Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,926
- 4,110
Matokeo ya kidato cha nne yaliyotolewa hivi karibuni yanaonyesha ufaulu kupanda sana. Hadi somo la hesabu nalo grafu yake imepanda sana.
Je, ndio tuseme mwaka huu watoto wamesoma sana na kuelewa vizuri?
Sina hakika na hilo, lakini nakukumbusha tu Mtanzania mwenzangu huu ni mwaka wa uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani 2025 ni uchaguzi mkuu. Watch out!
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app