Nyufa ndani ya CHADEMA zimezibwa kwa muda na sakata la Bandari lakini kufumuka upya kabla ya uchaguzi

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Yapo makundi mawili ndani ya Chadema kundi moja laongozwa na Tundu Lissu na la pili liko chini ya Aikael Mbowe.

Ugomvi wa haya makundi mawili ni nani awe mpeperusha bendera ya Urais ujao yaani 2025.

Kundi la Tundu Lissu linaamini mgombea wao ndiye mwenye mvuto na wanaamini alishinda uchaguzi wa 2020 wakati kundi la Mbowe lina mtazamo tofauti na huo wao wanaona ni zamu ya Mwenyekiti wa chama apewe fursa stahiki kama Mwenyekiti wa chama.

Katika hiyo mivutano, kundi la Tundu Lissu limekuwa likibeza jitihada ya Mwenyekiti wao kufikia mwafaka na CCM kwa kudai CCM hawana dhamira ya kweli ya kuwatendea haki wapigakura wa nchi hii.

Pia, Tundu Lissu na kundi lake hawana imani na wajumbe wa hiyo kamati ya mwafaka wakihoji walivyopatikana na wana mwakilisha nani.

Mbowe na wenzake ambao wengi wao ni wachaga wanaona mwafaka na CCM utasaidia kuleta katiba mpya ambayo inabeba matarajio ya wengi ya kufanyika uchaguzi wa huru na haki ukisimamiwa na Tume huru.

Ni dhahiri kwa sasa wamepata gundi ya kufukia hizi tofauti lakini swala tata la bandari haliwezi kuendelea bila ukomo. Tunatarajia mwafaka wa utata na kizungumkuti wa bandari umiliki, uendeshaji wake na mgawanyo wa mapato utapata ufumbuzi kabla ya mwisho wa mwakani na baada ya hapo Chadema itabidi ivalie njuga migawanyiko tajwa kwenye chama chao.
 
Hapa ndio Intel yetu ndio mnaona task kubwa kwa manufaa ya watawala. Conflict za vyama za kutengeneza au natural, hazisaidii nchi kama una upinzani dhaifu lazma itoe kiongozi wa ccm dhaifu.

Intel ihame huko kwny kuona vyma ni uhaini, ijikite kwny rasilimali za nchi, mipaka ya nchi, revenue as nchi, matumizi mabaya ya fedha za nchi, maslahi ya watanzania yanayo dhulumiwa na wageni, kuondoa urasimu kwny uwekezaji nchini kuanzia mtazania hadi mgeni.
 
NASHAURI CHADEMA IMFUKUZE LISSU ATAISAMBARATISHA NA KUWA VIPANDE VIPANDE,KWANI NASUBUTU KUSEMA HAELEWEKI KIFIKRA NA KIMTAZAMO,HATA ACT WAKIMPOKEA ITAKUWA NI TATIZO KWAO, (MNENAJI SI MTENDAJI)WAHENGA WALISEMA,PIA MMEONA DHAHRI JINSI ALIVYO HANA SHUKURANI,WHAT TYPE OF HUMAN.
 
Yapo makundi mawili ndani ya Chadema kundi moja laongozwa na Tundu Lissu na la pili liko chini ya Aikael Mbowe.

Ugomvi wa haya makundi mawili ni nani awe mpeperusha bendera ya Urais ujao yaani 2025.

Kundi la Tundu Lissu linaamini mgombea wao ndiye mwenye mvuto na wanaamini alishinda uchaguzi wa 2020 wakati kundi la Mbowe lina mtazamo tofauti na huo wao wanaona ni zamu ya Mwenyekiti wa chama apewe fursa stahiki kama Mwenyekiti wa chama.

Katika hiyo mivutano, kundi la Tundu Lissu limekuwa likibeza jitihada ya Mwenyekiti wao kufikia mwafaka na CCM kwa kudai CCM hawana dhamira ya kweli ya kuwatendea haki wapigakura wa nchi hii.

Pia, Tundu Lissu na kundi lake hawana imani na wajumbe wa hiyo kamati ya mwafaka wakihoji walivyopatikana na wana mwakilisha nani.

Mbowe na wenzake ambao wengi wao ni wachaga wanaona mwafaka na CCM utasaidia kuleta katiba mpya ambayo inabeba matarajio ya wengi ya kufanyika uchaguzi wa huru na haki ukisimamiwa na Tume huru.

Ni dhahiri kwa sasa wamepata gundi ya kufukia hizi tofauti lakini swala tata la bandari haliwezi kuendelea bila ukomo. Tunatarajia mwafaka wa utata na kizungumkuti wa bandari umiliki, uendeshaji wake na mgawanyo wa mapato utapata ufumbuzi kabla ya mwisho wa mwakani na baada ya hapo Chadema itabidi ivalie njuga migawanyiko tajwa kwenye chama chao.
Bandari ndio issue ya msingi
 
Subiri kwanza tuulizane, umeshasoma +255 inavyoandikwa kwenye mabango ya mikutano ya Chadema?
Mi naona kama imeandikwa +ZSS, hizo SS najua, Z inanipa mashaka lakini + inanipa mashaka zaidi.

Unaonaje, kuna code au ni style tu ya uandishi?
 
Yapo makundi mawili ndani ya Chadema kundi moja laongozwa na Tundu Lissu na la pili liko chini ya Aikael Mbowe.

Ugomvi wa haya makundi mawili ni nani awe mpeperusha bendera ya Urais ujao yaani 2025.

Kundi la Tundu Lissu linaamini mgombea wao ndiye mwenye mvuto na wanaamini alishinda uchaguzi wa 2020 wakati kundi la Mbowe lina mtazamo tofauti na huo wao wanaona ni zamu ya Mwenyekiti wa chama apewe fursa stahiki kama Mwenyekiti wa chama.

Katika hiyo mivutano, kundi la Tundu Lissu limekuwa likibeza jitihada ya Mwenyekiti wao kufikia mwafaka na CCM kwa kudai CCM hawana dhamira ya kweli ya kuwatendea haki wapigakura wa nchi hii.

Pia, Tundu Lissu na kundi lake hawana imani na wajumbe wa hiyo kamati ya mwafaka wakihoji walivyopatikana na wana mwakilisha nani.

Mbowe na wenzake ambao wengi wao ni wachaga wanaona mwafaka na CCM utasaidia kuleta katiba mpya ambayo inabeba matarajio ya wengi ya kufanyika uchaguzi wa huru na haki ukisimamiwa na Tume huru.

Ni dhahiri kwa sasa wamepata gundi ya kufukia hizi tofauti lakini swala tata la bandari haliwezi kuendelea bila ukomo. Tunatarajia mwafaka wa utata na kizungumkuti wa bandari umiliki, uendeshaji wake na mgawanyo wa mapato utapata ufumbuzi kabla ya mwisho wa mwakani na baada ya hapo Chadema itabidi ivalie njuga migawanyiko tajwa kwenye chama chao.
Huyu kila mara huandika UGORO, Hana mada ya maana hata moja.
 
NASHAURI CHADEMA IMFUKUZE LISSU ATAISAMBARATISHA NA KUWA VIPANDE VIPANDE,KWANI NASUBUTU KUSEMA HAELEWEKI KIFIKRA NA KIMTAZAMO,HATA ACT WAKIMPOKEA ITAKUWA NI TATIZO KWAO, (MNENAJI SI MTENDAJI)WAHENGA WALISEMA,PIA MMEONA DHAHRI JINSI ALIVYO HANA SHUKURANI,WHAT TYPE OF HUMAN.
We ni matak kweli,shukrani ya nini?
Kama umezoea kulamba Makalio ya wakubwa ili ule usidhani Lissu anaweza
 
CHADEMA NI WA HOVYO SANA TENA HAWANA SHUKURANI,
°Rais amefungulia mikutano
°Rais aliwaita ili kutengeneza maridhiano safi
°Rais akawaita waliokuwa wakimbizi akawakaribisha na kuwahakikishia usalama
°Rais akaona sheria zetu katika jinai zina matatizo akaunda tume ili haya nayo yarekebishwe ili uonevu ukome
°Rais akaona suala la katiba ni muhimu ameliruhusu lianze kujadiliwa mwezi wa tisa (9)
#NI KICHAA PEKEE ASIYE NA SHUKURANI ANAWEZA KUONA RAIS HAJAFANYA LOLOTE,VYOTE VYA MSINGI NA HOJA ZA MUHIMU VINASHUGHULIKIWA,
KUNA DALILI UPINZANI UTAKOSA HOJA YA MSINGI YA KUWAELEZA WATANZANIA,HIVYO WAMEKAMATIA HOJA MFU YA BANDARI KAMA NGUZO YAO MUHIMU WALIYOIBAHATISHA.
 
Yapo makundi mawili ndani ya Chadema kundi moja laongozwa na Tundu Lissu na la pili liko chini ya Aikael Mbowe.

Ugomvi wa haya makundi mawili ni nani awe mpeperusha bendera ya Urais ujao yaani 2025.

Kundi la Tundu Lissu linaamini mgombea wao ndiye mwenye mvuto na wanaamini alishinda uchaguzi wa 2020 wakati kundi la Mbowe lina mtazamo tofauti na huo wao wanaona ni zamu ya Mwenyekiti wa chama apewe fursa stahiki kama Mwenyekiti wa chama.

Katika hiyo mivutano, kundi la Tundu Lissu limekuwa likibeza jitihada ya Mwenyekiti wao kufikia mwafaka na CCM kwa kudai CCM hawana dhamira ya kweli ya kuwatendea haki wapigakura wa nchi hii.

Pia, Tundu Lissu na kundi lake hawana imani na wajumbe wa hiyo kamati ya mwafaka wakihoji walivyopatikana na wana mwakilisha nani.

Mbowe na wenzake ambao wengi wao ni wachaga wanaona mwafaka na CCM utasaidia kuleta katiba mpya ambayo inabeba matarajio ya wengi ya kufanyika uchaguzi wa huru na haki ukisimamiwa na Tume huru.

Ni dhahiri kwa sasa wamepata gundi ya kufukia hizi tofauti lakini swala tata la bandari haliwezi kuendelea bila ukomo. Tunatarajia mwafaka wa utata na kizungumkuti wa bandari umiliki, uendeshaji wake na mgawanyo wa mapato utapata ufumbuzi kabla ya mwisho wa mwakani na baada ya hapo Chadema itabidi ivalie njuga migawanyiko tajwa kwenye chama chao.
Umeanza vizuri,

Ila umeharibu pale ulipotaja "mchaga"!!

Nani kakwambia Mbower mchaga?!!!
 
NASHAURI CHADEMA IMFUKUZE LISSU ATAISAMBARATISHA NA KUWA VIPANDE VIPANDE,KWANI NASUBUTU KUSEMA HAELEWEKI KIFIKRA NA KIMTAZAMO,HATA ACT WAKIMPOKEA ITAKUWA NI TATIZO KWAO, (MNENAJI SI MTENDAJI)WAHENGA WALISEMA,PIA MMEONA DHAHRI JINSI ALIVYO HANA SHUKURANI,WHAT TYPE OF HUMAN.
kwanza kuandika kwa herufi kubwa ni dalili ya ushoga.
 
IMG_20230802_154230_057.jpg
 
NASHAURI CHADEMA IMFUKUZE LISSU ATAISAMBARATISHA NA KUWA VIPANDE VIPANDE,KWANI NASUBUTU KUSEMA HAELEWEKI KIFIKRA NA KIMTAZAMO,HATA ACT WAKIMPOKEA ITAKUWA NI TATIZO KWAO, (MNENAJI SI MTENDAJI)WAHENGA WALISEMA,PIA MMEONA DHAHRI JINSI ALIVYO HANA SHUKURANI,WHAT TYPE OF HUMAN.
NASUBUTU
 
Back
Top Bottom