CHADEMA msimamo wenu kwa mashoga ni upi?

CHADEMA msimamo wenu kwa mashoga ni upi?

muangalie tundu lissu mahojiano yake dochovelle idhaa ya kiingereza utaujua tu.
 
Shoga kwa hoja yako ni yule anaetumia viungo kinyume na maumbile. CCM ni No 1 huo ndio msimamo wenu kimatendo. Mfano Bashite, wale jamaa wa UVCCM

1. Katiba iko wazi kwenye hili. CCM mnajitoa ufahamu kutoa tafsiri katiba kinyume na tafsiri sahihi. Ni Ushoga
2. Serikali kupitia Mahiga ilikanusha maagizo ya shoga Bashite. Huo ndio msimamo wa serikali. CCM mnalivalia kibwebwe kinyume na msimamo wa serikali. Huo ni ushoga.

CHADEMA kulingana na kauli ya Tundu Lisu wanaheshimu katiba
Serikali: Kampeni ya kupambana na Ushoga ya RC Makonda sio msimamo wa nchi - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom