CHADEMA msimamo wenu kwa mashoga ni upi?

Ccm msimamo wenu kwa wasiojulikana ni upi?Paulo alifanya nini kwa mashoga Dar?Matokeo yake yamekuwaje?Serikali ilimjibu nini kuhusu mashoga? Kiongozi wa nchi aliyemaliza muda wake aliongea nini kuhusu mashoga?Muwe critical thinkers nyie mashabiki.
 
wakati wa Mo kutekwa waliitisha mkutano wa waandishi wa habari kupitia waziri kivuli wa mambo ya ndani ila hili wamekaa kimya marekani misimamo ya vyama kama republican na democratic inajulikana ila hili hawawezi kulitolea ufafanuzi watawaachia wapambe wao wakina fatma karume watoe msimamo
Hivi serikali ilimjibu nini Paulo juu ya mashoga ndani ya Dar?
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?
Binafsi siungi mkono ushoga usagaji as they are against the law of nature,
Lakini pia msimamo wa serikali kwanza haueleweki maana sijaisikia sheria inayotambua ni kosa zaidi ya misimamo mikavu ambayo muda wowote inaweza kubadilika.
Kwa yeyote anayejua afafanue hapa kwa faida ya wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm msimamo wenu kwa wasiojulikana ni upi?Paulo alifanya nini kwa mashoga Dar?Matokeo yake yamekuwaje?Serikali ilimjibu nini kuhusu mashoga? Kiongozi wa nchi aliyemaliza muda wake aliongea nini kuhusu mashoga?Muwe critical thinkers nyie mashabiki.
Ni lazima muige msimamo wa CCM?
 
Lissu amefikiria lini, ukiulizwa swali ukajibu maana yake umefikiria?

Mwambieni jiwe aende Hars talk tusikie majibu yake....hata mkipeleka mkalimani, itakua aibu duniani na mbinguni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nisiyejua kingereza nikienda hard talk sitakubali ushoga.
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?

Shoga kwa hoja yako ni yule anaetumia viungo kinyume na maumbile. CCM ni No 1 huo ndio msimamo wenu kimatendo. Mfano Bashite, wale jamaa wa UVCCM

1. Katiba iko wazi kwenye hili. CCM mnajitoa ufahamu kutoa tafsiri katiba kinyume na tafsiri sahihi. Ni Ushoga
2. Serikali kupitia Mahiga ilikanusha maagizo ya shoga Bashite. Huo ndio msimamo wa serikali. CCM mnalivalia kibwebwe kinyume na msimamo wa serikali. Huo ni ushoga.

CHADEMA kulingana na kauli ya Tundu Lisu wanaheshimu katiba
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?
Hebu tukumbushe kwanza, msimamo wa serikali ya CCM kuhusu ushoga ni upi?
 
CCM haijawahi kuwa na mtu anayejitembeza ughaibuni kuwatetea mashoga.Pia haijawahi kupeleka malalamiko kwa watetezi wa ushoga.
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?
mashoga ni watu na wanahitaji kulindwa na kuheshimiwa utu wao kama ibara ya 12 ya katiba yetu inavyosema hamtaki kabadilini katiba
 
Japo mnaweza mkawa mnawadharau CHADEMA labda kutokana na kuwa ni Chama tu cha Upinzani na kwa bahati mbaya kwa sasa kinapata ' misukosuko ' ya hapa na pale ya Kisiasa ila binafsi najua kuwa kama kuna Chama ambacho kina Watu ' very smart upstairs ' ambao pengine unaweza ukawahesabu na hata kuwapata wachache ndani ya Chama cha Mapinduzi ( CCM ) basi ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) Na sifa yao kubwa ni kwamba huwa ' hawakurupuki ' bali hulikabili jambo kwa Kutulia na kuweka umakini mkubwa. Nawapongeza sana kwa hilo japo Mimi ni Mtani wao wa Kisiasa na nakiri kwamba bila ' Uimara ' wa CHADEMA katika Siasa zake basi huenda leo hii tusingekuwa na CCM yetu hii inayojitahidi kuwa Imara baada ya kuwa katika Kipindi cha ' Makandokando ' yake mengi kwa miaka kadhaa iliyopita.
Ulivyowakilisha tu umeniridhisha kwamba mpo makini.
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?
wewe umeathirikaje kwa kutokujua msimamo wa chadema? decrea interest kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom