CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.

Mkuu Hamida sheria hazitolewi kichwani bali ni vitabuni. Hata mahakamani vitabuni vya sheria lazima viwepo ili ionekane ni sheria ipi unaitumia kattika hoja husika.
 
Kweli nimetambua kuwa ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Le Muntus una kichwa kikuubwa kumbe ndani ni nazi tu. Tena mbata kabisa. Unalinganisha ujio wa Lowasa na Duni Chadema unalinganisha na kamchezo ka kitoto ka Tuli na CCM yake?
Katiba mbona ccm mnaifanyia mabaya hivi? Katiba hii imewakosea nini?? Huyo Dr wako unayesema anajibu vifungu bila kuangalia, hakuona kifungu kilichomnyima kuwa m-ccm na wakati huo huo akiwa AAG? Let's call a spade a spade and not a big spoon pls.
CCM mmekosea kama mlivyokosea la Zanzibar. One day it will cost yu
 
Semantic na syntacs
Huwaga vinanisaidia sana
Kabla ya kupost chochote
Kimsing huyu dr wetu hata weza kuliendesha bunge kwa weledi kama tunavodhani
Msubili mtaona maana ndugai mzee wa kupanic wamekuja huyu msomi mwanasiasa naona ana wepesi sana wa kupambanua mambo kibusara wengi wetu tumepita maisha ya chuo tuna jua matecture walivo na loho mbaya naa kuclemisha yale ma vifungu si tatitizo tatizo ni utashi wake wa kuamua mambo kwa misingi ya kitaifa.

Wewe ulitakuwa ugongwe supp za kutosha au disco kabisa.
Angalia post yako ilivyokosewa kosewa. Inatia aibu huo usomi wako unaojidai unao.
Dr. Tulia kakufanyia roho mbaya gani?
We hata ukifeli utasema "tecture" kakuonea (yaani hata lecturer limekushinda) nawe wajidai JF ni msomi wa chuo kikuu wa kuchulia PhD ya Tulia.
 
unapotosha umma! Dr Tulia alichukua fomu ya spika wa bunge akiwa kaimu mwanasheria mkuu wa serikali., na inatakiwa kwa nafasi aliyokuwa nayo asifungamane na itikadi ya chama chochote.Ilihali nafasi ya spika lazima upitie chini ya mwavuli wa chama. Sasa inamaana huyu alikuwa chini ya ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali ilihali ni kada active wa ccm. Hiyo ndiyo ilikuwa hoja ya wapinzani. Ila ya lowassa na duni mbona hapo hamna uhusiano na hilo la dr tulia.
uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo na hii inasababishwa na muda mwingi kushinda kwenye mitandao ya kijamii na kuacha kusoma katiba ya nchi pamoja na vitabu vingi tofauti yofauti.
Nashindwa kuelewa hivi ukiwa mshabiki wa chama fulani kila wanachofanya wapinzani wako ni sumu?

Ukiona muuliza swali hataki kusikia jibu la swali ujue anaogopa kuadhirika akionekana ameuliza swali la kijinga
 
Niliwahi sema pindi nikiwa follower wako IG. Narudia tena..uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo kulinganisha na unavyojidai analyst.. Nasikitika nimekukuta huku tena...naona kabisa ulielewa muundo wa swali hukuelewa kabisa maudhui ya swali..japo alikatizwa..kwa jinsi alivyoanza kujibu ilionesha ameelewa maudhui yake..tofauti kabisa na scenario unazoleta wewe
 
Napinga kabisa kuamini kwamba we jamaa umesoma shule yoyote , mwili jumba lakini kumbe hamna kitu !

Eryth,kwa hiyo siku hizi EDO ,amekuwa msafii kiasi hicho kwenye ule ule uzi ulivyomponda sasa gafla kinyesi kinakuwa halua ,
 
Kumfananisha Lissu na Dr Tulia ni kutukana taaluma nzima ya sheria. Lissu ni kilaza tu ambae hata Masters hana...ana GPA ya 2.9....Dr Tulia amehitimu chuo na GPA ya 4.6. Hii ndio first class kama umewahi kusikia. Wakati Dr Tulia ni mbobezi wa mambo ya sheria kwa kuwa ana PhD. Huyo Lissu ana kadegree kamoja tu....alikuwa hapati dili za sheria ndio maana kakimbilia siasa huko UKAWA. Wakati Dr Tulia amepiga dili nyingi na kesi rukuki zikiwemo za serikali na ameshinda kesi nyingi sana. Ya mwisho ni ile aliyomgaragaza Kibatala kuhusu mita 200.

Asanteeee,duhhh aisee kumbe ukiwa muongeaji saana unaweza kuogopwa.Wengine ndio tunayajua haya
Duhh,inamaama hata Halim Mdee anamzidi Lisu Elim?
 
Kaka, kwenye mambo yanayohitaji uelewa uwe unakaa mbali. Unajidhalilisha na kujianika kama mwenye umri mkubwa lakini akili ndogo. Pale, paliulizwa suala la mgongano wa kimaslahi kwa maana ya kuwa mtumishi wa serikali kwa ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu hakutarajiwa kujihusisha na siasa kwakuwa alikuwa mtumishi wa wote.

Isipokuwa mawaziri wastaafu, mawaziri wakuu wastaafu, viongozi na watendaji wa taasisi mbalimbali za serikali ndio wanaruhusiwa. Nadhani hapa kuna mgogoro wa kikatiba.

Kwamba ni wakati gani mtumishi wa umma anatimiza haki yake ya kuwa mchaguliwa kwenye siasa? Ni katika mazingira gani watumishi wa umma nao watashiriki kupigiwa kura kama watanzania wengine.

Nasema hivyo kwa vile suala hili laweza onekana dogo au la upendeleo kumbe tatizo ni katiba yenyewe, inayowataka watumishi wapige kura lakini wasipigiwe, ingawa pia inasema KILA MTU ANA HAKI YA KUCHAGUA NA KUCHAGULIWA!!

Tena sehemu kubwa ya wanasiasa hasa wabunge na madiwani wamewahi kuwa watumishi wa umma. Labda kama mawaziri ni watumishi wa magogoni na si watumishi wa umma.
 
Lissu ni mwanasheria wa mazingira.unakumbuka ile kesi waliozusha watu wamefukiwa mgodini yeye na Nshala ilibidi wajifiche nikastukia kaibukia ubunge,lissu mpiga kelele tu alitulizwa na msando kwenye kesi ya zitto dhidi ya chadema

Yule alieshika kesi ya Zitto kaka ndio kiboko yao,maana yeye kesi hizo huwa anazipiga tu kama ananawa.
Ule mziki mwingine.
 
Le mutuz

Asante sana kutuamsha. Chdm viroba vinawasumbua. Juma duni hata hizo picha za kukabidhiwa kadi ya chadema hatukuziona. Nasikia karudi cuf.

Chadema chama cha kihuni
 
- Eti yalikuwa yanaimba Dr. Tulia kabebwa yanasahau yalivyobeba mahawara yao kwenye viti maalum hahahahahahahahaha

le Mutuz

Hahahah,aisee kuna mmoja alibwatuka na kusmea mbona nyie mmeletwa na mabwana zenuu.
Na Viti hivyo ndio zao,maana ndio wenye zogo.
Halafu ukitaka kujua kwamba ni wanafik,hakuna hata Kiti Maalum cha Chadema kwa Zanzibar.Wakati kuna Office pia huku na pia nchi.
Wamempoteza Mbatia,sasa hivi wamebakia ni wazee wa kuzomea tuu.
Mwisho wa siku wananchi huuliza tumewatuma kuzomea au tunataka maendeleo,wamuulize kafulila wananchi wake walivyomhukum
 
Ni sheria gani inamzuia kugombea uspika? Nadhani hilo ndiyo la msingi.

Upuuzi wa Bungeni kwamba alijiunga muda gani CCM hauna maana yoyote. Ndiyo hoja ya Le Mutz kwamba unahitaji muda gani kujiunga na chama cha siasa kwa kuangalia mfano wa Lowassa na Haji Duni?

Mkuu wao hawalioni hilo,yaani full utoto.

Mwisho wa siku washindi wamepita,Bunge linaendelea.

We ukitaka kujua kama ni MAWE wale jamaa,eti hata waziri mkuu mteule wamempigia kura ya Hapana.
Halafu Wakati wanahojiwa nje kwenye vyombo vya Habari Live wamemsifia saaaana.
Nilicheka mpaka basi,yaani hata mtoto mdogo anaona kwamba wapinzani pale wapo kwa issue zao binafsi na sio kwa manufaa ya watanzania.

Na ndio maana Warioba katika kipindi cha dk 45 alisema kwamba Hajaona upinzania uliojipanga kwa ajili ya kuondoa CCM.
 
Unazungumzia sheria hii iloyompa fursa Jaji mkuu mstaafu Mchungaji Ramadhani kuchukua form ya urais ccm?

A saving and retired Chief Justice?
Nipigie sheria lakini at least wanajeshi wamekatazwa.
Kisheria inaweza kuwa na maana kwamba wale ambao hawajatajwa ni ruksa.
Kisheria na kimaadili vitu viwili tofauti.
 
Back
Top Bottom