CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

- Unanionea bure sikugombea Unaibu Spika bana hahahahahahha U know lakini ulimsoma Mkapa siku ile Jangwani au? hahahah

le Mutuz

Yaani inatia huruma kiukweli Tulia wenu hana uzoefu kabisa hata kuongea kwenyewe anatetereka ameongea kushukuru maneno anayasoma kwenye karatasi usitetee ujinga.
 
Shati lako linafunika vitz mifuko ya shati unaweza weka tv ya chogo

- sawa sawa hahahahaha now back to the ishu ninauliza hivi lini Duni alijiunga na Chadema na lini akawa mgombea mwenza please help me mengine nimekubali U know hahahahahahahaha

le Mutuz
 
Yaani inatia huruma kiukweli Tulia wenu hana uzoefu kabisa hata kuongea kwenyewe anatetereka ameongea kushukuru maneno anayasoma kwenye karatasi usitetee ujinga.

- Ok kwani matokeo ya kura yalikuwaje mimi sikuangalia nani kashinda huko kuwa Naibu Spika?

le Mutuz
 
Semantic na syntacs
Huwaga vinanisaidia sana
Kabla ya kupost chochote
Kimsing huyu dr wetu hata weza kuliendesha bunge kwa weledi kama tunavodhani
Msubili mtaona maana ndugai mzee wa kupanic wamekuja huyu msomi mwanasiasa naona ana wepesi sana wa kupambanua mambo kibusara wengi wetu tumepita maisha ya chuo tuna jua matecture walivo na loho mbaya naa kuclemisha yale ma vifungu si tatitizo tatizo ni utashi wake wa kuamua mambo kwa misingi ya kitaifa.
 
Mhh huyu bora Mungu angetubadilishia akamrudisha Filikunjombe akachukua hili dubwashina linalofikiria kwa kutumia mbunge aliyekatwa ubungo.
 
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation

Ndugu yangu wakati mwingine,tumia akili kidogo.Huyu dada ni mwanasheria wa Serikali,na haruhusiwi kuwa na mrengo wa kisiasa,mpaka aache hiyo nafasi.Tunachouliza,kama alikuwa mwanasiasa,wakati bado ni mtumishi wa umma,je,aliweza kutenda haki kwa watu wa vyama vingine?.Je,na kama mwanasheria,hatambui kwamba alovunja sheria na katiba ya nchi?!
 
Kaka, kwenye mambo yanayohitaji uelewa uwe unakaa mbali. Unajidhalilisha na kujianika kama mwenye umri mkubwa lakini akili ndogo. Pale, paliulizwa suala la mgongano wa kimaslahi kwa maana ya kuwa mtumishi wa serikali kwa ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu hakutarajiwa kujihusisha na siasa kwakuwa alikuwa mtumishi wa wote.

halina akili ilo litakuwa na mtindio wa ubongo yani linaandika kitu kwa kujiamini lilizani linapatiia.yani mifisiem!!tukaipime akili tu
 
hahahahahahha genous umekuja kujadili thread ya kipuuuzi? mweh! hahahahahahah eti by the way lets be serious Lowassa aliingia lini Chadema na lini akawa Mgombea urais tuwe serious kidogo tu hahahahahahahahha

le Mutuz

WAZEE WENZAKO TUKIONA UNAPOTOKA LAZIMA TUKUKEMEE...
.
.
.
.Lowassa aliku na haki kuhama hata kama sekunde moja...MAANA JUKWAA ALILOTUMIA NI LA KISIASA...
-HUYU TULIA yeye alikuwa jukwaa la la UTUMISHI WA UMMA akachepukia JUKWAA KA SIASA CHINI YA C.C.M ...jambo ambalo ni hatari na halina afya kwa mustakabali wa KATIBA YETU....!
 
Ndugu yangu wakati mwingine,tumia akili kidogo.Huyu dada ni mwanasheria wa Serikali,na haruhusiwi kuwa na mrengo wa kisiasa,mpaka aache hiyo nafasi.Tunachouliza,kama alikuwa mwanasiasa,wakati bado ni mtumishi wa umma,je,aliweza kutenda haki kwa watu wa vyama vingine?.Je,na kama mwanasheria,hatambui kwamba alovunja sheria na katiba ya nchi?!

- Jamani mbona mnakuwa wagumu hivi ninauliza Lowassa aliingia lini Chadema na lini aliteuliwa kuwa mgombea urais?

le Mutuz
 
WAZEE WENZAKO TUKIONA UNAPOTOKA LAZIMA TUKUKEMEE...
.
.
.
.Lowassa aliku na haki kuhama hata kama sekunde moja...MAANA JUKWAA ALILOTUMIA NI LA KISIASA...
-HUYU TULIA yeye alikuwa jukwaa la la UTUMISHI WA UMMA akachepukia JUKWAA KA SIASA CHINI YA C.C.M ...jambo ambalo ni hatari na halina afya kwa mustakabali wa KATIBA YETU....!

- Eti alivunja Sheria gani ya jamhuri mkuu?

le Mutuz
 
Hapo ni dhahir kwamba Naibu wa sipka alikuwa na kesi ya kujibu, lakini kwa nchi zetu hizi, hapo wameshafunika kombe! mwanaharam kasha pita!
 
Huyo Lissu angekuwa na huo uwezo taifa lingemjua. Amemaliza sheria mwaka 1998...ila amekuja kujulikana mwaka 2010. Wakati Dr Tulia kamaliza sheria UDSM mwaka 2007 na tayari taifa likamjua....kwanza alishinda kesi nyingi mahakamani....pili ni msomi wa PhD mwenye umri mdogo sana. Amepata PhD akiwa ana umri wa miaka 34 tu. Sasa nani umeona hapa bongo anashikilia shahada ya tatu akiwa na umri huo!? Hilo Lissu lenu mnalijua nyinyi huko UKAWA....ila ulimwengu wa mawakili na wanasheria hawamjui Lissu kwa lolote lile. Akikosa tu ubunge atarudi kukaa benchi...maana sheria hajui...hajawahi kushinda kesi mahakamani yeye kama yeye...mpaka asaidiwe na prof Safari. Sasa huyu si kilaza tu.
HEBU ACHA USHABIKI WE KIJANA...naomba nitajie kesi tatu tu ambazo unasema TUNDU LISSU alishindwa?
 
Kaka, kwenye mambo yanayohitaji uelewa uwe unakaa mbali. Unajidhalilisha na kujianika kama mwenye umri mkubwa lakini akili ndogo. Pale, paliulizwa suala la mgongano wa kimaslahi kwa maana ya kuwa mtumishi wa serikali kwa ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu hakutarajiwa kujihusisha na siasa kwakuwa alikuwa mtumishi wa wote.

Vipi Kuhusu Kubenea na Ally Swaleh kuingia kwenye Siasa wakiwa waandishi wa Habari?
 
Back
Top Bottom