kisanzala
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 489
- 306
Dah nimecheka sana sasa kazaliwaje na huyo mama yake ila kutokana na post yake yeny harufu ya mavi inaweza ikawa HVO mkuu
teh teh teh!sasa kama post yake inahalufu ya mav inamana ni kibaskeli huyu?
Dah nimecheka sana sasa kazaliwaje na huyo mama yake ila kutokana na post yake yeny harufu ya mavi inaweza ikawa HVO mkuu
- hahahahaha kwa hiyo ina maana siku ile Mzee Mkapa alikosea pale Jangwani?
le Mutuz
nilijua kuna maada nzuri humu, kwaheri
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,
- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,
KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!
Le Mutuz Nation
KWELI WEWE KATI YA WAJINGA BASI NAKUPA NAMBA mbili wakwanza awe MZEE W.J.malechel..
-KUBENEA NI MTUMISHI WA UMMA??
Nina amini ataburuzwa tu, subiri kidogo , labda job aongeze masaa ya tuitionCHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.
Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.
Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,
- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,
KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!
Le Mutuz Nation
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,
- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,
KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!
Le Mutuz Nation
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,
- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,
KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!
Le Mutuz Nation
Majibu ya DR. Tulia ni haya hapa!
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA YA MWAKA 1977
67-(2) Mtu hatakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa
kuwa Mbunge-
(g) ikiwa mtu huyo ameshika madaraka ya afisa
mwandamizi katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya
Muungano, isipokuwa madaraka ambayo Rais aweza
au anatakiwa kukabidhi kwa Mbunge kwa mujibu wa
Katiba hii au sheria iliyotungwa na Bunge;
72. Iwapo mtu yeyote mwenye madaraka katika utumishi wa
Serikali, madaraka ya aina iliyotajwa katika ibara ya 67(2)(g)
ataamua:-
(a) kuwa mgombea uchaguzi wa Rais au wa nafasi
nyingine yoyote chini ya Katiba hii;
(b) kugombea uongozi wa ngazi yoyote katika chama cha
siasa kinyume na masharti ya ajira,
mtu huyo atahesabiwa kuwa utumishi wake umekoma tangu
tarehe yake ya kuwa mgombea uchaguzi au ya kugombea
uongozi katika chama cha siasa.
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.
Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.
Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.
Umesema vema Le Mutuz amajiumbua huenda kweli wamehack a.c yake kwani anavyovilinganisha havifanani kabisa.unapotosha umma! Dr Tulia alichukua gomu ya spika wa bunge akiwa kaimu mwanasheria mkuu wa serikali., na inatakiwa kwa nafasi aliyokuwa nayo asifungamane na itikadi ya chama chochote. Hiyo ndiyo ilikuwa hoja ya wapinzani. Ila ya lowassa na duni mbona hapo hamna uhusiano na hilo la dr tulia.
uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo na hii inasababishwa na muda mwingi kushinda kwenye mitandao ya kijamii na kuacha kusoma katiba ya nchi pamoja na vitabu vingi tofauti yofauti.
Nashindwa kuelewa hivi ukiwa mshabiki wa chama fulani kila wanachofanya wapinzani wako ni sumu?