Chadema na uchaga

Status
Not open for further replies.
Inafurahisha sana watu wanavyopenda kuharibu hata jambo zuri kwa faida wasizozijua (au hasara)
Mfano, CDM ikiwa juu, wakati inaongozwa na mchaga, ikaleta mabadiliko mazuri tu kwa faida ya watanzania wote kuna shida gani? au ni bora tuendelee na ujinga huu hadi tupatme mtu jasiri mwenye uwezo na kukubalika au kuwa radhi kukaa front line ya haya mapigano ambaye si mchaga, si mkwere, si mkristu, si muislamu, si...... ndo tuanze kumuunga mkono?
Hatudanganyiki,
Ila tunaelewa woga ulionao, mabadiliko hayatakuwa madogo, na inawezekana, maisha yako na wenzako/wenzenu yakabadilika kabisa.
Inawezekana yakawa mazuri zaidi nafsini mwako, na mbele za wanao, ukadhubutu kuwaonyesha watoto wako payslips zako na chanzo cha mapato yako bila hofu, wakati utakapozeeka, utadhubutu kuwashauri watoto wako wapiganie kuwa raia wema wema wa nchi yao, wawe waadilifu.
Manake sijui sasa unawafundisha nini????
Uhakika ni kuwa unafiki wa Watanzania utabadilika na kuwa kifua mbele kusema tunaipenda nchi, viongozi wetu wakiwa mstari wa mbele!!
Tunisubiri hio siku kwa hamu!!!
MAPAMBANO NDO KWANZA YANAANZA
Tunataka mtu jasiri, mkweli, asiye mnafiki, mwenye kuipenda nchi kiukweli, mwenye uchungu wa maendeleo ya watanzania, asidanganya na mafisadi haraka.
Above all mwenye kuona mbele, na mwenye plans. (any tribe/religion) Hata CDM ikifa vita vita itaendelea.
 
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

simple minded people discuss people.
jf imevamiwa na hoja za sokoni (market place arguments).
apuuzwe huyu mkuu.
 
vizuri, walipo wachanga maendeleo yapo, hata mkwere alisema hivyo alipokuwa ktk kampeni arusha 2005, me mwenyewe natamani ningekuwa mchaga. kabila makini sana. wacha waongoze chadema
mjinga wewe... unatamani kuwa mchaga????? si utafute mume wa kichaga akuzalishe watoto,,,, ni wazi wanao watakuwa wachaga..
jiulize!!!!! tangu uhuru ni mchaga gani aliyepata kuwa waziri mkuu, raisi, jaji mkuu au mkuu wa majeshi??? ngoja nikupe sababu kwa nini wachaga hawaaminiwi nchi hii:-
1. WIZI ni asili yao na hawajali wanamuibia nani ili mradi mwisho wa siku wapate pesa
2.UKABILA na UBINAFSI uliokithiri ndio hulka yao, wao nafasi yoyote inayoakisi mafanikio hutaka iende kwa mchaga mwenzake
3.UPENDELEO katika maeneo ya kazi,, mchaga akiwa mkurugenzi basi ngazi zote za utendaji mpaka messenger angependa atoke uchagani,
4. HAWAPENDI kuzidiwa kimafanikio, na pindi wakiona wamezidiwa ni watu wepesi kufanya hujuma
5.linapotokea swala la kumsaidi mchaga mwenzao huwa tayari kuwa WASALITI( Mfano mzuri ni WACHAGA wanaotumikia USALAMA WA TAIFA, wanavyovujisha siri za serikali kwa CHADEMA ili kuifavor CDM KWA SABABU TU INAONGOZWA NA MBOWE NA IMEASISIWA NA MTEI.
6. hawaamini kama makabila mengine yanastahili kuwa na mafanikio na mtu toka kabila lingine akifanikiwa humuandama na kumhujumu
SIO AJABU wewe ndio wale waTZ ambao mnajua kabisa kuwa fulani ni JAMBAZI, ZUNGU LA UNGA au ni FISADI lakini kwa sababu ana maisha mazuri unakesha ukiomba ili uwe kama yeye,,,,,, PATHETIC
 
Inafurahisha sana watu wanavyopenda kuharibu hata jambo zuri kwa faida wasizozijua (au hasara)
Mfano, CDM ikiwa juu, wakati inaongozwa na mchaga, ikaleta mabadiliko mazuri tu kwa faida ya watanzania wote kuna shida gani? au ni bora tuendelee na ujinga huu hadi tupatme mtu jasiri mwenye uwezo na kukubalika au kuwa radhi kukaa front line ya haya mapigano ambaye si mchaga, si mkwere, si mkristu, si muislamu, si...... ndo tuanze kumuunga mkono?
Hatudanganyiki,
Ila tunaelewa woga ulionao, mabadiliko hayatakuwa madogo, na inawezekana, maisha yako na wenzako/wenzenu yakabadilika kabisa.
Inawezekana yakawa mazuri zaidi nafsini mwako, na mbele za wanao, ukadhubutu kuwaonyesha watoto wako payslips zako na chanzo cha mapato yako bila hofu, wakati utakapozeeka, utadhubutu kuwashauri watoto wako wapiganie kuwa raia wema wema wa nchi yao, wawe waadilifu.
Manake sijui sasa unawafundisha nini????
Uhakika ni kuwa unafiki wa Watanzania utabadilika na kuwa kifua mbele kusema tunaipenda nchi, viongozi wetu wakiwa mstari wa mbele!!
Tunisubiri hio siku kwa hamu!!!
MAPAMBANO NDO KWANZA YANAANZA
Tunataka mtu jasiri, mkweli, asiye mnafiki, mwenye kuipenda nchi kiukweli, mwenye uchungu wa maendeleo ya watanzania, asidanganya na mafisadi haraka.
Above all mwenye kuona mbele, na mwenye plans. (any tribe/religion) Hata CDM ikifa vita vita itaendelea.
kwa hilo jina lako!!!!!! mimi sina cha kuongea.. eti mpenda nchi!!!!!!!!!!!!
MBOWE doesn't fit to any of the above credibility you said.kila siku nalalamika juu ya agenda za siri za baadhi ya viongozi wetu kuwa kama zingewekwa wazi, basi wengi tungeshawasulubisha.WACHAGA imekula kwenu kwani jinsi mnavyotawala KIIMLA ndani ya CDM ni wazi kila mwenye AKILI(Asiyekuwa mchaga) ameshawashtukia.
poleeeeeeeeeee AIKAMBE
 
coca cola
user-offline.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateTue Oct 2010Posts8Thanks0Thanked 7 Times in 4 PostsRep Power0

Did you find this post helpful? |
ha_thumbsdn.gif
 
Mbowe will never be perfect just because is a chaga. And democracy must take its course even in top level position. And speaking of capability; just go bilicanas and observe how he behaves. This will allow you to come to your own conclusion as to wether he has moral authority and wisdom to run a political party. I guess i have to remind you that two wrong don't make it right, therefore, don't mention cuf.

Nimeamini kuwa kuna watu wenye akili ndogo kuliko ya kuku. hii thread nadhani hata kuku wa kienyeji ninaowafuga wana akili kuliko aliyeiweka hapa. lakini unaweza ukamkuta amevaa suti na anaambiwa shikamoo. kama hata kujenga hoja huwezi, si ukae ukajifunza kwa wenzako???Ushauri: wanasema ukikaa kinya unaeleweka kuwa na busara kuliko kupayuka.
 
kwa hilo jina lako!!!!!! mimi sina cha kuongea.. eti mpenda nchi!!!!!!!!!!!!
MBOWE doesn't fit to any of the above credibility you said.kila siku nalalamika juu ya agenda za siri za baadhi ya viongozi wetu kuwa kama zingewekwa wazi, basi wengi tungeshawasulubisha.WACHAGA imekula kwenu kwani jinsi mnavyotawala KIIMLA ndani ya CDM ni wazi kila mwenye AKILI(Asiyekuwa mchaga) ameshawashtukia.
poleeeeeeeeeee AIKAMBE
nilijua tu pooole!
bahati mbaya tanzania ni yetu wote, au unataka kuukana utanzania kwa kuwa kuna wachaga??? nakuonea huruma weee
 
kimsingi, yoyote yule, akiweza kuniridhisha mie basi huyo ndio nitamchagua kuwa kiongozi wangu,
kama wewe unaanza eliminations zako kwa vigezo vya ukabila nakupa pole sana.
lakini jua hakuna asiye na kabila.
Je wewe ni mwana CDM? mie siyo kwa hiyo wanayofanya humo ndani sijui sana, wala siwezi kusema sana, pia sina haja ya kujadili peronalities zaidi hapa.
Hoja ziko wazi, we tupe tu options unazodhani zitaturudishia uhuru wetu, maendeleo na uzalendo. tukikuelewa, hata kama ni ..... tutakuwa nyuma yako.
Please anza kwa kutoa alternative nzuri zaidi, je ni nani unaweza ukaweka bet yako kwa sasa ?

Chama au mtu yoyote tu hebu tupe hapa
 
Ni watu wenye fikra nyepesi tu wanaoweza kuchukua kigezo finyu tu kutoka katika jambo muhimu na lenye kuhitaji umakini sana na kuanza kushambulia kwa hoja ambazo kama akili za wanaozipokea zikiwa sawa za za mtoa hoja basi amani itakua shakani!
Nimekua mfuatiliaji mzuri wa siasa za fitina na majungu za Nchi yetu sasa..ni jambo la kusikitisha sana maana maana enzi zile ambazo Elimu ilikua bidhaa adimu bado waasisi wa taifa walifanya kila waliloweza kuhakikisha kuwa watanzania hatutaishi kwa tofauti za kiitikadi za Kidini,kisiasa na ubaguzi wa aina nyingine...walitambua matokeo ya kuruhusu dhana ya matabaka kuruhusiwa ndani ya jamii moja...
Kuna kikundi cha watu ambao wameamua kujivua akili zao kwa makusudi kabisa ama kutojua madhara ya wanachofanya wanaeneza propaganda za kichonganishi ambazo zitagawa watu jambo ambalo kwa wanawema hatutapenda jambo hili litokee..walianza na propaganda za maisha binafsi ya watu wenye influence kijamii ambao walionekana kwao(waleta propaganda ) ni mwiba ktk harakati zao ambazo ni imani yangu kua ni za kujipigia zumari kwa hofu ya kupoteza mvuto kijamii! Baada ya Scandal binafsi kukosa mvuto ,wakahamia Dini na sasa Ukabila...
Natoa tu angalizo kuwa Watanzania tusikubali kugawanywa km mafungu ya nyanya kwa maana walio nyuma ya yote hawa watakua kwenye viti virefu duniani huko wakicheka vicheko vya kinafiki wakati tukichinjana na kurudia maisha ambao pamoja na miaka zaidi ya harobaini bado wengi wetu tunaishi chini ya shilingi elfu moja ya madafu!
 
mjinga wewe... unatamani kuwa mchaga????? si utafute mume wa kichaga akuzalishe watoto,,,, ni wazi wanao watakuwa wachaga..
jiulize!!!!! tangu uhuru ni mchaga gani aliyepata kuwa waziri mkuu, raisi, jaji mkuu au mkuu wa majeshi??? ngoja nikupe sababu kwa nini wachaga hawaaminiwi nchi hii:-
1. WIZI ni asili yao na hawajali wanamuibia nani ili mradi mwisho wa siku wapate pesa
2.UKABILA na UBINAFSI uliokithiri ndio hulka yao, wao nafasi yoyote inayoakisi mafanikio hutaka iende kwa mchaga mwenzake
3.UPENDELEO katika maeneo ya kazi,, mchaga akiwa mkurugenzi basi ngazi zote za utendaji mpaka messenger angependa atoke uchagani,
4. HAWAPENDI kuzidiwa kimafanikio, na pindi wakiona wamezidiwa ni watu wepesi kufanya hujuma
5.linapotokea swala la kumsaidi mchaga mwenzao huwa tayari kuwa WASALITI( Mfano mzuri ni WACHAGA wanaotumikia USALAMA WA TAIFA, wanavyovujisha siri za serikali kwa CHADEMA ili kuifavor CDM KWA SABABU TU INAONGOZWA NA MBOWE NA IMEASISIWA NA MTEI.
6. hawaamini kama makabila mengine yanastahili kuwa na mafanikio na mtu toka kabila lingine akifanikiwa humuandama na kumhujumu
SIO AJABU wewe ndio wale waTZ ambao mnajua kabisa kuwa fulani ni JAMBAZI, ZUNGU LA UNGA au ni FISADI lakini kwa sababu ana maisha mazuri unakesha ukiomba ili uwe kama yeye,,,,,, PATHETIC
U r so pathetic with ur shallow inputs, u even managed to get to number 4 ?? Get a grip, and by the way both TLP and NCCR have chagga leaders, this means they are revolutionary in nature, u have ignored this fact and only stuck ur guns to CDM bcoz its the one that matters, this is bcoz ur so full of ur pentup hatred and ideologies of the past, every other party have its founders, can we say CUF ni wapemba ? Just because the chaggas are getting to ur skin doenst mean it also irks other people,come with facts but not these..man u so shallow can u please listen to urself? I can't imagine a grown man and a great thinker listing such tired reasons as basis of ukabila
 
kimsingi, yoyote yule, akiweza kuniridhisha mie basi huyo ndio nitamchagua kuwa kiongozi wangu,
kama wewe unaanza eliminations zako kwa vigezo vya ukabila nakupa pole sana.
lakini jua hakuna asiye na kabila.
Je wewe ni mwana CDM? mie siyo kwa hiyo wanayofanya humo ndani sijui sana, wala siwezi kusema sana, pia sina haja ya kujadili peronalities zaidi hapa.
Hoja ziko wazi, we tupe tu options unazodhani zitaturudishia uhuru wetu, maendeleo na uzalendo. tukikuelewa, hata kama ni ..... tutakuwa nyuma yako.
Please anza kwa kutoa alternative nzuri zaidi, je ni nani unaweza ukaweka bet yako kwa sasa ?

Chama au mtu yoyote tu hebu tupe hapa

Hongera shosti, kumbe dr slaa phd in theology ameshawahi kukuridhisha eeh?
 
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

haina shida ni kawaida hata CCM ni chama cha mafisadi tuu,tumegawana chadema uchaga ccm mafisadi
 
We acha kukariri katiba mpya ndio itatukomboa? Uganda wana katiba mpya,Kenya wana katiba mpya,zimewakomboa kivipi? Mbona bado ni maskini tu tena kuliko hata sisi?
Roma was not built in a single day! Kwanza katiba mengine ni trickle- down effects za Katiba, Kama unajua katiba ni nini? Hutakuwa mgumu kuelewa. Before you argue please do your homework!
 
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

Wanao bisha juu ya hili humu JF hawajui historia ya CHADEMA ni watu wa kukurupuka tu. Asili ya ilipo anzia CHADEMA ilikuwa ni kirefu cha CHAGGAS DEVELOPMENT MANIFESTO. Ndipo wao walipoona kuwa ni bora kubadilisha jina ila libakie na asili ya kifupisho chake kilekile ili kutopoteza uasisi wake , ndipo wakaleta CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA). Kwa tunao jua historia huwezi kubisha labda uwe mgeni wa nchi hii.
 
He..he..he..bhatata, fyo fiki fififyo?? Mfwile mwe in this threade, mfwile ghwa ghwitu, umenye ghwe, papo muka nisoni mwe bhajanga umwe angu bhakoma.

Moja ya vitu vigumu sana kuvitetea kwenye hii dunia ni ukabila, udini n.k maana viko damuni na mtu anaweza akapretend sivyo ndivyo

Siamini sana kwa jinsi tulivyolelewa watanzania kuwa CDM ina ukabila, siamini hilo, ila kwenye rules of the game--SIASA ni kutoweka mianya yoyote ile ambayo itawazuia wapiga kura kutowapa kura kwa kisingizio cha ukabila,maana ndiyo adui atakapopitia na kuleta maafa.

It is a challenge, I believe

Ingekuwa CDM kimezaliwa mbeya, wangesema ni cha wanyakyusa, ingekuwa bukoba wangezeam cha wahaya, kuna watu inferior sana kwa haya makabila, waoga tu!! hamna lolote lile,
 
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

umetumwa na ccm eehh!! mimi natokea mbaali na huko uchagani na ni chadema damu na sioni hayo matatizo unayoyasema...tatizo lenu mnakiogopa sana chadema comes 2015..subirini tuu..mtauawa taratiibu sawa..acheni kufuka kila siku shutuma mara chadema chama cha wachaga (na kina wabunge hadi akina sugu mbeya), kina wafuasi nchi nzima n.k. ivi nyie ccm hamchoki tuu...? acheni hizo kudadadeki..we mwehu wanakutumia kuleta vi thread vyako uchwara hapa wabaya hao siku nyingine wanaweza kukuomba tigo shauri yako umekalia chadema chadema..wachaga wachaga..aaagghh unaboa...potea kima wee!!
 
Ccm hao wanaokuja na hoja za ukabila,wanaona chama kinapiga hatua wanasema ukabila hakuna kitu.................modi funga hii mada bana inaleta kichefuchefu aaaha,tupa kule
 
Hivi kwanni Makabila haya ni issue,Chagga,Haya na Nyakyusa
Toka Vyuoni na mashuleni ,We alwayz hear talks of the negative sides of these people.But mi ndo naona waanzilishi na leaders wa vyama vingi vya siasa,NGOs za Haki za Binadamu etc mi naona mnaficha ukweli.

Mchanga alubuniwi,Toa Hela Zitto ananunulika........
 
mjinga wewe... unatamani kuwa mchaga????? si utafute mume wa kichaga akuzalishe watoto,,,, ni wazi wanao watakuwa wachaga..
jiulize!!!!! tangu uhuru ni mchaga gani aliyepata kuwa waziri mkuu, raisi, jaji mkuu au mkuu wa majeshi??? ngoja nikupe sababu kwa nini wachaga hawaaminiwi nchi hii:-
1. WIZI ni asili yao na hawajali wanamuibia nani ili mradi mwisho wa siku wapate pesa
2.UKABILA na UBINAFSI uliokithiri ndio hulka yao, wao nafasi yoyote inayoakisi mafanikio hutaka iende kwa mchaga mwenzake
3.UPENDELEO katika maeneo ya kazi,, mchaga akiwa mkurugenzi basi ngazi zote za utendaji mpaka messenger angependa atoke uchagani,
4. HAWAPENDI kuzidiwa kimafanikio, na pindi wakiona wamezidiwa ni watu wepesi kufanya hujuma
5.linapotokea swala la kumsaidi mchaga mwenzao huwa tayari kuwa WASALITI( Mfano mzuri ni WACHAGA wanaotumikia USALAMA WA TAIFA, wanavyovujisha siri za serikali kwa CHADEMA ili kuifavor CDM KWA SABABU TU INAONGOZWA NA MBOWE NA IMEASISIWA NA MTEI.
6. hawaamini kama makabila mengine yanastahili kuwa na mafanikio na mtu toka kabila lingine akifanikiwa humuandama na kumhujumu
SIO AJABU wewe ndio wale waTZ ambao mnajua kabisa kuwa fulani ni JAMBAZI, ZUNGU LA UNGA au ni FISADI lakini kwa sababu ana maisha mazuri unakesha ukiomba ili uwe kama yeye,,,,,, PATHETIC

Hizi mbinu za kuwarubuni wananchi kuwa kabila fulani ni wabaya kutawala zinztumiwa sana na wanasiasa uchwara wa Afrika. Si TZ tu ukienda Uganda utakuta wabaganda wanaundiwa hili zengwe. Ukienda Kenya utakuta wajaluo wanaundiwa hili zengwe. Hata mimi nikiwa mdogo niliaminishwa kuwa mwanamke kutoka makabila fulani ni balaa tupu lakini nikaja kujua hata kwenye kabila letu wapo walio balaa zaidi.
Ninachotaka kusema hapa ni kuwa tabia ya mtu ni ya mtu na si ya kabila nzima. Isitoshe watanzania tunabahati ya kuwa wamoja na kushirikiana makabila tofauti. Watu wengi ss wana mawazo ya kitanzania kuliko kikabila.
Mtu anaweza tokea kabila lolote akawa kiongozi mzuri si kwa kuwa ni wa kabila hilo ila uwezo na kipaji binafsi. Kama dhana hii ya kuogopa kabila fulani lingekuwa na ukweli Waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga angekuwa kiongozi? Au Zuma angekuwa Kiongozi? Ni pale mtu anapojipambanua kuwa peke yake kama kiongozi wa kitaifa ndipo anakuwa kiongozi. Yaani kiongozi anakuwa na mawazo ya maslahi ya taifa bila kuwa na chembe ya tabia za jamii yake au kabila lake anajali maslahi ya watu wote na si kabila lake. Mara nyingi wanaowadhania watu kuwa na ukabila ndio wanaukabila wenyewe.
Mbowe akiwa kiongozi mzuri tutampima kama mtanzania na si kama mchaga. Tusiokuwa wachaga tunakubali kuwa ni CHADEMA peke yake ndicho chama cha kutetea maslahi ya taifa na kutaka tubadilike kutoka hapa tulipo. Kwa upande wa Kenya ambako sasa wanakatiba mpya wale walokuwa mstari wa mbele kueneza propaganda kuwa wajaluo ni wakabila mchango wao ni kiasi gani kulinganisha na Odinga mjaluo aliyesimama kutaka mabadiliko hata kwa kufungwa? Walibaki vibaraka tu wakilamba miguu ya wakubwa huku nchi yao ikikandamizwa na watawala wachache. Dhana ya kiongozi kutoka sehemu fulani au kabila fulani inasababisha kupata viongozi wabovu. Ni sawa na kusema kiongozi atoke dini fulani. Unapata viongozi wabovu wanaojificha nyuma ya dini.
Ukuta feki uliokuwa unazungushiwa CDM kionekane cha kikabila kimebomoka sasa na cha wakurya, wanyakyusa, wasukuma, wangoni, waluguru, wapare, wafipa, wahaya, wanyaturu na cha wote yaani watanzania wote. Nyie mafisadi mrushe tope lipi kwa Chadema halishiki. Mnataka mtugawe kikabila na kidini ili muendelee kuchezea nchi yetu hamuwezi. Imekula kwenu nyie wala c CDM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom