Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Hata kama kusaka huruma ili mwenyekiti wa chama chenu aachiwe sio kwa namna hii sasa.
Ni kweli watuhumiwa wenzake na Mbowe walikuwa watumishi na makomando wa JWTZ, lakini kumbukumbu zinaonyesha walishaachishwa kazi. Karibu wote waliachishwa kazi baada ya kupata matatizo ya afya wao wanadai kitaalamu ni batlle confusion, na utovu wa nidhamu.
Kwa kuwa walikuwa makomandoo na watumishi wa JWTZ basi msitumie kigezo cha kutaka kuonyesha kuwa watumishi wa JWTZ inachafuliwa kwa makomandoo kushitakiwa pamoja na Mbowe. Na hii mnalitia chumvi ili muone kama JWTZ itaingilia uhuru wa mahakama ili Mbowe aachiwe.
My take; Pambaneni mahakamani ili haki ya Mbowe ipatikane.