CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

sheria inataka mtu anapopitishwa na chama ndipo aachie ngazi ya ajira yake serikalini. dr Tulia atakuwa amejiuzulu alipopitishwa na chama chake kugombea. full stop.
 
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!


Le Mutuz Nation

Mkuu pole kwa kazi. Ila pole pia kwakutokutumia ubongo wako kuchanganua mambo. Hao wote ulowataja niwanasiasa na huyo dada alikua mwanasheria wa serikali. Kumbuka kuwa kunabaadhi ya taasis hazitakiwi kufungaman kisiasa. Ipo siku hata jeshi la wananchi mtatamani liwe la chama tawala. Kueni makin ktk mambo ya siasa na mambo ya taasis nyingin.
 
Hapo ni dhahir kwamba Naibu wa sipka alikuwa na kesi ya kujibu, lakini kwa nchi zetu hizi, hapo wameshafunika kombe! mwanaharam kasha pita!
 
hahahahahahha genous umekuja kujadili thread ya kipuuuzi? mweh! hahahahahahah eti by the way lets be serious Lowassa aliingia lini Chadema na lini akawa Mgombea urais tuwe serious kidogo tu hahahahahahahahha

le Mutuz
Ndo maana Lowasa asisitiza sana -
1-Elimu
2-Elimu
3-Elimu
kwa ajili ya kusaidie wenye upeo mdogo kama wewe.
 
ukishajua itakusaidia nini?wewe Mungu amekupa mwili mkubwa amekunyima akili .

- hahahahahaa unanivunja mbavu hivi Lowasa aliingia lini Chadema na lini akawa mgombea urais mbona swali rahisi sana au? hahahahahahah

le Mutuz
 
Ndo maana Lowasa asisitiza sana -
1-Elimu
2-Elimu
3-Elimu
kwa ajili ya kusaidie wenye upeo mdogo kama wewe.

- Now wait a minute alikuwa anamanisha Elimu kubwa ya Dr. Tulia kulinganisha na Elimu ndogo ya wagombea wengine leo au what? hahahahahahahhaha

le Mutuz
 
Hahaha eti le mutuz muandishi wa kitabu ameshindwa tunamsubiri huyo Naibu wako tumnyooshe safari hii atakimbia kiti mziki wa kubenea,mnyika na mdee tu unawatosha hapo sijataja lissu
 
Udini...uchama...ukabila ndio unaturudisha nyuma ....uchaguzi ushakwisha tuwe kitu kimoja tujenge inchi
 
Hahaha eti le mutuz muandishi wa kitabu ameshindwa tunamsubiri huyo Naibu wako tumnyooshe safari hii atakimbia kiti mziki wa kubenea,mnyika na mdee tu unawatosha hapo sijataja lissu

- mbona leo Dr. Tulia kapita tena kwa kura za kishindo au hawakuwepo hao uliowataja?

le Mutuz
 
AKILI NDOGO SIKU ZOTE HUWA MNA FANANISHA KIWANGO CHA DEGREE NA UWEZO WA MTU KUTAFSIRI SHERIA,
akili kubwa huwa tunampima mtu kwa hoja zake na uwezo wq kutafsiri sheria.

Huyo Lissu angekuwa na huo uwezo taifa lingemjua. Amemaliza sheria mwaka 1998...ila amekuja kujulikana mwaka 2010. Wakati Dr Tulia kamaliza sheria UDSM mwaka 2007 na tayari taifa likamjua....kwanza alishinda kesi nyingi mahakamani....pili ni msomi wa PhD mwenye umri mdogo sana. Amepata PhD akiwa ana umri wa miaka 34 tu. Sasa nani umeona hapa bongo anashikilia shahada ya tatu akiwa na umri huo!? Hilo Lissu lenu mnalijua nyinyi huko UKAWA....ila ulimwengu wa mawakili na wanasheria hawamjui Lissu kwa lolote lile. Akikosa tu ubunge atarudi kukaa benchi...maana sheria hajui...hajawahi kushinda kesi mahakamani yeye kama yeye...mpaka asaidiwe na prof Safari. Sasa huyu si kilaza tu.
 
- Owkey kwa mfano nimefungua thread in 1 hour tayari Page 9 na viewers 10,000 inasema nini kuhusu The King Of All Bongo Social Media Network? kuwa serious sicheki sasa U know

le Mutuz
Mtoto kuwa na bab kama wewe ni dhalilisho kubwa katika tasnia ya malezi....
 
Kaka, kwenye mambo yanayohitaji uelewa uwe unakaa mbali. Unajidhalilisha na kujianika kama mwenye umri mkubwa lakini akili ndogo. Pale, paliulizwa suala la mgongano wa kimaslahi kwa maana ya kuwa mtumishi wa serikali kwa ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu hakutarajiwa kujihusisha na siasa kwakuwa alikuwa mtumishi wa wote.
Kwa hiyo CHADEMA hawakujua kama uteuzi wake ulishatenguliwa? Mpaka anaapishwa kuwa mbunge walikuwa wapi? Au shida ni unaibu spika tu? Hovyo kabisa!!
 
Tayari alikuwa anasema ni watumishi gani wa umma wanazuiliwa kisheia kuwa wanachama wa vyama vya siasa wakiwemo wanajeshi. Yeye sharia haimbani hata kidogo.

Hayo mambo yamekaa kisheria zaidi na ndiyo maana Tundu Lisu yupo kimya maana anajua kisheria Tulia yupo sawa. Vinginevyo Lisu angewasha moto.

Unazungumzia sheria hii iloyompa fursa Jaji mkuu mstaafu Mchungaji Ramadhani kuchukua form ya urais ccm?
 
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!


Le Mutuz Nation

Shati lako linafunika vitz mifuko ya shati unaweza weka tv ya chogo
 
Mtoto kuwa na bab kama wewe ni dhalilisho kubwa katika tasnia ya malezi....

- saafi sana yaani wewe you make a lot of sense, now my question eti lini Lowasa aliingia Chadema na lini alipewa nafasi ya kugombea urais? mengine nimekubali sawa upo right nisaidie hili tu mkuu

le Mutuz
 
Back
Top Bottom