Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,204
- 5,070
huwezi kufananisha lissu na tulia wala masaju kamwe. zitto hakushinda kesi kamwe. alubwagwa ndo maana alijiuzulu ubunge...
Aaah msando next level lissu aielewa hilii
huwezi kufananisha lissu na tulia wala masaju kamwe. zitto hakushinda kesi kamwe. alubwagwa ndo maana alijiuzulu ubunge...
Akili za KB lazima ziwe boosted !!!! .... Dr. Tulia aliacha lini Utumishi wa Umma wenye zuio la kushiriki active politics kasha akachukua kadi ya CCM na Baadae kuteuliwa Mbunge then baada ya muda mfupi sana wakamchinja Zungu na kumteua kuwa Naibu Spika? .... Kesi ya Mita 200 alisimamia akiwa kada wa CCM au alikuwa anatimiza majukumu ya Serikali? ... Watanzania wa leo msiwaletee mbwembwe ... Wote tumeona Bunge jinsi ambavyo Tulia alivyochemka ile mbaya ... pengine huyu ni hovyo kuliko Masaju
Nenda kajipendekeze kwake basi! Piga naye picha kama kawaida yako
[TABLE="class: infobox vcard"]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Honourable
Tundu Lissu
MP[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Member of Parliament
for Singida East[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"] Incumbent
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Assumed office
November 2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Personal details[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Born[/TH]
[TD] 20 January 1968 (age 47)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Nationality[/TH]
[TD]Tanzanian[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Political party[/TH]
[TD]CHADEMA
NCCR?Mageuzi (???)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Alma mater[/TH]
[TD]University of Dar es Salaam
University of Warwick (LL.M[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
SOURCE:WEAKPEDIA
huyu Dr tulia ni kiboko ya upinzani wote
Ni sheria gani inamzuia kugombea uspika? Nadhani hilo ndiyo la msingi.
Upuuzi wa Bungeni kwamba alijiunga muda gani CCM hauna maana yoyote. Ndiyo hoja ya Le Mutz kwamba unahitaji muda gani kujiunga na chama cha siasa kwa kuangalia mfano wa Lowassa na Haji Duni?
Kaka, kwenye mambo yanayohitaji uelewa uwe unakaa mbali. Unajidhalilisha na kujianika kama mwenye umri mkubwa lakini akili ndogo. Pale, paliulizwa suala la mgongano wa kimaslahi kwa maana ya kuwa mtumishi wa serikali kwa ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu hakutarajiwa kujihusisha na siasa kwakuwa alikuwa mtumishi wa wote.
Hivi kwani 2020 atagombea jimbo naloenda kuliacha Dr aliyeikana thesis yake? maana hawa jamaa wa ukanda huu huwa hawafiki mbali kwenye mbio za kisiasa sababu wamejaa unafiki tu, tumewaona maprof wawili na Dr mmoja wameishia wapi
Napinga kabisa kuamini kwamba we jamaa umesoma shule yoyote , mwili jumba lakini kumbe hamna kitu !‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,
- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,
KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!
Le Mutuz Nation
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.
Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.
Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.
Alaafu nimesikia form four alipiga ZeroMimi ninachokijuwa kuhusu huyu zuzu ni classmate wa Mizengo Pinda.
Mbona hakujibu sasa
Tayari alikuwa anasema ni watumishi gani wa umma wanazuiliwa kisheia kuwa wanachama wa vyama vya siasa wakiwemo wanajeshi. Yeye sharia haimbani hata kidogo.
Hayo mambo yamekaa kisheria zaidi na ndiyo maana Tundu Lisu yupo kimya maana anajua kisheria Tulia yupo sawa. Vinginevyo Lisu angewasha moto.
BwahahahahhahahaaaaaaUsichokijua kuhusu mtoa mada ni kwamba
Ana umri mkubwa kuliko mama yake.....!!
Kwa iyo kitu gn ambacho hamjaiga mpaka ss?