians?
Kwa nini isingekua kila mteuliwa akatoka at least mkoa tofauti?? Ugumu unatoka wapi au mikoa mingine haina wanachama wa Chadema wenye sifa?
Mhe. Maulidah Anna Komu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Susan Anslem Lyimo, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Halima James, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2000-2010)
Mhe. Lucy Owenya, Kilimanjaro (Mtoto wa Ndesamburo)
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Mhonga Ruhwanya Said, Others
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)