Hoja ya ukabila ni janja ya sisiemu ya kujihami. Kwa taarifa yako CHADEMA inakubalika katika miji mikubwa ya Tanzania ikiwemo Mbeya, Arusha, Moshi, Iringa, Mwanza n. k ambako kuna mchanganyiko wa makabila. It is too late now for sisiemu kusema CHADEMA ni chama cha wachaga!! Watanzania wameamka na hawadanganyiki tena na sisiemu. Watu ambao bado wanaisupport sisiemu kwa sasa ni wale walio kwenye system pamoja na familia zao, mafisadi na watanzania waishio vijijini na wasio na uelewa wa mambo. Shame upon sisiemu!!!