CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

Usichokijua kuhusu mtoa mada ni kwamba

Ana umri mkubwa kuliko mama yake.....!!

ha ha ha you made my day baada ya kuudhiwa na upigaji kura kwa misingi ya kiitikadi na sio reasoning
 
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.

Mbona jecha alifuta uchaguzi bila kusema ni kifungu gani katika katiba kiinampa mamlaka hayo.
Halafu huwezi kumfananisha lisu na doctor wenu, Tundu ni mwanasheria mbobezi, Tilia ni wajuzi tu. Mbona wakati wa escrow makinda alikuwa Anaomba msaada kwa kina lisu na akina mdee.
 
Kaka, kwenye mambo yanayohitaji uelewa uwe unakaa mbali. Unajidhalilisha na kujianika kama mwenye umri mkubwa lakini akili ndogo. Pale, paliulizwa suala la mgongano wa kimaslahi kwa maana ya kuwa mtumishi wa serikali kwa ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu hakutarajiwa kujihusisha na siasa kwakuwa alikuwa mtumishi wa wote.

Ila kwanini wakati anaanza kufafanua makundi ambayo hayapaswi kuwa sehemu ya serikali na wanachama wa siasa zikaanza kelele? Kwa nini wasimpe uhuru wa kujibu swali lake? Ili na sisi ambao hilo jambo lilikuwa linatutatiza tungepata jibu kwa ufafanuzi wa kisheria.
 
Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.
Heri usome ili uongee kitu cha uhakika kuliko ujidai kukariri halafu uchemke. Juzi juzi hapa bingwa wa kukariri kilomita za barabara alisema Saddam ni rais wa Kuwait
 
Usichokijua kuhusu mtoa mada ni kwamba

Ana umri mkubwa kuliko mama yake.....!!

Dah nimecheka sana sasa kazaliwaje na huyo mama yake ila kutokana na post yake yeny harufu ya mavi inaweza ikawa HVO mkuu
 
Mbona jecha alifuta uchaguzi bila kusema ni kifungu gani katika katiba kiinampa mamlaka hayo.
Halafu huwezi kumfananisha lisu na doctor wenu, Tundu ni mwanasheria mbobezi, Tilia ni wajuzi tu. Mbona wakati wa escrow makinda alikuwa Anaomba msaada kwa kina lisu na akina mdee.

- Dr. Tulia ni PhD wewe wachana naye kabisa huyo MWanasheria wako anashindwa mahakamani na Zitto tu itakuwa PhD, hahahahahaha Elimu za kuunga unga kusoma mtumzima Dr. Tulia ni kijana mdogo sana hahahaha

le Mutuz
 
Huyo mama kashindwa kujibu swali technical question ambalo majibu yote yangemfunga minyororo hata hivyo nimemkubali maana alicheza na kichwa chake hakujibu
 
Mbona jecha alifuta uchaguzi bila kusema ni kifungu gani katika katiba kiinampa mamlaka hayo.
Halafu huwezi kumfananisha lisu na doctor wenu, Tunduru ni mwanasheria mbobezi, Tilia ni wajuzi tu. Mbona wakati wa escrow makinda alikuwa Anaomba msaada kwa kina lisu na akina mdee.

Kumfananisha Lissu na Dr Tulia ni kutukana taaluma nzima ya sheria. Lissu ni kilaza tu ambae hata Masters hana...ana GPA ya 2.9....Dr Tulia amehitimu chuo na GPA ya 4.6. Hii ndio first class kama umewahi kusikia. Wakati Dr Tulia ni mbobezi wa mambo ya sheria kwa kuwa ana PhD. Huyo Lissu ana kadegree kamoja tu....alikuwa hapati dili za sheria ndio maana kakimbilia siasa huko UKAWA. Wakati Dr Tulia amepiga dili nyingi na kesi rukuki zikiwemo za serikali na ameshinda kesi nyingi sana. Ya mwisho ni ile aliyomgaragaza Kibatala kuhusu mita 200.
 
Kipimo dhahiri cha IQ au uwezo wa kufikiri wa le Mutuz utaipata kwa kuangalia contents za blogu yake (kama una muda) - picha zake akipata breakfast na mademu mahotelini; picha zake akipata msosi; picha za nusu uchi za mademu wa nigeria, kenya n.k.; Hakika kwa kada wa chama kinachojipambanua kuwa makini, na kwa kuipa jina blogu yake eti ya "wananchi" tungetegemea content yenye thamani bora zaidi.

Kwahiyo swali hoja zake nyingi kwa issues za wapinzani ni za kujikweza kwa wanaomlipa na siyo hoja mada zenye tija kwa maslahi ya wananchi walio wengi.
 
Wa kuona aibu ni UKAWA ambao wameshindwa chaguzi zote. Kuanzia urais hadi uspika. CCM tunapaswa kuona aibu au kushangilia? Maana tuna kiti cha uspika...tuna kiti cha naibu spika...na tuna rais. CCM mbele kwa mbele.

Ona jinga jingine hili tena, hata hajui kinachoongelewa hapa. Huyu na mleta mada ni dugu moja nini?
 
‪- Lowassa‬ aliingia Chadema saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# Chadema.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia Chadema Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo Chadema wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation

Una akili sana.
 
- Dr. Tulia ni PhD wewe wachana naye kabisa huyo MWanasheria wako anashindwa mahakamani na Zitto tu itakuwa PhD, hahahahahaha Elimu za kuunga unga kusoma mtumzima Dr. Tulia ni kijana mdogo sana hahahaha

le Mutuz

Hvi ukuwadi utaacha lini?
 
- Dr. Tulia ni PhD wewe wachana naye kabisa huyo MWanasheria wako anashindwa mahakamani na Zitto tu itakuwa PhD, hahahahahaha Elimu za kuunga unga kusoma mtumzima Dr. Tulia ni kijana mdogo sana hahahaha

le Mutuz

MBONA Phd hata kikwete anayo "!!
 
kwa unene wa LE MUTUZ sipati picha muda mfupi baada ya kutoka uwani hali hukuaje huko ndani kwa maana ya hewa (harufu)
 
Du kweli watanzania kipaumbele cha kwanza Elimu , pili Elimu na tatu Elimu ndio suluhishi maana hamna namna sasa , mtu mzima unauliza swali hata mtoto wangu wa 4yrs hawezi liuliza? jamani eeee Mola tusaidie sisi wadanganyika
 
Back
Top Bottom