Chadema na uchaga

Status
Not open for further replies.

coca cola

Member
Oct 26, 2010
8
0
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).
 
Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,522
2,000
Na waliokipigia kura kule Mwanza, Mara, Shinyanga, Kawe, Ubungo, Kigoma na Mbeya wote walikuwa ni Wachaga.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,834
2,000
Coca Cola,
unataka kulianzisha?, wee subiri, watakushukia mpaka Coca Cola itageuka kaka kola!.
 
DENYO

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
698
195
Kanywe cocacola wewe acha kuleta uzushi wako. Mbowe ni kiongozi mchezeshaji hanunuliki ni kamanda wa anga asiogopa mafisadi na masultani. Mbowe kaipaisha chadema ndio mwanzilishi wa kampeni za helkopta na kampeni za kisayansi. Mtahangaika saana kuhusu mbowe lakini mmechemuka. Amesimama imara na anasonga mbele kwa mashambulizi
 
coca cola

Member
Oct 26, 2010
8
0
Makabila mengine yanaelewa ni demokrasia kugombania nafasi anayoitaka mbowe au aliyoishikilia mbowe, lakini wachaga hawaelewi hilo; wao wanachoona ni mchaga mwenzangu.
 
Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,200
2,000
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

Sasa unapotoa hoja ambayo haina mifano halisi kuwa ni wachaga gani (ikiwezekana uwataje na majina na matukio yanayohusika na lini yalitokea) ambao wana mtizamo huo uliouelezea unataka tukueleweje?
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,202
0
Makabila mengine yanaelewa ni demokrasia kugombania nafasi anayoitaka mbowe au aliyoishikilia mbowe, lakini wachaga hawaelewi hilo; wao wanachoona ni mchaga mwenzangu.

Of all the problems happening you have just happened to See Ukabila..... Kweli we all see what we want to see........ Look yourself in the mirror.... you are your own worse enemy..... you dont see the capability of people but their tribal backgrounds...... so they should just mix people because they need a mixture of tribes? look at the party history maybe you might find the answear... as time goes on and the party is appreciated more on other parts then the mixture will be more.....

how come you dont comment on CUF having more people from Zanzibar? since that is your expertise...
 
coca cola

Member
Oct 26, 2010
8
0
Mifano halisi iko mbele yako kila siku; wewe pita kwenye duka lolote la mchaga ambalo liko karibu halafu taja mtu yoyote aliyeonekana kutaka nafasi ambayo mbowe kashika au mbowe anaitaka alafu utasikia maoni yake. Maoni yake hayatasema hiyo ni demokrasia; maoni yake yatakuwa huyo mtu anayetaka nafasi hiyo anayoitaka mbowe lazima ana kasoro. Au mtaje mtu yoyote mwenye mtazamo tofauti na mbowe ndani ya chadema; utaambiwa huyo mtu anakasoro.
 
Na nikipita duka lolote la Mkwere nikaambiwa wanamtaka JK tu, uta-draw conclusion gani?
 
coca cola

Member
Oct 26, 2010
8
0
Mbowe will never be perfect just because is a chaga. And democracy must take its course even in top level position. And speaking of capability; just go bilicanas and observe how he behaves. This will allow you to come to your own conclusion as to wether he has moral authority and wisdom to run a political party. I guess i have to remind you that two wrong don't make it right, therefore, don't mention cuf.
 
coca cola

Member
Oct 26, 2010
8
0
Na nikipita duka lolote la Mkwere nikaambiwa wanamtaka JK tu, uta-draw conclusion gani? NITASEMA WAKWERE WANAUKABILA, PERIOD.
 
kekuwetu

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
327
195
vizuri, walipo wachanga maendeleo yapo, hata mkwere alisema hivyo alipokuwa ktk kampeni arusha 2005, me mwenyewe natamani ningekuwa mchaga. kabila makini sana. wacha waongoze chadema
 
Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,522
2,000
Mbowe will never be perfect just because is a chaga. And democracy must take its course even in top level position. And speaking of capability; just go bilicanas and observe how he behaves. This will allow you to come to your own conclusion as to wether he has moral authority and wisdom to run a political party. I guess i have to remind you that two wrong don't make it right, therefore, don't mention cuf.
Kwa hiyo beef yako ni behaviour ya Mbowe akiwa Billicana, yes? Na kwa behaviour hiyo umemwona hana wisdom ya ku run a political party. Umeshawahi kumwona Kikwete kwenye night clubs?
 
Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,200
2,000
Na nikipita duka lolote la Mkwere nikaambiwa wanamtaka JK tu, uta-draw conclusion gani? NITASEMA WAKWERE WANAUKABILA, PERIOD.

Na ukipita maeneo ya Mwanza (kwa wasukuma), Mbeya (kwa wanyakyusa, wasafwa, etc), Shinyanga (kwa wasukuma), Singida (kwa wanyaturu), Dar es Salaam (kwa wazaramo), wanasema wanamtaka Mbowe (uchaguzi wa 2005), Slaa (uchaguzi wa 2010) au CHADEMA kwa ujumla, una-draw conclusion gani?
Ukipita maeneo ya Uchagani wakakuambia kuwa wanamtaka JK tu utageuza maneno yako kwamba WACHAGA si wakabila?

Hivi mtu kumchagua mtu wa kabila lake ambaye anafaa kuwa kiongozi ni ukabila au dhambi?
 
tbetram

Member
Nov 1, 2010
31
0
Hoja ya ukabila ni janja ya sisiemu ya kujihami. Kwa taarifa yako CHADEMA inakubalika katika miji mikubwa ya Tanzania ikiwemo Mbeya, Arusha, Moshi, Iringa, Mwanza n. k ambako kuna mchanganyiko wa makabila. It is too late now for sisiemu kusema CHADEMA ni chama cha wachaga!! Watanzania wameamka na hawadanganyiki tena na sisiemu. Watu ambao bado wanaisupport sisiemu kwa sasa ni wale walio kwenye system pamoja na familia zao, mafisadi na watanzania waishio vijijini na wasio na uelewa wa mambo. Shame upon sisiemu!!!
 
kinya

JF-Expert Member
Feb 20, 2009
495
225
mkuu coca cola kwani tatizo lako specifical nini?Ni uchagga ua utendaje kwani mbowe kafanya mengi na wakuu hapa jamvin wamejaribu kuyaelezea ikiwa na pamoja na kukifikisha chama hapo kilipo pia ameleta strategy za kuweza kuwin majority kitu ambacho amekifanikiwa kwa kiasi kikubwa.
kubwa kuliko yote ameonyesha alivyona mapenzi kwa chama na taifa kwa ujumla kwa kumruhusu mtu mwingine kugombea urais kipengele ambacho wengine wameshindwa?
 
kiraia

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
1,715
2,000
mbona hii thread huwa unairudiarudia kila baada ya wiki? Au iq yako ndogo kiasi kwamba huwezi ukafikiria jambo jipya?
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,555
2,000
Hoja ya ukabila ni janja ya sisiemu ya kujihami. Kwa taarifa yako CHADEMA inakubalika katika miji mikubwa ya Tanzania ikiwemo Mbeya, Arusha, Moshi, Iringa, Mwanza n. k

ukiondoa Mbeya na Moshi(ambayo ni upinzani asili), hiyo miji mingine CDM walishinda si kwa kuwa wanakubalika bali kwa sababu ya migogoro ya kura za maoni ndani ya CCM(mf Iringa), kuhujumiana miongoni mwa wana CCM(mf mwanza), na hujuma za watendaji wa serikali dhidi wagombea wa CCM( mf Moshi). Iwapo CDM wana nia ya kweli kuwa ni chama chenye nguvu maeneo hayo ni bora kuanzia sasa wakatambua kuwa kilichowapa ushindi si nguvu yao bali udhaifu wa CCM maeneo hayo hivyo wasibweteke bali kwa kila hali wawasaidie wabunge wa maeneo haya kushughulikia matatizo ya wananchi, ikibidi hata kwa kutumia kiasi fulani cha fedha za chama ili kujijenga na kujenga imani ya wananchi.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom