Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Nakushukuruni makamanda kwa kufikishia mchango wetu! M4C Pamoja Daima!
na vikundi vingine viinge..
Nakushukuruni makamanda kwa kufikishia mchango wetu! M4C Pamoja Daima!
Nchi hii tutikomboa wenye moyo!
Kabisa hii ni hatua kuonyesha kuwa hatubwabwaji tu mitandaoni. Bravo!
Pamoja sana Makamanda...Tupo pamoja....
na vikundi vingine viinge..
umesoma ukaelewa au umekurupuka tu ku comment!!!!!!!!!
Mnapoteza mda wenu bure kwa dhiki. zenu...
Babu anaepokea zaidi ya M11 kwa mwezi kachangia nini?
Tafuteni pesa na siumaarufu wa majitaka kama huo...
Hivi ni nchi gani mnaikomboa nyie wahuni?
sasa sisi na mambo ya babu yako yana tuhusu nini, tunakipongeza kikundi kilichoamua kukichangia chama chetu(chadema ) na si mambo ya babu na mama yako...
sasa sisi na mambo ya babu yako yana tuhusu nini, tunakipongeza kikundi kilichoamua kukichangia chama chetu(chadema ) na si mambo ya babu na mama yako...
Hii ni sadaka kubwa na iliyonona kwa ukombozi wa mwanadamu.Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yenu Makamanda
Najua umepatwa na mshtuko huko chini maana hapo Lumumba ni mpaka mungu wenu Nape aje ndio mnaona hela!
Makamanda gani wanakunywa viroba?