CHADEMA msimamo wenu kwa mashoga ni upi?

CHADEMA msimamo wenu kwa mashoga ni upi?

Hilo zigo no lenu maana wakati mnalianzisha hamkutushirikisha.
Dah Leo Nimepigwa na Butwaa Mkuu kutokana na ile Barua kutoka Wizara ya Mambo ya Nje inaonyesha Hawa VISEBENGO wa LUMUMBA walishakubaliana na Suala La Ushoga na Wakaingia Mikataba Mbali Mbali Kimya Kimya Bila Ya Mjadala wa Kitaifa.

Je ni Mikataba Mingapi ya Kishetani hawa Mashetani Wameingia Bila Maamuzi ya Kitaifa Ya Wananchi Wote??

That is The True
Donna Kantre
 
Jiwe anasemaje kwani?
 
Wewe msimamo wako kwa watekaji pamoja na wanaowatuma ni upi?
 
Waziri wa mambo ya nje kasema ni msimamo wa Makonda na si msimamo wa Serikali ishu ya mashoga...
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?
Ushoga ni msimamo wa mtu binafsi kwani hauwezi kumlazimisha mtu kuwa au kutokuwa shoga, sasa na wewe nini msimamo wako, mkeo, wanao na wazazi wenu?
Tahadhari, usiwasemee mpaka mfanye kwanza kikao cha ukoo.
 
Kwa niaba ya chadema Dudubaya a.k.a KONK KONK KONK MASTER kasema msimamo wao
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?
kama serikali imesaini ushoga, cdm wafanye nini sasa?
 
Japo mnaweza mkawa mnawadharau CHADEMA labda kutokana na kuwa ni Chama tu cha Upinzani na kwa bahati mbaya kwa sasa kinapata ' misukosuko ' ya hapa na pale ya Kisiasa ila binafsi najua kuwa kama kuna Chama ambacho kina Watu ' very smart upstairs ' ambao pengine unaweza ukawahesabu na hata kuwapata wachache ndani ya Chama cha Mapinduzi ( CCM ) basi ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) Na sifa yao kubwa ni kwamba huwa ' hawakurupuki ' bali hulikabili jambo kwa Kutulia na kuweka umakini mkubwa. Nawapongeza sana kwa hilo japo Mimi ni Mtani wao wa Kisiasa na nakiri kwamba bila ' Uimara ' wa CHADEMA katika Siasa zake basi huenda leo hii tusingekuwa na CCM yetu hii inayojitahidi kuwa Imara baada ya kuwa katika Kipindi cha ' Makandokando ' yake mengi kwa miaka kadhaa iliyopita.
Ondoa uwongo wako hapa walahi
Chadema kutwa kukurupuka katika matukio, aaahh salaleeeh, vichwa uwiii!
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?
Chadema tunaamini kwamba binadamu wote ni sawa ila wengine ni sawa zaidi na kwamba pamoja na kwamba hatufurahii tabia ya wana CCM kubadili matumizi ya matundu ya choo kuwa matundu ya raha lakini tunaamini kwamba kwa kuwa hayo ni matundu yao basi wanawezza kuyatumia waonavyo bila kuathiri watu wengine kwa mafano kutupiamo picha zao wakati wakizibuliwa matundu yao,Kuahamasiha wengine watumie matundu yao ya choo kupena raha na tabia kama hizo ambazo pia ni kero kwa wengine.

Kwa ufupi msimamo wetu kama chadema ni kwamba HATUTATUMIA MATUNDU YA CHOO KUTAFUTATA RAHA NA UMAARUFU WA KISIASA KAMA MAKONDA,CCM NA SERIKALI YENU
 
Msimamo wa serikali ndio msimamo wa chadema
 
Mumelikoroga wenyewe kunyweni wenyewe shombo lenu mumebaki kulia lia kwenye nyumba za ibada.
 
Chadema tunaamini kwamba binadamu wote ni sawa ila wengine ni sawa zaidi na kwamba pamoja na kwamba hatufurahii tabia ya wana CCM kubadili matumizi ya matundu ya choo kuwa matundu ya raha lakini tunaamini kwamba kwa kuwa hayo ni matundu yao basi wanawezza kuyatumia waonavyo bila kuathiri watu wengine kwa mafano kutupiamo picha zao wakati wakizibuliwa matundu yao,Kuahamasiha wengine watumie matundu yao ya choo kupena raha na tabia kama hizo ambazo pia ni kero kwa wengine.

Kwa ufupi msimamo wetu kama chadema ni kwamba HATUTATUMIA MATUNDU YA CHOO KUTAFUTATA RAHA NA UMAARUFU WA KISIASA KAMA MAKONDA,CCM NA SERIKALI YENU
Hii thread ni yako sio?
Being Gay is Classy and Trendy? - JamiiForums
 
wakati wa Mo kutekwa waliitisha mkutano wa waandishi wa habari kupitia waziri kivuli wa mambo ya ndani ila hili wamekaa kimya marekani misimamo ya vyama kama republican na democratic inajulikana ila hili hawawezi kulitolea ufafanuzi watawaachia wapambe wao wakina fatma karume watoe msimamo
Mmeona vishoga vilivyopo Lumumba vyote vinafanana na hamufree chakubanga ndiyo mnatuonyesha mkataba wa kimataifa kwa huyo hapo inabidi tuwaitie she he awafungashe ndoa ya mkeka tu
 
serikali imesema.hizo ni juhudi binafsi za makonda sio serikali.na nyie ccm msimamo wenu ni upi?
 
Msimamo wa ufipa ni kutetea haki za hao watu wa kada maalum ... usitarajie mfipa kuunga mkono juhudi za rc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom