Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Kidogo hukomboa nchi, kikubwa hufifisha harakati,
Ni kweli Kamanda!
Kidogo hukomboa nchi, kikubwa hufifisha harakati,
Wajinga ndio waliwao...
kwa MITANDAONI TU mlishashinda kata 27, mmeshinda KALENGA, na CHALINZE ila field!!! teh
nipo kamanda...msinisahau wajameniUpo Mkuu...usijali mapambano yanaendelea
Akamdanganya freelad siyo sisi SAA name pesa ya kula ni shida alafu unasema eti yeye na yeriko wametoa laki tano jamani jamani
Leo umoja wa Wanachadema wanaoendesha siasa zao kupitia mitandao ya kijamii wamekabidhi michango yao mbele ya Viongozi wakuu wa Chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari mwakilishi wa wanachadema hao Bwana Yericko Nyerere amesema, "Mara yakwanza zilipoanza kampeni za Kalenga walipenda kushiriki siasa za majukwaani moja kwa moja lakini walibuni njia mujarabu yakushiriki kikamilifu kwa kila mmoja kuchanga kiasi chochote alichonacho na kukileta kwenu viongozi ili kisaidie ushindi Kalenga na Chalinze. "Ninawashukuru makamanda kwakujitolea kuchanga kiasi cha laki tano ambazo leo nitazikabidhi hapa, niwahakikishie wanahabari kuwa Kalenga tutashinda, hilo halihitaji mjadala, sasa tunakwenda Chalinze, tutahakikisha tunalibeba jimbo hilo kwakuwa tumempata mgombea imara Kamanda Mathayo"
Nae Mh John Mrema ambe amepokea mchango huo kwa niaba ya Katibu Mkuu amepongeza juhudi za wanachama wanaohudumu siasa mitandaoni kwa kuwahimiza kupambana kukijenga chama na kukitetea bila kuchoka, Kundi la wanachadema mitandaoni kupitia M4C PAMOJA DAIMA ni mjumuiko wa makamanda wote wa Chadema.
cc
Ben Saanane, Mungi, Shark, Masanilo sweetlady 'Valentina' na wengine wengi.....
Reverse that
Unaliwa utu wako
Unaliwa akili yako
Sijui unaliwa na nini kingine tena.....very sad
Mbona mlinisahau na mimi..
Hivi ni nchi gani mnaikomboa nyie wahuni?
Leo umoja wa Wanachadema wanaoendesha siasa zao kupitia mitandao ya kijamii wamekabidhi michango yao mbele ya Viongozi wakuu wa Chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari mwakilishi wa wanachadema hao Bwana Yericko Nyerere amesema, "Mara yakwanza zilipoanza kampeni za Kalenga walipenda kushiriki siasa za majukwaani moja kwa moja lakini walibuni njia mujarabu yakushiriki kikamilifu kwa kila mmoja kuchanga kiasi chochote alichonacho na kukileta kwenu viongozi ili kisaidie ushindi Kalenga na Chalinze. "Ninawashukuru makamanda kwakujitolea kuchanga kiasi cha laki tano ambazo leo nitazikabidhi hapa, niwahakikishie wanahabari kuwa Kalenga tutashinda, hilo halihitaji mjadala, sasa tunakwenda Chalinze, tutahakikisha tunalibeba jimbo hilo kwakuwa tumempata mgombea imara Kamanda Mathayo"
Nae Mh John Mrema ambe amepokea mchango huo kwa niaba ya Katibu Mkuu amepongeza juhudi za wanachama wanaohudumu siasa mitandaoni kwa kuwahimiza kupambana kukijenga chama na kukitetea bila kuchoka, Kundi la wanachadema mitandaoni kupitia M4C PAMOJA DAIMA ni mjumuiko wa makamanda wote wa Chadema.
cc
Ben Saanane, Mungi, Shark, Masanilo sweetlady 'Valentina' na wengine wengi.....
Pamoja sana makamanda, Ukombozi ni gharama sana sasa twende mbele zaidi tuache laptop na smartphones zetu twende uwanja wa mapambano. Pamoja tutapata uhuru wa pili zidi ya Mkoloni CCM