CHADEMA msimamo wenu kwa mashoga ni upi?

Chadema haina muda wa kipuuzi kuungana na wapuuzi kujadili upuuzi....... Chadema ni taasisi kubwa na inadili na maswala ya msingi kwanza
 
Tuache unafiki msimamo wake CCM ni up mpaka Sasa tumeshaona wa serikali...

Kama chama tunasimama wapi?
 
Wadau upo mjadala unaoendelea nchini na Duniani kote kwa ujumla kuhusu tabia za Ushoga. Msimamo wa Serikali yetu inayoongozwa na CCM upo wazi kabisa - unapinga tabia hizi chafu kwa nguvu zote.
Napenda kujua msimamo wa CHADEMA kuhusu suala hili tete.
karibuni
 
Kwa kua. Chadema ni watu wa kupinga kila hoja,basi na hili watapinga
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?
. Hahahahaaaa hapo msimamo ni kupinga kila kitu kinachomhusu Mwananchi maana wanaendaga na upepo Kama Serikali ikiwemo yes wao wanenda kinyume chake na wakisema no wao ni yes
 
Kabla ya kuuliza chadema ingefaa zaidi kama swali hili ungeuliza kwanza ndani ya ukoo wako.
 
Chadema kwa sasa ndio chama kikuu cha Upinzani kwa maana nyingine ni chama tawala kijacho ambacho kitawajbika kwa Watanzania wote bila kujali tofauti zake, ili kuendelea wananchi kukifahamu zaidi kisera ni wakati muafaka wa kuueleza umma msimamo wake dhidi ya ushoga!

Nasema hivyo kutokana na tuhuma ambazo zimekuwa zikitolewa katika mitandao ya kijamii kwamba chama hicho kinaunga mkono ushoga na ndio maana baadhi ya viongozi,!wafuasi, wapenzi,! wanaharakati wa chadema kwa nyakati tofaoti wamekuwa wakiungana na EU kuishinikiza serikali iliyopo madarakani chini ya CCM kuhalalisha ushoga jambo ambalo limekuwa likipingwa na chama hicho kwa hoja kwamba linakiuka mila na desturi pamoja na maadili ya dini zetu yaani ukristo na Uislam.

Kama ambavyo Chadema imekuwa ikinasibu kuwa ni "serikali ijayo" shime shime tuelezeni msimamo wenu rasmi wa chama kama mnapingana na vitendo hivyo muungane na CCM katika kupinga uchoko wa EU!
 
Nasemaje hivyo kutokana na tuhuma ambazo zimekuwa zikitolewa katika mitandao ya kijamii kwamba chama hicho kinaunga mkono ushoga na ndio maana baadhi ya viongozi,!wafuasi, wapenzi,! wanaharakati wa chadema kwa nyakati tofaoti wamekuwa wakiungana na EU kuishinikiza serikali iliyopo madarakani chini ya CCM kuhalalisha ushoga jambo ambalo limekuwa likipingwa na chama hicho kwa hoja kwamba linakiuka mila na desturi pamoja na maadili ya dini zetu yaani ukristo na Uislam.

Chadema hawana muda wa kuongelea hilo lipeleke CCM wana kikao
 
Anza na cuf Kwanza
 
Mnakalia ushoga kama kichaka cha kuficha maovu yenu. Mbona maazimio mengine 14 hamyazungumzii? Mnatsfuta huruma kwa wananchi hamtaipata kwani nao wanaona jinsi nchi inavyoendeshwa kikatili
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Waambieni CCM wawe wanawaandikia vitu vya kuandika mtandaoni.....lini CHADEMA walishinikiza serikali ihalalishe ushoga? Au wapi EU wamesema Tanzania ihalalishe ushoga?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wapumbavu sana hawa MACCM.

Waambieni CCM wawe wanawaandikia vitu vya kuandika mtandaoni.....lini CHADEMA walishinikiza serikali ihalalishe ushoga? Au wapi EU wamesema Tanzania ihalalishe ushoga?
 
Chadema kwa sasa ndio chama kikuu cha Upinzani kwa maana nyingine ni chama tawala kijacho ambacho kitawajbika kwa Watanzania wote bila kujali tofauti zake, ili kuendelea wananchi kukifahamu zaidi kisera ni wakati muafaka wa kuueleza umma msimamo wake dhidi ya ushoga!

Nasema hivyo kutokana na tuhuma ambazo zimekuwa zikitolewa katika mitandao ya kijamii kwamba chama hicho kinaunga mkono ushoga na ndio maana baadhi ya viongozi,!wafuasi, wapenzi,! wanaharakati wa chadema kwa nyakati tofaoti wamekuwa wakiungana na EU kuishinikiza serikali iliyopo madarakani chini ya CCM kuhalalisha ushoga jambo ambalo limekuwa likipingwa na chama hicho kwa hoja kwamba linakiuka mila na desturi pamoja na maadili ya dini zetu yaani ukristo na Uislam.

Kama ambavyo Chadema imekuwa ikinasibu kuwa ni "serikali ijayo" shime shime tuelezeni msimamo wenu rasmi wa chama kama mnapingana na vitendo hivyo muungane na CCM katika kupinga uchoko wa EU!
Chadema haikuhusu wewe shetani,nenda Lumumba kawaulize msimamo wao kuhusu Tanzania kutengwa na international community, ukome kutukejeli.
 
CHADEMA ARE BIG MINDS,HAIWEZI KUFIKIRIA KUHUSU MASHOGA,HAYO NI MAMBO AKILI NDOGO CCM.CHADEMA INAFIKIRIA KUHUSU,UCHUMI WA WATU,DEMOCKRASIA YA WATU,ELIMU NA AFYA ZA WATU NK.
Kwa hiyo lissu ameshakuwa akili ndogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom