CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation

Wewe hauoni tofauti iliyopo kweli!!!,Kama haujaiona tofauti basi unatatizo kubwa sana la KIUFAHAMU.LOWASA na Duni Haji hawakuwa watumishi wa serikali wa nafasi zinazokatazwa kujihusisha na siasa.Huyu TULIA alikuwa ni naibu Mwanasheria MKUU wa serikali hadi siku anagombea usipika.
 
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation

Kumbe unajua siku na muda wa EDO na DUNI kuingia CHADEMA, So na wewe jibu muda alioingia Dr.Viti maalumu CCM povu la nini?
 
kaka Petro na wewe unajitoa ufahamu sehemu moja, CHADEMA hawana haki ya kumnyooshea kidole Tulia, sheria hiyo haikabi ccm pekee, wanasahau kuwa kuna shutuma kuwa walikuwa wanafanya kazi na mkurugenzi mkuu mstaafu wa usalama wa taifa, huyu kwa nafasi yake hapaswi kuwa kada na strategist wa chama fulani wakati wowote wa maisha yake. walipaswa kumkataa yule kwanza kabla ya kudeal na Tulia.

Mkurugenzi Mstaafu hakuwa mwanachama wa chama chochote ndani ya UKAWA yeye alikuwa anamuunga mkono EDDO. Kama una ushahidi wa kadi yake tuwekee humu jamvini
 
Mzee wa le mabebez, le mburura, le mtu kubwa akili kisoda😜😜😜
 
kaka Petro na wewe unajitoa ufahamu sehemu moja, CHADEMA hawana haki ya kumnyooshea kidole Tulia, sheria hiyo haikabi ccm pekee, wanasahau kuwa kuna shutuma kuwa walikuwa wanafanya kazi na mkurugenzi mkuu mstaafu wa usalama wa taifa, huyu kwa nafasi yake hapaswi kuwa kada na strategist wa chama fulani wakati wowote wa maisha yake. walipaswa kumkataa yule kwanza kabla ya kudeal na Tulia.

Hizi sasa ni hadithi tu! huyo mwanausalama amezuliwa na nani maisha yake yote? Unamuita ni mstaafu halafu unasema kazuiliwa, na nani? Rais mstaafu anashiriki siasa kama kawaida halafu we unasema afisa usalama mstaafu hapana!
 
mahakama ni zao hata ukienda mahakamani unasumbua muda wako, hakuna lolote utakalotegemea, labda uniambie niende kwa mahakama ya kimataifa na sio ya arusha, lakini kwa humu humu, katu haki hakuna, niambie kuna sheria gani zinazosema gari za serikali ziendeshwe bila plate number, sasa za kwao tunaziona zinaranda mitaani bila plate number kisa gari za serikali, mfano bila kwenda mbali ukatafuta ni gari zipi, ni zile zilizoletwa kipindi cha uchaguzi, nilikuwa mwanza, tabora, na zanzibar, naziona zile land cruiser pick up zinachapa mbuga bila plate number, sasa utasema sheria inawabana, sheria inatubana sisi sio wao, wanalofanya wao ni sawa, wakifanya ambao wapo mlengo wa kushoto ni kosa, funguka

Lakini Mahakama hizo hizo za kwao ndio zimempa ushindi Msigwa jana kwa kufuta kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na Mwakalebela!!!
 
Mods wako fasta! Wameshamwekea RIP kwenye ID yake mapema kabisa.
 
Back
Top Bottom