Hivi wewe mleta mada ulikuwa gereza gani ulipoachiwa muda huu? Mbona Kuna uzi kama huu tumejadili tangu asubuhi mpk tumechoka????
Mimi skuepoHivi wewe mleta mada ulikuwa gereza gani ulipoachiwa muda huu? Mbona Kuna uzi kama huu tumejadili tangu asubuhi mpk tumechoka?
Viti vya bure chadema hawavitaki, wanachama hawavitaki, kama mnajeuri rudieni uchaguzi, weka tume huru,alafu wagombea wote wasipige kampeni, muone kama hamgalagazwi kama Trump.Hahahaa watanzania siku zote wana mapenzi mema kwa kila mmoja wao. Ndio maana hatuchoki kushauriana kwa kila lililo jema
Hivihivi tuliwashauri muondoke nyuma ya keyboards muende field mkawe mawakala ili muone vile kura zenu hazitatosha mkagoma!! Matokeo yake mmerudi hapa kulia kwamba mmeibiwa kura
Pokeeni ushauri mzuri sana huu mugah di mathew mkiupuuzia mtakuja kujuta hapahapa kwamba hamna wa kuwawakilisha
Hahahaa watanzania siku zote wana mapenzi mema kwa kila mmoja wao. Ndio maana hatuchoki kushauriana kwa kila lililo jema
Hivihivi tuliwashauri muondoke nyuma ya keyboards muende field mkawe mawakala ili muone vile kura zenu hazitatosha mkagoma!! Matokeo yake mmerudi hapa kulia kwamba mmeibiwa kura
Pokeeni ushauri mzuri sana huu mugah di mathew mkiupuuzia mtakuja kujuta hapahapa kwamba hamna wa kuwawakilisha
Baada ya Maalim kususia uchaguzi 2015, wanachama walichangia chama kwa uwezo wao. Mbona aliweza kukiendesha chama kwa miaka mitano bila ruzuku ya serikali.
Mwaka huu vijana waliamua, masikini wengi walipoteza maisha katika kulinda kura.Tena wasingeiba na kutumia jeshi 2020, angewapiga kuliko mwaka mwingine wowote huko nyuma.
Wapenda mabadiliko wapo wengi. Ila wamegoma hata kuandamana😁😁Viti vya bure chadema hawavitaki, wanachama hawavitaki ,Kama mnajeuri rudieni uchaguzi ,weka tume huru,alafu wagombea wote wasipige kampeni, mhone Kama hamgalagazwi Kama trump,
KWA nini mnawalazimisha chadema vitu ambavyo hawataki ali Hali msimamo wa chama ulishatoka, wapeni vyama vingine sio lazima chadema, siku zote vyabule havina value, mnachosha Sana na viti mahalum ,chadema hawavitaki chama kitapata pesa ya kuendesha toka watanzania wapenda mabadiliko wapo wengi sana
Sawa ila msg ipo clear viti mahalum chadema na wanachama hawavitaki,Wapenda mabadiliko wapo wengi. Ila wamegoma hata kuandamana😁😁
Hili ni juu yao kwanza wenye haki hyo ni ACTSawa ila msg ipo clear viti mahalum chadema na wanachama hawavitaki,