Usichokijua kuhusu mtoa mada ni kwamba
Ana umri mkubwa kuliko mama yake.....!!
Hahahahaha matani ya kwel ss
Usichokijua kuhusu mtoa mada ni kwamba
Ana umri mkubwa kuliko mama yake.....!!
Kubwa Jinga. ..ndomana unaitwaga hivyo. ..
Kumfananisha Lissu na Dr Tulia ni kutukana taaluma nzima ya sheria. Lissu ni kilaza tu ambae hata Masters hana...ana GPA ya 2.9....Dr Tulia amehitimu chuo na GPA ya 4.6. Hii ndio first class kama umewahi kusikia. Wakati Dr Tulia ni mbobezi wa mambo ya sheria kwa kuwa ana PhD. Huyo Lissu ana kadegree kamoja tu....alikuwa hapati dili za sheria ndio maana kakimbilia siasa huko UKAWA. Wakati Dr Tulia amepiga dili nyingi na kesi rukuki zikiwemo za serikali na ameshinda kesi nyingi sana. Ya mwisho ni ile aliyomgaragaza Kibatala kuhusu mita 200.
Ficha upumbavu wako kaka ungekuwa unajua siasa best wako Mosha angeshinda
- Dr. Tulia ni PhD wewe wachana naye kabisa huyo MWanasheria wako anashindwa mahakamani na Zitto tu itakuwa PhD, hahahahahaha Elimu za kuunga unga kusoma mtumzima Dr. Tulia ni kijana mdogo sana hahahaha
le Mutuz
Hiyo nliskia kwa maskio yngu hapo 777 jamaa wanakuita kubw jing. ..badilika- hahahahahaha Dogo janja hahahahahaha U know
le Mutuz
Kwi kwi kwi hujaeleweka hapo kwenye red una maana gani? au ulitaka kumaanisha ni Phd holder? unakuwa na kiherehere kama unapupuu uchochoroni
Hiyo nliskia kwa maskio yngu hapo 777 jamaa wanakuita kubw jing. ..badilika
Hapana kaka, sio kipimo kabisa.Viumbe wengine wa ajabu sana, hivi kweli umri ni kipimo cha hekima na busara?
Huu ni wimbo au? Leta hoja hapa na siyo vicheko- hahahahahahaha leo mtaongea lugha zote hahahahahahaha Mzee Makapa aliwajua siku nyingi sana hahahahaha mamburulazzzzzz
le Mutuz
- Dr. Tulia ni PhD wewe wachana naye kabisa huyo MWanasheria wako anashindwa mahakamani na Zitto tu itakuwa PhD, hahahahahaha Elimu za kuunga unga kusoma mtumzima Dr. Tulia ni kijana mdogo sana hahahaha
le Mutuz
Le Mutuz, jamaa wanaisoma namba kisawasawa ati!‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,
- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,
KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!
Le Mutuz Nation
Hili swala limeshangaza kila mtu UKAWA walikuwa hawataki aongee kabisaaaaa walitakiwa wampe nafasi kujibu maswali kwa ufasaha kiukweli upinzani umetia aibu sana wanamuogopa sana Dr.Tulia.
Kubwa jinga hilo achana nalo..Kaka, kwenye mambo yanayohitaji uelewa uwe unakaa mbali. Unajidhalilisha na kujianika kama mwenye umri mkubwa lakini akili ndogo. Pale, paliulizwa suala la mgongano wa kimaslahi kwa maana ya kuwa mtumishi wa serikali kwa ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu hakutarajiwa kujihusisha na siasa kwakuwa alikuwa mtumishi wa wote.
Kumfananisha Lissu na Dr Tulia ni kutukana taaluma nzima ya sheria. Lissu ni kilaza tu ambae hata Masters hana...ana GPA ya 2.9....Dr Tulia amehitimu chuo na GPA ya 4.6. Hii ndio first class kama umewahi kusikia. Wakati Dr Tulia ni mbobezi wa mambo ya sheria kwa kuwa ana PhD. Huyo Lissu ana kadegree kamoja tu....alikuwa hapati dili za sheria ndio maana kakimbilia siasa huko UKAWA. Wakati Dr Tulia amepiga dili nyingi na kesi rukuki zikiwemo za serikali na ameshinda kesi nyingi sana. Ya mwisho ni ile aliyomgaragaza Kibatala kuhusu mita 200.
kwa unene wa LE MUTUZ sipati picha muda mfupi baada ya kutoka uwani hali hukuaje huko ndani kwa maana ya hewa (harufu)
Kubwa jinga hilo achana nalo..
Analeta topic ambayo anaweza akachangia yeye na baba yake tu.