William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
- #101
huyu Dr tulia ni kiboko ya upinzani wote
- Yaani mtoto mdogo ana elimu kuliko ukiwachanganya wote huko Chadema hahahahahaha
le Mutuz
huyu Dr tulia ni kiboko ya upinzani wote
mbona nasikia huyo mleta mada ni mtu mzima sana?
Wewe utaendelea kuishi kwa upambe hadi lini? cha msingi siyo Chadema bali wananchi wameupata ukweli na huyo Dr Tuli ameaibika kwa kushindwa kujibu swali moja tu ambalo limejirudia mara mbili, Silinde kammaliza kabisa Tuli wako, ni aibu kubwa kwa ccm.
Na ndio ujijuwe wewe ccm ni kidampa tu zama za familia ya Malecela zimekwisha ndio maana pamoja na kujipendekeza kwako kote hata Udc waliohongwa hadi machangudoa wewe umetoswa, na wenzako kina Tuli wanazidi kupewa ulaji wanatolewa huku wanawekwa huku, wewe utaishia kuwa mkurugenzi wa blog tu. Loser.
Kaka, kwenye mambo yanayohitaji uelewa uwe unakaa mbali. Unajidhalilisha na kujianika kama mwenye umri mkubwa lakini akili ndogo. Pale, paliulizwa suala la mgongano wa kimaslahi kwa maana ya kuwa mtumishi wa serikali kwa ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu hakutarajiwa kujihusisha na siasa kwakuwa alikuwa mtumishi wa wote.
Mkewe alimkimbia kwa sababu hiyo na zingine nyiingi za mambo ya utoto utoto wakati ni jitu kuuubwa kabisa
Mbona jecha alifuta uchaguzi bila kusema ni kifungu gani katika katiba kiinampa mamlaka hayo.
Halafu huwezi kumfananisha lisu na doctor wenu, Tundu ni mwanasheria mbobezi, Tilia ni wajuzi tu. Mbona wakati wa escrow makinda alikuwa Anaomba msaada kwa kina lisu na akina mdee.
Hili swala limeshangaza kila mtu UKAWA walikuwa hawataki aongee kabisaaaaa walitakiwa wampe nafasi kujibu maswali kwa ufasaha kiukweli upinzani umetia aibu sana wanamuogopa sana Dr.Tulia.
mlikuwa mnayataka we na nani?huwezi kusimamia mtazamo wako mpaka wakuboost kidogo huko sehemu ndo ushtuke
Kaka, kwenye mambo yanayohitaji uelewa uwe unakaa mbali. Unajidhalilisha na kujianika kama mwenye umri mkubwa lakini akili ndogo. Pale, paliulizwa suala la mgongano wa kimaslahi kwa maana ya kuwa mtumishi wa serikali kwa ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu hakutarajiwa kujihusisha na siasa kwakuwa alikuwa mtumishi wa wote.
&[HASHTAG]#8234[/HASHTAG];- Lowassa&[HASHTAG]#8236[/HASHTAG]; aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu &[HASHTAG]#8234[/HASHTAG];#&[HASHTAG]#8206[/HASHTAG];Duni&[HASHTAG]#8236[/HASHTAG]; aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,
- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr &[HASHTAG]#8234[/HASHTAG];#&[HASHTAG]#8206[/HASHTAG];Tulia&[HASHTAG]#8236[/HASHTAG]; Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,
KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!
Le Mutuz Nation
unapotosha umma! Dr Tulia alichukua fomu ya spika wa bunge akiwa kaimu mwanasheria mkuu wa serikali., na inatakiwa kwa nafasi aliyokuwa nayo asifungamane na itikadi ya chama chochote.Ilihali nafasi ya spika lazima upitie chini ya mwavuli wa chama. Sasa inamaana huyu alikuwa chini ya ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali ilihali ni kada active wa ccm. Hiyo ndiyo ilikuwa hoja ya wapinzani. Ila ya lowassa na duni mbona hapo hamna uhusiano na hilo la dr tulia.
uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo na hii inasababishwa na muda mwingi kushinda kwenye mitandao ya kijamii na kuacha kusoma katiba ya nchi pamoja na vitabu vingi tofauti yofauti.
Nashindwa kuelewa hivi ukiwa mshabiki wa chama fulani kila wanachofanya wapinzani wako ni sumu?
Mkewe alimkimbia kwa sababu hiyo na zingine nyiingi za mambo ya utoto utoto wakati ni jitu kuuubwa kabisa
Lissu ni mwanasheria wa mazingira.unakumbuka ile kesi waliozusha watu wamefukiwa mgodini yeye na Nshala ilibidi wajifiche nikastukia kaibukia ubunge,lissu mpiga kelele tu alitulizwa na msando kwenye kesi ya zitto dhidi ya chadema
Naomba CV ya huyu jamaa kabla sijasema lolote!!&[HASHTAG]#63016[/HASHTAG];&[HASHTAG]#63016[/HASHTAG];&[HASHTAG]#63016[/HASHTAG];
- Eti yalikuwa yanaimba Dr. Tulia kabebwa yanasahau yalivyobeba mahawara yao kwenye viti maalum hahahahahahahahaha
le Mutuz