CHADEMA na Siku Maalum ya Dua, Sala na Shukrani nchi nzima

Lisu haamini kwenye maombi wala dua haamini kama Mungu alisikia maombi ya Kuiondoa Corona Tanzania

Kachelewa mpagani huyo kamdhalilisha Mungu halafu anaanza kujitia ana maombi mnafiki

Chadema hakushiriki maombi ya kuondoa janga LA corona mkaenda kujifungia ndani na mitambara midomoni wanafiki nyinyi badala ya kuombea kipindi kile mamilioni ya watanzania wasife kwa Corona mnahangaika kujiombea wagombea mpate kura hampati
 
Some pics are sending chilling msg to chama dola
Hizo sala zitaongozwa na nani na akina Bagonza na Mwamakula ambao hawaamini kuwa Mungu alijibu maombi ya Corona kuondoka Tanzania?

Lisu mwenyewe haamini kwenye maombi kujibiwa na Mungu na alimpinga Mungu waziwazi kuwa hakuondoa Corona Tanzania

Lisu ni kiongozi wa upinzani anayempinga hadi Mungu mwenyewe

Hizo sala ni kebehi kwa Mungu na zitawapunguzia sana kura sababu MNA mjoke Mungu
 
Lisu haamini kwenye maombi wala dua haamini kama Mungu alisikia maombi ya Kuiondoa Corona Tanzania

Kachelewa mpagani huyo kamdhalilisha Mungu halafu anaanza kujitia ana maombi mnafiki

Chadema hakushiriki maombi ya kuondoa janga LA corona mkaenda kujifungia ndani na mitambara midomoni wanafiki nyinyi badala ya kuombea kipindi kile mamilioni ya watanzania wasife kwa Corona mnahangaika kujiombea wagombea mpate kura hampati
Kuwa na akili. Corona haikuondoka kwa maombi. WaTz walikufa na kuugua kama Waafrika wengine. Tofauti na Waafrika wengine, WaTz walipuuzia kupima. Hivyo, hakuna takwimu sahihi. Huku ni kufeli kwa dola. Kupungua kwa maangamizi ya Corona ni sababu za kijiografia kwa Afrika.
 
Lisu haamini kwenye maombi wala dua haamini kama Mungu alisikia maombi ya Kuiondoa Corona Tanzania

Kachelewa mpagani huyo kamdhalilisha Mungu halafu anaanza kujitia ana maombi mnafiki

Chadema hakushiriki maombi ya kuondoa janga LA corona mkaenda kujifungia ndani na mitambara midomoni wanafiki nyinyi badala ya kuombea kipindi kile mamilioni ya watanzania wasife kwa Corona mnahangaika kujiombea wagombea mpate kura hampati
Wewe mapuuza kweli nani kakwambia corona imeondoka Tanzania...weka ithibati hapa
 
Hizo sala zitaongozwa na nani na akina Bagonza na Mwamakula ambao hawaamini kuwa Mungu alijibu maombi ya Corona kuondoka Tanzania?

Lisu mwenyewe haamini kwenye maombi kujibiwa na Mungu na alimpinga Mungu waziwazi kuwa hakuondoa Corona Tanzania

Lisu ni kiongozi wa upinzani anayempinga hadi Mungu mwenyewe

Hizo sala ni kebehi kwa Mungu na zitawapunguzia sana kura sababu MNA mjoke Mungu
Usiwe kiazi mbatata kiasi hiki...kama korona iliondoka kwa maombi ninini kimeshindikana kwenye magonjwa mengine?!?
 
Baada ya hapo wote hawa msiokuwa na vyama mjitokeza kwenda kuandika historia Mpya 2020

Tundu Lissu atoa wito akiwa katika kampeni za TunduLissu2020 Rais na CHADEMA2020 Ubunge na udiwani :

25October 2020
Singida, Tanzania

Wananchi wa Vyama Vyote Mpigie Kura CHADEMA 2020 - Tundu Lissu
Tundu Lissu awakumbusha waTanzania wote waende kukipigia kura chama cha CHADEMA naye mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Josephine Msweti azungumza

Source : ITV Tanzania
 
... Danny Faure aliyeshindwa alizaliwa Uganda na kuhamia Seychelles akiwa mdogo . Licha ya yeye kuiletea Seychelles maendeleo lakini Wananch wameona apumzike na wamemshukuru...
IMG-20201026-WA0004.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom